Jul 29, 2023
29
64
Habari wanajami, narudi tena. Bei ya dagaa imepungua maana giza limeanza na uvuvi kuendelea kama ilivyo kawaida.

Bei zilizopo muda huu. Japo huwa mabadiliko yapo kutokana na uvuvi ukiwa mzuri au mbaya.

Dagaa wa nyasi.(wasio na mchanga)
Gunia yenye debe 10 kilo 40 (tsh180000/=-tsh260000/=.)
Hiyo bei ni dagaa wenye ubora(good quality).

Dagaa wachanga.
Gunia yenye debe 10--kilo 43--(tsh 130000/=--tsh200000/=).

Bei zinabadilika kutokana na hali ya uvuvi inaweza kupungua zaidi ya hiyo bei au ikaongezeka vizuri kuwasiliana kwa simu.0755213580.

Jinsi ya mzigo utakufikia. Bus(gari ya abiria), Lorry(gari ya mzigo)

Gari ya abiria(bus) mzigo unakufikia haraka ila bei zao ni za juu kidogo. Gunia moja (tsh20000/=) mpaka mkoani.

Gari ya mzigo(lorry) mzigo inachukua muda kidogo lakini ndani ya siku 2 mzigo unakuwa umekufikia bei yake ni ndogo ukilinganisha na bus.(tsh10000/=-tsh15000/=).

Location: Napatikana Mwanza-kirumba-mwaloni-soko kuu la dagaa na samaki.
Mawasiliano:0755213580.
Karibu.

Endapo unataka kujuwa zaidi uliza kwenye comments au piga simu.
 
Hongera,dagaa ndio chakula kikuu kwa wengi japo mjini Bei ya kilo ya dagaa ni kubwa kuliko ya kilo ya nyama
 
Bei imekua afadhali siku hzi kwa sababu viwanda vya vyakula vya kuku hawatumii dagaa siku hizi,wanatumia soya Kama mbadala wa protini
 
  • Thanks
Reactions: PYD
Shida wabongo uaminifu ni mtihani tungefika mbali sana uaminifu ungekuwapo
 
Hongera,dagaa ndio chakula kikuu kwa wengi japo mjini Bei ya kilo ya dagaa ni kubwa kuliko ya kilo ya nyama
Karibu,dagaa ni chakula chenye virutubisho japo watu wengi wenye uwezo wa kifedha huona dagaa chakula cha watu wa chini.Hivyo wanakosa madini na virutubisho vingi.
 
Hongera,dagaa ndio chakula kikuu kwa wengi japo mjini Bei ya kilo ya dagaa ni kubwa kuliko ya kilo ya nyama
Huko ujerumani ni chakula cha mbwa na paka snacks for dogs and cats. 1KG nusu kilo kama kwenye iyo paketi ni euros 40 laki moja na ishirini.
IMG_20230801_190602_230.jpg
 
Back
Top Bottom