Mkomavu
JF-Expert Member
- Jan 25, 2016
- 12,170
- 17,584
Wewe ni askari jeshi??Labda kwa Jeshi la maponjolo.
Wewe ni askari jeshi??Labda kwa Jeshi la maponjolo.
Mkuu JokaKuu, thanks for tagging me. Yote uliyosema ni kweli.
Kwenye jeshi kuna makundi makuu mawili ya askari, NCOs (non commissioned officer) na COs (Commissioned Officers). Kamisheni inatolewa na CinC.
Kwenye NCOs kuna
Junior NCOs Private, Coplo Usu na Coplo
Senior NCOs Sergeant, Staff Surgent na Sir Major.
Kwenye COs kuna makundi 4
Junior Officers, 2nd Lieutenant, Lieutenant na Captain.
Seniors Officers ni Major, Lieutenant Colonel and Colonel
Cheo cha mwisho kwa mwanajeshi kupanda kwa logical progression ni Colonel.
Staff Officers, hawa ndio majenerali, Brigadier, Major General, Lieutenant General na General.
Vyao hivi vya staff officers havipandi kwa merits only but by appointment ya CinC, na mfano mzuri ni uteuzi wa CDF aliyepo.
Alipoingia tuu umri wa kustaafu wa CDF aliyepo uliusha pita, hivyo alipoangalia list ya wa chini yake hakupendezewa. Akamuongezea miaka 2 CDF aliyepo, na kumelevate the chosen one fasta fasta from Colonel to Brigadier, within no time Major General then Lieutenant General ndipo akamruhusu CDF kustaafu.
Hii hufanyika sana Jeshini na ilianzishwa na Nyerere, Mtanzania wa kwanza kuwa na highest rank wa jeshi letu la Tanzania huru ni Colonel Kashmir na Mirisho Sarakiya one of them should have been CDF, Mwalimu was uncomfortable nao, wakaondolewa jeshini kupewa post uraia.
This happened again baada ya vita vya Kagera, Baada ya Twalipo chini kulikuwa na kina Mayunga, Cuthless, Wolden, Sayore ili kumuinua wachini,
Mkuu Paskali, wakati JPM anaingia Gen. Mabayo alikuwa Maj. General, alipandishwa cheo na Rais Kikwete 2014 yeye pamoja akina Maj. Gen. Milanzi.wale deserving wanaondolewa jeshini unamuinua umtakaye.
Chini ya General Mwamunyange, sijui waliokuwa na seniority ya kumpokea ni kina nani, na walipelekwa wapi, lakini CDF aliyepo ili ibuka like a mushroom, na kwa tetesi za mtaani, he is the only source of political stability and the tranquillity iliyeendelea hadi Samia kuingia.
Hivyo whoever picked this man, did the right thing.
P
okikasirlim.wordpress.com
Kama na wewe ni askari jeshi basi RTS kumeisha yani Lt colonel ni junior officer wewe ni nanga la kimataifa aiseeLabda kwa Jeshi la maponjolo.
Uuongozi wa Jeshi ni clusters zenye idadi fulani.Colonels wanaongoza wangapi?
wewe muongo field Marshal unajua ni ninimkuu 5 star ni hadhi nyingine labisa ya cheo.
yaani field marshal.
labda kilikuwa ni cheo chake.
Inaonekana ndio route hiyo Mwamunyange alipita humo humo CMI, CoS, CDF..Ndio.
..kabla ya kuwa CoS afande mabeyo alikuwa CMI.
Mkuu JokaKuu
Kwenye NCOs kuna
Junior NCOs Private, Coplo Usu na Coplo
Senior NCOs Sergeant, Staff Surgent na Sir Major.
P
Miguna Miguna lipelekwa Canda kwa nguvu baadavya kumwapisha Raila kuwa Rais wa watu wa Kenya.Hapo Kenya jirani kuna yule mpinzani aliyekimbilia Canada nae anajiita general nimemsahau jina![]()


Thanks for this.Mkuu Paskali, wakati JPM anaingia Gen. Mabayo alikuwa Maj. General, alipandishwa cheo na Rais Kikwete 2014 yeye pamoja akina Maj. Gen. Milanzi.
