Dada yetu Michelle

hehehe,misaada ina raha yake banaa,unachagua ya bei ya juu kuliko zote,lol!
shida ya kloro atakuambia suti anazo ila kuna kitu anataka. ntampa ujumbe lakini. sasa nije nae uninunulie viatu?
Lol...kloro nnaemjua mimi suti atoe wapi?... Labda asubri uporoto afunge ndoa na husninyo afu amwazime suti... Njoo nae ntakununulia viatu na hijabu...
 
Ile biashara ya mawigi mtaji ulikata... King'asti ameahidi kuniwezesha soon, ulete hiyo bahasha yangu aliyokukabidhi...
Naomba nikupe pole kloro huwa hafikishi hela hata siku moja muulize ashadii atakueleza yaliompata kwa hela iliyopita mikononi mwa kloro swahiba wangu.
 
Naomba nikupe pole kloro huwa hafikishi hela hata siku moja muulize ashadii atakueleza yaliompata kwa hela iliyopita mikononi mwa kloro swahiba wangu.
Hahaha...hii ataifikisha, si unajua bado ana zile hela za kampeni ya Igunga... Umemwona tbc akihutubia wana Igunga na shati la kijani?.. Yule mwenye mawani afu kajikondea ndo kloro ujue!
 
sweety lakini anko kapinda aisee anadai 'uza nyumba uheshimike bar', 'bia muhimu chakula anasa', 'shinda/kesha bar nyumbani pita tu' hahaha! naomba tu kesi iishe bila kunishwishi aiseeh!

uncle wangu wa ukweli bwana. Bidada kajirudisha mwenyewe. Lol.
 
Toka usikie uporoto amenunua hammer huishi kujipendekeza! Daaah.... Hivi husni HOYANGA alipotelea wapi? Nimemkumbuka ghafla, sijui aliponaga au ndo kazidiwa kabisa!.. Mtafute tafadhali..

yaani wewe hujui na mi nimechangia kwenye manunuzi? Niache na baby wangu usitutenganishe.
Aisee hoyanga ndio kashaRIP naona! Jamani hoyanga upatapo post hii uje utujulie hali.
 
Khaaah! Huyo anko chama gani??...lol
hahaha! huyu atakuwa UPDP wale jamaa wanaodai hawawezi kuendelea kuona vijana wanakaa vijiweni wakiota jua kama solar panels hahaha!

uncle wangu wa ukweli bwana. Bidada kajirudisha mwenyewe. Lol.
anko kapinda bana anadai tunajisumbua tu yule mama atarudi mwenyewe 'hata mahari alijilipia mwenyewe' hahaha!
 
Hahaha...hii ataifikisha, si unajua bado ana zile hela za kampeni ya Igunga... Umemwona tbc akihutubia wana Igunga na shati la kijani?.. Yule mwenye mawani afu kajikondea ndo kloro ujue!
Khaaa! mbona juzi tu nimepima wameniambia mambo swafiii. Walahi wamesema sina.
 
hahaha! huyu atakuwa UPDP wale jamaa wanaodai hawawezi kuendelea kuona vijana wanakaa vijiweni wakiota jua kama solar panels hahaha!

anko kapinda bana anadai tunajisumbua tu yule mama atarudi mwenyewe 'hata mahari alijilipia mwenyewe' hahaha!
Hahahaha! Nilijua anko lazima awe wa UPDP....alinivunja mbavu walah...eti vijana ikifika sa nne haooo wanajianika juani!..kweli anko wako kapinda kuliko Mukama!..
 
Back
Top Bottom