Current four star Generals in Tanzania

Current four star Generals in Tanzania

Ngoja nikutoe tongo tongo, Brigadier akifariki jeneza lake linatakiwa libebwe na mabregadier wenzake. Je vipi kwa Commander in chief?
Iko namna ila tu hujui kujieleza!

Ulitaka Mpambe wake kwenye masiba/ mazishi ahusike akiwa kavaa kaunda suit ama taxedo nyeusi wakati kwa heshima yale ni mazishi ya Kijeshi!
 
Sababu za kiuchumi na upana wa jeshi, kuanzia manpower mpaka operations za kwetu sio sisi tu hata majirani nao wapo hivyo.
 
View attachment 1754602

Mimi si mjeda. Sijui mengi kuhusu ujeda. Sijui mengi kuhusu mengi.

Ni mbeba maboksi tu. Wengine husema nimeishia darasa la saba. Wengine hudai nimeishia kidato cha nne.

Hivyo, sina mengi niyajuayo. Ila, ninao uungwana wa kukubali nisiyoyajua.

Na dawa ya kuyajua usiyoyajua ni kujifunza.

Kujifunza kuko kwa namna nyingi. Moja ya hizo namna ni kuuliza.

Leo nauliza hivi: Hivi kwa Tanzania huwa tuna jenerali mmoja tu kwa wakati mmoja aliye jenerali kamili, yaani yule mwenye nyota 4?

Kama sijakosea, mkuu wa majeshi ndo huwa jenerali kamili mwenye nyota 4 tu kwa wakati mmoja. Jenerali huyo akistaafu ndo mwingine [labda luteni jenerali] anapandishwa cheo na kuwa jenerali kamili halafu ndo anakuwa mkuu wa majeshi.

Kwa nini iko hivyo? Tumeiga sehemu labda?

Najua India kwa mfano, kuna four star generals zaidi ya mmoja kwa wakati mmoja.

Marekani currently wana four star generals 45, kama sijakosea.

Kwa mnaojua, kwa heshima na taadhima zote, naomba mnifute huu ujinga nilionao.

Shukran jazilan .
Muundo
Uchumi
Nguvu.
 
Hapa ndio mimi huanza kuchanganyikiwa! Samahani nipatie elimu...

Tanzania People's Defence Forces ndio JWTZ ambayo ndani yake ndio kuna Police Tanzania, Magereza, Fire, JKT na majeshi ya Anga, Maji na Special Forces?

Kama unaweza naomba unipatie orodha kamili ya majeshi yote na vitengo.
JWTZ =TPDF. Majeshi Tz ni haya
1: Jeshi la nchi kavu
2: Jeshi la anga
3: Jeshi la majini
Tz inatumia term military badala ya army kwa sababu.
Wapiganaji ni wazalendo tu hakuna wapiganaji wa kigeni.
Army inabeba wapiganaji wa kigeni na wa nchi husika. Mfano us.
 
Mkuu JokaKuu, thanks for tagging me. Yote uliyosema ni kweli.
Kwenye jeshi kuna makundi makuu mawili ya askari, NCOs (non commissioned officer) na COs (Commissioned Officers). Kamisheni inatolewa na CinC.

Kwenye NCOs kuna
Junior NCOs Private, Coplo Usu na Coplo
Senior NCOs Sergeant, Staff Surgent na Sir Major.

Kwenye COs kuna makundi 4
Junior Officers, 2nd Lieutenant, Lieutenant na Captain.
Seniors Officers ni Major, Lieutenant Colonel and Colonel
Cheo cha mwisho kwa mwanajeshi kupanda kwa logical progression ni Colonel.
Staff Officers, hawa ndio majenerali, Brigadier, Major General, Lieutenant General na General.

Vyao hivi vya staff officers havipandi kwa merits only but by appointment ya CinC, na mfano mzuri ni uteuzi wa CDF aliyepo.
Alipoingia tuu umri wa kustaafu wa CDF aliyepo uliusha pita, hivyo alipoangalia list ya wa chini yake hakupendezewa. Akamuongezea miaka 2 CDF aliyepo, na kumelevate the chosen one fasta fasta from Colonel to Brigadier, within no time Major General then Lieutenant General ndipo akamruhusu CDF kustaafu.

Hii hufanyika sana Jeshini na ilianzishwa na Nyerere, Mtanzania wa kwanza kuwa na highest rank wa jeshi letu la Tanzania huru ni Colonel Kashmir na Mirisho Sarakiya one of them should have been CDF, Mwalimu was uncomfortable nao, wakaondolewa jeshini kupewa post uraia.

