Foxhound
JF-Expert Member
- Dec 15, 2013
- 28,735
- 76,360
Tafsiri halisi ya Infantry ni askari wa miguu. Je kuna Kamandi ya askari miguu?Majina tu ndio hilo hilo
Tofauti ipo ukiongelea askari wa miguu na ukiongelea jeshi la ardhini/nchi kavu. Tukiongelea jeshi la ardhini tunajumuisha makundi yote ya askari wanaopigana kwa kutumia ardhi (ukitoa Navy na Air) makundi hayo ni pamoja na ikiwemo field artillery, motors, armoured personnel carriers, field engineers, Hivyo Infantry ni sehemu ndogo tu ya Land forces. Hivyo ipo kamandi ya Land forces (Jeshi la ardhini/Nchi kavu) lakini hakuna kamandi ya Infantry zaidi ya vikosi na Brigade....



