Dada yetu Michelle

Dada yetu Michelle

Lokissa

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2010
Posts
7,445
Reaction score
2,509
wanaJF ni ukweli usiopingika kuwa adada yeetu huyu alikuwa mfano wa kuigwa kama walivo wengine ktk hili jukwaa hasa kwa mada na uchangiaji wake, kwa muda sasa haonekani ktk hili jukwaa, mwenye kufahamu habari zake atujuze, kwani kama yuko tz mitandao imejaa hadi vijijini na moderm sasa hata kwa sh 20 alfu unapata, nimepata mashaka kama ni mzima au lah. hilo tu wapendwa wekend njema.
 
thefinest unajua alipo au nn kimemsibu?
 
Mkuu, huyu dada ni mzima ma afya. Nadhani amebanwa na majukumu ya ujenzi wa taifa. Usihofu mkuu. Ni mzima, buheri wa afya!
 
Lokissa usiwe na wasi Mkuu... kama alivoongea Fillipo hapo
she is well and good, ila tu anadai kabanwa saana sasa hivi
na shughuli za kijamii..... Jaribu kum-PM naamini afta a few days atakujibu....

Mie pia nime Mmiss saaana.
 
kwa kweli mmenipa moyo kwa habari hii kuwa ni mzima thanks filipo na ashad na jf members,huwa inatia wasiwasi kuona wachangiaji wa jf gafla wanatoweka lazima ujiulize kwa nn kwani sisi binadamu
 
nasikia kaolewa na bujibuji na sasa wako zambia kushuhudia kuapishwa kwa satta
 
Back
Top Bottom