Kumbukumbu zangu ni kuwa kabla Gen. Mabeyo hajawa CDF aliteuliwa na JPM kuwa CoS na baada ya kustaafu Gen. Mwamunyange ndipo Gen. Mabeyo aka-take over.
![]()
LUTENI JENERALI VENANCE MABEYO ATEULIWA KUWA MKUU WA MAJESHI TANZANIA
Rais John Magufuli amemteua Luteni Jenerali Venance Mabeyo kuwa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi nchini. Taarifa ya Ikulu iliyotolewa jana jioni inasema Mabeyo amechukua nafasi ya iliyoachwa wazi na Davis…okikasirlim.wordpress.com
Rejea taarifa hii toka tovuti ya gazeti la mwananchi.
![]()
JK awapandisha vyeo majenerali saba JWTZ
Rais Jakaya Kikwete amewapandisha vyeo maofisa saba wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), wenye vyeo vya Brigedia Jenerali kuwa Meja Jenerali.www.mwananchi.co.tz
Second lieutenant -*View attachment 1754602
Mimi si mjeda. Sijui mengi kuhusu ujeda. Sijui mengi kuhusu mengi.
Ni mbeba maboksi tu. Wengine husema nimeishia darasa la saba. Wengine hudai nimeishia kidato cha nne.
Hivyo, sina mengi niyajuayo. Ila, ninao uungwana wa kukubali nisiyoyajua.
Na dawa ya kuyajua usiyoyajua ni kujifunza.
Kujifunza kuko kwa namna nyingi. Moja ya hizo namna ni kuuliza.
Leo nauliza hivi: Hivi kwa Tanzania huwa tuna jenerali mmoja tu kwa wakati mmoja aliye jenerali kamili, yaani yule mwenye nyota 4?
Kama sijakosea, mkuu wa majeshi ndo huwa jenerali kamili mwenye nyota 4 tu kwa wakati mmoja. Jenerali huyo akistaafu ndo mwingine [labda luteni jenerali] anapandishwa cheo na kuwa jenerali kamili halafu ndo anakuwa mkuu wa majeshi.
Kwa nini iko hivyo? Tumeiga sehemu labda?
Najua India kwa mfano, kuna four star generals zaidi ya mmoja kwa wakati mmoja.
Marekani currently wana four star generals 45, kama sijakosea.
Kwa mnaojua, kwa heshima na taadhima zote, naomba mnifute huu ujinga nilionao.
Shukran jazilan 🙏.
Thanks for this.Mkuu Paskali, wakati JPM anaingia Gen. Mabayo alikuwa Maj. General, alipandishwa cheo na Rais Kikwete 2014 yeye pamoja akina Maj. Gen. Milanzi.
Kumbukumbu zangu ni kuwa kabla Gen. Mabeyo hajawa CDF aliteuliwa na JPM kuwa CoS na baada ya kustaafu Gen. Mwamunyange ndipo Gen. Mabeyo aka-take over.
![]()
LUTENI JENERALI VENANCE MABEYO ATEULIWA KUWA MKUU WA MAJESHI TANZANIA
Rais John Magufuli amemteua Luteni Jenerali Venance Mabeyo kuwa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi nchini. Taarifa ya Ikulu iliyotolewa jana jioni inasema Mabeyo amechukua nafasi ya iliyoachwa wazi na Davis…okikasirlim.wordpress.com
Rejea taarifa hii toka tovuti ya gazeti la mwananchi.
![]()
JK awapandisha vyeo majenerali saba JWTZ
Rais Jakaya Kikwete amewapandisha vyeo maofisa saba wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), wenye vyeo vya Brigedia Jenerali kuwa Meja Jenerali.www.mwananchi.co.tz
Alibakari kuna dogo hapo juu ukasome kanasema Lt colonel ni junior officerNaomba nikusahihishe kidogo.
Kwenye vyeo vya kijeshi kuna makundi mawili ya vyeo;
*Commissioned Officers na *Non-Commissioned officers
Na unapofafanua haya makundi kwenye vyeo kwa upande wa NCO's vimegawika mara nne.
