Dada yetu Michelle

@klorokwin wewe ni mkweli kabisa! unayoongea yapo kwenye signature yako na mtu akibisha basi atakuwa hajasoma signature
 
Mweeh! Kamanda vipi mbona unaulizia ujauzito wa mtu mwingine ? au ni wewe aliyehitaji girlfriend mjamzito kule loveconnect ? hahaha!
hehehe kamanda bana! nilitumia ID gani vile?
usiulize masuala mengi kamanda bana! wee kama namna gani vipi mpelekee sweetlady mapera tu.
 
Uporoto mbona hajamaliza madeni ya kwenu ?, halaf huu mpango wenu wa kukopa halaf mkatoa namba yangu ya simu mnaniharibia mjue?
Tunawapa namba yako si kuna hela yetu kwako na tumeona ni njia rahisi ya wewe kuzipunguza.
 
kloro umeoa? ina maana mitala unaacha sasa? ungetangaza tender ya zile small house watu wamedoda huko lov connect manake mmejitwalia utadhani viongozi wa serikali na viwanja vya jiji!
 
hongera sana bw harusi kilorokwin

kloro umeoa? ina maana mitala unaacha sasa? ungetangaza tender ya zile small house watu wamedoda huko lov connect manake mmejitwalia utadhani viongozi wa serikali na viwanja vya jiji!

Mbarikiwe sana kwa hongera zenu, waifu Michelle amefrahi sana kusoma comment zenu na ameahidi kunizalia watoto watano.
 
sasa huyo mke ni michelle ama ni keren_ capuchino (sorry,nahisi hili la kirusi nimelokosea,mama mkwe wake sijui atalitamkaje!)
Mbarikiwe sana kwa hongera zenu, waifu Michelle amefrahi sana kusoma comment zenu na ameahidi kunizalia watoto watano.
 
Back
Top Bottom