Sisyphus
JF-Expert Member
- Oct 8, 2015
- 5,277
- 7,380
CDF mmoja lakini 4 stars sio lazima mmojaMmoja, nchi haiwezi kuwa na Jenerali (Mkuu wa Majeshi) zaidi ya mmoja...
CDF mmoja lakini 4 stars sio lazima mmojaMmoja, nchi haiwezi kuwa na Jenerali (Mkuu wa Majeshi) zaidi ya mmoja...
Mi najua wanajeshi huwa wanastaafu lakini bado wanaweza tumika inapotokea emergency kulingana na uzoefu wao...Ukistaafu ina maana cheo nacho ndio basI? Wakina Mwamunyange, Waitara, Mboma hawawezi kuitwo in case of emergency?
Au kipo kisiasa/ceremonial zaidi.Field Marshal kiuhalisia siku hizi hicho cheo ni almost hakuna, mara ya mwisho walikuwepo world war 2 huko, maana unakuta jeshi lina watu milion 4. Sasa hivi hakuna hayo mambo, na sidhani kama yatatokea
Kwani jeneza la rais lilitakiwa kubebwa na Maafisa wenye cheo gani?Ukijua jibu la lt colonel kukomalia kujiita colonel jua tayari nilimsha kujibu. Pia jifunze kitu kwenye ubebaji na usindikizaji wa jeneza la mwenda zake.
Mkuu NN ninaposema umeyaangalia kwa mtazamo wa US sina maana mbaya.Najua umezungumzia mimi kuyaangalia haya mambo kupitia muktadha wa Marekani.
Sawa, nakubali. Marekani ina influence kubwa sana katika maisha yangu.
Binafsi sioni tatizo kama chief of staff akawa ni 4 star general na CDF akawa ni 4 star general.
Hakuna utata bosi ni yupi kati yao.
Chief of staff wa jeshi la Marekani ni General James C. McConville.
Chairman of the Joint Chief of Staff [CDF wa Marekani] ni General Mark Milley.
Na hakuna utata nani ni bosi kati yao.
Hata vyuoni mbona kuna ma full professors ambao si wakuu wa idara lakini pia pia mkuu wa idara ni full professor...
Askari cheo anachostaafia nacho ni chake hata akifa bado ataitwa kwa cheo hicho hicho daima.Mi najua wanajeshi huwa wanastaafu lakini bado wanaweza tumika inapotokea emergency kulingana na uzoefu wao...
exactly..hiyo imetokea kwa Mwamunyange na Mabeyo.
..kabla ya hapo hakuna CoS aliyepandishwa kuwa Cdf.
Mama Samia naye washamtengenezea magwanda yake?View attachment 1754947
Siku alipovaa hivi alipaswa avae nyota zake 5 kama huyu.
View attachment 1754953
Dogo Lt colonel ni senior officer katika JWUkijua jibu la lt colonel kukomalia kujiita colonel jua tayari nilimsha kujibu. Pia jifunze kitu kwenye ubebaji na usindikizaji wa jeneza la mwenda zake.
Kwa nchi yetu Tanzania luten kanal Hajawahi kuwa junior officer yeye yupo nyuma kwa cheo kimoja kwa kanaliUkijua jibu la lt colonel kukomalia kujiita colonel jua tayari nilimsha kujibu. Pia jifunze kitu kwenye ubebaji na usindikizaji wa jeneza la mwenda zake.
Kwani jeneza la rais lilitakiwa kubebwa na Maafisa wenye cheo gani?
Au unadhani wale waliobeba ndio sahihi??
Dogo Lt colonel ni senior officer katika JW
Junior officer ni luten Usu hadi captain
Senior officer ni major hadi kanali
Generals wanaanzia Brigedia ambaye ni general wa nyota moja hadi hadi 4 star general ambaye ni Full general kwa nchi yetu anakuwa CDF
Soma tena ulichoandika au edit fasterWewe angalia hata waongoza magwaride ya kitaifa ambayo ni routine acha yale maalumu kama miaka hamsini ya uhuru.
Hivi vitoto tunabishana navyo ni kujira tu mwenyewe
Ni sawa na POLICE.Nikuulize kwa nini wastaafu lt colonel huku mitaani wanapenda kujiita colonel hawaitaki hii lt.
Na Mabrigenia generali na hujita majenerali hawataki kuanza na brigedia.
Mimi sitafuti wafuasi na wala sikupunguzii wafuasi wako ila tu nakuuliza hayo mambo ya vyeo unayaishi au unasimuliwa tu kama hadithi za kusadikika??Huwezi kunipunguzia wafuasi kwa style hii. Kazi ni ifanyayo hapa ina mkono wa Mungu wa Mbinguni. Hii ya vyeo vya wanajeshi ni matokeo tu.
Mimi sitafuti wafuasi na wala sikupunguzii wafuasi wako ila tu nakuuliza hayo mambo ya vyeo unayaishi au unasimuliwa tu kama hadithi za kusadikika??
Ngoja nikutoe tongo tongo, Brigadier akifariki jeneza lake linatakiwa libebwe na mabregadier wenzake. Je vipi kwa Commander in chief?Na fikiri wa cheo sawa na cha mpambe wake na kusindikizwa na walio wazidi hawa wabebaji kwa jiwe moja.
HahahahahIvi meja kunta nae hicho cheo kakipataje