*Kuna Askari - Private/Ts
*Kuna Jnr NCO's ni Cpl pekee
*Kuna Snr NCO's ni Sgt hadi Staff Seargent
*Kuna Warranty officers 1&2 (Maafisa wateule 1&2)
*Na kwa upande wa officers kuna Jnr Officers 2Lt - Captain
*Snr officers Maj - Colonel
*Kuna Majenerali kuanzia Brigadier - General.
Private sio Jnr Nco ni askari.
Pia L/Cpl (Cpl usu) sio Jnr Nco bali ni Pte mwenye umbele.



Jeshi la ardhini sio infantry ni Land forceKwenye majeshi naomba nikuongezee
Kuna Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) or TPDF
Chini yake kuna
Jeshi la Ardhini- Infantry
Jeshi la Anga - Airforce
Jeshi la Majini- Navy
Kuna Jeshi la Kujenga Taifa (JKT)
Kuna Jeshi la Polisi Tanzaniab(PT)
Kuna Jeshi la Magereza - Prisons
Kuna Jeshi la Uhamiaji- Immigration
Kuna Jeshi la Zimamoto- Fire Brigade
Kuna Jeshi la Usalama- TISS
Kuna Majeshi Usu mengi, Para military
Mgambo, Wanyamapori, JKU, KMKM, Vikosi vya
SMZ etc
P
Ulinzi na usalama ni issue ya muungano lakino jkt sio jambo la muungano, umenichanganya ulivyosema ipo ndani ya jwtz hebu nifafanulie mkuuJKT iko ndani ya JWTZ.
FFU iko ndani ya Police (ni Unit ya Police kama ilivyo Traffic police).
1. JWTZ,
2. Police, Magereza, Uhamiaji, Zimamoto (level moja)
3. Mgambo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nimechelewa kuuona huu uzi, nimekuja kuuona too late, naona watu wanavyolishana matango pori tu!Alibakari kuna dogo hapo juu ukasome kanasema Lt colonel ni junior officer![]()















Mkuu nimechelewa kuuona huu uzi, nimekuja kuuona too late, naona watu wanavyolishana matango pori tu!
Hata hivyo big up sana Nyani Ngabu.





Uuongozi wa Jeshi ni clusters zenye idadi fulani.
the lowest ni unit, ina watu 9 ma privates, wanaongozwa na Koplo.
Units 3 zinaunda Section, ina askari 30, ma koplo 3 na inaongozwa na Sergeant
Section zikiwa tatu, zina askari 90, makaplo 9, ma Sergeant 3, zinaunda plotoon wanaongozwa na Luteni, hivyo cheo cha Luteni ni platoon Kamanda.
Platoon zikiwa tatu, zina askari 360, zina ma koplo 36, ma sajenti 12, na ma luteni 3, zinaunda Coy, na inaongozwa na Major.
Coya zikiwa 3 zina askari 1080, zina ma koplo 108, masajenti 36, maluteni 9, zinaunda kikosi, au batallion kinaongozwa na Colonel, ndio zile mnasikia kambi ya jeshi.
Vikosi au Batallion vikiwa 3, vinaunda Brigedi, inaongozwa na Brigedia, jina jingine la Brigedier ni Brigade Commander
Brigade zikiwa 3 zinaunda Divisheni, na zinaongozwa na Major General, hivyo jina jingine la Maj. Gen ni Division Commander.
Division zikiwa tatu, ndio zinaunda Jeshi kamili na linaongozwa na Generali.
P.
Wewe ni askari jeshi??
Kama na wewe ni askari jeshi basi RTS kumeisha yani Lt colonel ni junior officer wewe ni nanga la kimataifa aisee
No it depends on the formation ya jeshi husika, sisi mfumo wa jeshi letu ni wa Uingereza, kuna nchi zina jeshi dogo, wana ma generals kibao, wana hadi field marshal.Kwa hiyo maana yake kuwa na top rank officers inategemea na ukubwa wa jeshi
Hivyo ndio ninaelewa
Jeshi kama la Rwanda haliwezi kuwa Na Lieutenant General labda waamue tu kumpa