Dada yetu Michelle

sasa huyo mke ni michelle ama ni keren_ capuchino (sorry,nahisi hili la kirusi nimelokosea,mama mkwe wake sijui atalitamkaje!)
Hivi Keren happuch si alitangaza hapa JF kwamba yeye ni mke wa fundi saa maarufu eneo la magomeni anaekwenda kwa jina la Mzee Ayubu?
taratibu King'asti, utaharibu ndoa ya Mzee Ayubu ujue!
 
Tumemaliza hela ya kampeni jana! tumetakiwa kulejea majumbani kwa sku nne kubana matumizi.
Halaf kale kaujauzito kako kanaendeleaje?
Hahahaha! Kaujauzito kalitoka kwa mshituko, uporoto alvyoniletea taarifa kuwa umefumaniwa na mke wa balozi wa nyumba kumi huko Igunga!..
 
Mweeh! Kamanda vipi mbona unaulizia ujauzito wa mtu mwingine ? au ni wewe aliyehitaji girlfriend mjamzito kule loveconnect ? hahaha!
Msamehe bure huyu kamanda wako, unajua amechanganyikiwa baada ya kuona wapinzani wanawageukia huko Igunga!.. Hawa wapinzani waache kigeu geu manake watamfanya kloro ahame mji...
 
Sasa mapera si ndo uwezo wa Uporoto! mbona unawanyanyapaa masikini bana!
Hahaha! Nimecheka kwa laudi spika kama kloro!.. He! Kwa taarifa yako wakati uko igunga uporoto alishinda bahati nasibu, hivyo sio masikini tena! Mtafute husninyo kwa maelezo zaidi.
 
Msamehe bure huyu kamanda wako, unajua amechanganyikiwa baada ya kuona wapinzani wanawageukia huko Igunga!.. Hawa wapinzani waache kigeu geu manake watamfanya kloro ahame mji...
Hizi kampeni zikimaliza nitaumiss kweli ule wali wa bure wa igunga. Sjui jimbo gani jengine jamaa atajiuzulu karibuni.

Hahaha! Nimecheka kwa laudi spika kama kloro!.. He! Kwa taarifa yako wakati uko igunga uporoto alishinda bahati nasibu, hivyo sio masikini tena! Mtafute husninyo kwa maelezo zaidi.
Sidanganyiki! Husninyo jana tu aliniPm nimtaftie wateja wa maandazi amesema hali sio shwari kwa upande wake na Uporoto.
Labda alishinda zile lotto za wanaijeria, akina tracymatusi na tracybaby
 
Hizi kampeni zikimaliza nitaumiss kweli ule wali wa bure wa igunga. Sjui jimbo gani jengine jamaa atajiuzulu karibuni.

Sidanganyiki! Husninyo jana tu aliniPm nimtaftie wateja wa maandazi amesema hali sio shwari kwa upande wake na Uporoto.
Labda alishinda zile lotto za wanaijeria, akina tracymatusi na tracybaby
Hahaha! Atajiuzulu Jk kabisa! Khaaa! Kweli nimeamini maneno ya the finest kuwa hupendi maendeleo ya uporoto...hivi nnavyoandika hapa uporoto na husninyo wamepita na hammer kuelekea mpwapwa! Uporoto baada ya kubahatika ameamua kwenda kumalizia mahari ya watu!..
 
Yaani jina hujakosea kabisa you are soo sweet,thanks. kloro tatizo hakudhani Hus atahamia kwangu ni kama kwenye taarabu wanasema 'ulimwona hafai wengine wanasema alikuwa wapi'.
 
hehehe kamanda bana! hiyo red ya mzee yussuf au mama mashauzi?
 
hii ilikuwa ya wale Five Star waliopukutika na ajali wakitokea kwenye harusi ya Mwakapumbu nyumbani si unajua Wanyakyusa siku hizi mambo ya kidole juu kidogo tunaipatapata.
Hii fesbuk imeleta balaa kweli kamanda, siku hizi kidole juu mpaka uchagani! sweetlady atasibitisha hii
 
Yaani jina hujakosea kabisa you are soo sweet,thanks. kloro tatizo hakudhani Hus atahamia kwangu ni kama kwenye taarabu wanasema 'ulimwona hafai wengine wanasema alikuwa wapi'.
Hahaha... Ujue aliponzwa na hela za kampeni Igunga, akamtelekeza Husn...
 
Khaaaa! Nyie hapo chini mbona mnachakachua thread.
Uporoto darling njo chumbani mara moja. Sweetlady niangalize kloro asije kutuchungulia.
 
angalia hii (shida ya nokia tochi inapata mtandao ila multiquote invisible anabania)...utaniambia maana ya la'aziz. nndo maana nikasema una mitala. michelle,nsamehe macho hayana pazia,mdomo hauna dirisha
Laaziz Keren Happuch atakanusha hii post yako akilog in.
 
laaziz wako mke wa ayubu?kweli mie bado mgeni mjini.bahati nzuri hela ya kununua risasi sina manake mngenikoma!

Back
Top Bottom