waziridagaakirumba
Member
- Jul 29, 2023
- 29
- 64
Habari ya leo wanajamii forum ?natumaini tunaendelea kupambana na kuendesha gurudumu liende mbele.
Waswahili wanasema ili usianguke na baiskeli hauna budi kukanyaga pedeli ili isonge mbele na ukiacha kukanyaga lazima udondoke.Hivyo endelea kukanyaga MUNGU WA WOTE Haijalishi kiasi gani tunamkosea lakini anasamehe na kututendea mema pale tunapo jishughurisha.
EMBU TUANGALIE VITU VYA KUZINGATIA KWENYE BIASHARA YA DAGAA KUPELEKA MKOANI KUTOKA MWANZA ZIWA VICTORIA.
1.LESENI NDOGO YA KUSAFIRISHA DAGAA NDANI YA INCHI .Hii ni leseni ambayo upatikanaji wake ni rahisi kwa sababu ofsi zao zipo hapa KIRUMBA MWALONI MWANZA kwenye soko kuu la kimataifa la samaki na dagaa.Ambapo gharama yake kwa sasa ni shilingi elfu thelathini (Tsh 30,000/=).
Ukiwa na hiyo leseni unapeleka kila mkoa ndani ya Tanzania.
2. Kibali cha kusafirishia mzigo wako .hii document ni rahisi kuipata pia ndani ya dakika chache pia maana ofsi husika zipo hapa MWALONI KIRUMBA MWANZA Kwenye soko kuu la samaki na dagaa la kimataifa.(gharama ni ndogo pia ila inatozwa kulingana na mzigo wako ulivyo ukubwa).
3.Lipia ushuru wa mzigo wako unao usafirisha.kulipia ni rahisi pia maana wahusika wapo hapa hapa.
UKIWA NA HIVYO VITU KUFANYA BIASHARA YAKO NI RAHISI NA HAYUPO WA KUKUSUMBUA.
KWA WALE WANAO HITAJI DAGAA TAFADHALI NIPIGIE 0766029551.
SMS SITOJIBU HIVYO PIGA SIMU HIYO.