This happened again baada ya vita vya Kagera, Baada ya Twalipo chini kulikuwa na kina Mayunga, Cuthless, Wolden, Sayore ili kumuinua wachini, wale deserving wanaondolewa jeshini unamuinua umtakaye.

Chini ya General Mwamunyange, sijui waliokuwa na seniority ya kumpokea ni kina nani, na walipelekwa wapi, lakini CDF aliyepo ili ibuka like a mushroom, na kwa tetesi za mtaani, he is the only source of political stability and the tranquillity iliyeendelea hadi Samia kuingia.

Hivyo whoever picked this man, did the right thing.
P
 
Yes kwa mujibu wa tetesi za mitaani. Ni kweli Wasukuma wa Chapa ng'ombe tuu ndio washamba ila Wasukuma wenye exposure, wako vizuri, na kiukweli ndilo kabila linaloongoza kwa kuwa na watu poa sana. Hata haya mambo ya Jeshini si mmeona wenyewe...
P
Wasukuma ni watu poa sana, ila ndiyo hivyo tunapakwa matope kwa sababu za kijinga kabisa tena watoto wa chuo.
 
Ok, basi nitajie hata watatu watatu kutoka katika hizo nchi ambao ni active four star general, taja hata watatu tu kutoka Burundi!
Majina siyakumbuki ninachokumbuka kila vikundi vya waasi walikuwepo majenerali achilia mbali waliopo katika serikali zao.
 
Junior NCOs koporo usu mpaka Ssgt.
Senior NCOs ni kwa Warrant officers 1 na2
Senior officers inaanzia Kanali na kwenda juu. Angalia ADC wa Mama na wa Mwinyi jr ujifunze kitu kwa Marais hawa wawili katika nchi moja.

Junior NCO ni Lance Koplo na Koplo

Sajenti ni Senior NCO kumbuka Mess zimepangwaje kivyeo , Sajenti anakula Mess moja na mastaff sajenti na Makolokolo wote

Kuanzia Meja mpaka kanali hawa ni senior officers, meja hawezi pewa adhabu ya kifungo na CO

Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
 
View attachment 1754602

Mimi si mjeda. Sijui mengi kuhusu ujeda. Sijui mengi kuhusu mengi.

Ni mbeba maboksi tu. Wengine husema nimeishia darasa la saba. Wengine hudai nimeishia kidato cha nne.

Hivyo, sina mengi niyajuayo. Ila, ninao uungwana wa kukubali nisiyoyajua.

Na dawa ya kuyajua usiyoyajua ni kujifunza.

Kujifunza kuko kwa namna nyingi. Moja ya hizo namna ni kuuliza.

Leo nauliza hivi: Hivi kwa Tanzania huwa tuna jenerali mmoja tu kwa wakati mmoja aliye jenerali kamili, yaani yule mwenye nyota 4?

Kama sijakosea, mkuu wa majeshi ndo huwa jenerali kamili mwenye nyota 4 tu kwa wakati mmoja. Jenerali huyo akistaafu ndo mwingine [labda luteni jenerali] anapandishwa cheo na kuwa jenerali kamili halafu ndo anakuwa mkuu wa majeshi.

Kwa nini iko hivyo? Tumeiga sehemu labda?

Najua India kwa mfano, kuna four star generals zaidi ya mmoja kwa wakati mmoja.

Marekani currently wana four star generals 45, kama sijakosea.

Kwa mnaojua, kwa heshima na taadhima zote, naomba mnifute huu ujinga nilionao.

Shukran jazilan 🙏.
Hivyo vyeo vinaashiria ukubwa wa jeshi. Yaani kila cheo, hata koplo mwenye V 2 ni kiongozi wa kikundi fulani ndani ya jeshi.
Hivyo ukubwa wa jeshi ndiyo unaamua vyeo. Kama ulivyosema US wana hao 45, maana yake ni kuwa jeshi lao limetuzidi ukubwa mara 45.
 
Hujamfafanulia vizuri,
Unaposema Brigadiier Ana nyota 1 atadhani Ni moja Kama ya Luteni Usu,
Nyota mbili atadhani Ni Luten kamaili,
Nyota tatu atadhani Ni Captain.
Ingekua vizuri umwambie kuwa Brigadiier Ana alama Fulani ikiambatana na nyota kadhaa.Na kuendelea.
Tusaidie Mkuu.
Gari lake nyota 1
 
Junior NCO ni Lance Koplo na Koplo

Sajenti ni Senior NCO kumbuka Mess zimepangwaje kivyeo , Sajenti anakula Mess moja na mastaff sajenti na Makolokolo wote

Kuanzia Meja mpaka kanali hawa ni senior officers, meja hawezi pewa adhabu ya kifungo na CO

Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
Luteni usu mpaka kapteni ni junior officers
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom