Stroke
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 38,532
- 48,843
Sawa general of JF ,Na uombe radhi kwa kulisha watu matango pori.
Maboksi wing ,
Usa baby.
Sawa general of JF ,Na uombe radhi kwa kulisha watu matango pori.
Of course unaweza kufanya jeshi zima liwe ma Field Marshalls na Admirals, halafu ukose kujua nani atampa amri nani.Kwa hiyo, kama si ukuu wa majeshi, kama askari hajapigana vita hawezi kupanda ngazi hadi kufikia cheo cha ujenerali?
Hii ni kwa mujibu wa nini, kama ni kweli? Kitabu? Gazeti? Katiba? Stori za mitaani?
Sidhani kama italeta picha mbaya.
Naona ni sawa tu.
La sivyo, wangeweka utaratibu wa Chief of Staff kuwa ndo next in line....
Kwa sasa inafanyika hivyo kiutamaduni tu, si kisheria.
As mentioned, Omar Bradley was the last surviving five-star general, dying in 1981. He fought alongside the U.S. Army’s greatest all under the command of Dwight Eisenhower.Hmm acha fiksi bana.
General Mark Milley mbona ni 4 star general...
Mkuu luten ana nyota ngapi kwa muundo wa jibu lako,pia capten vipi?Brigadier - 1
Major General - 2
Lieutenant General - 3
General - 4
Yaani Clinton na Gore, ambao ni Democrats, walimbagua General Colin Powell?As mentioned, Omar Bradley was the last surviving five-star general, dying in 1981. He fought alongside the U.S. Army’s greatest all under the command of Dwight Eisenhower.
![]()
These are the 9 general officers who have earned 5-star rank
Five-star generals were born in World War II because four-star American generals and admirals were often outranked by allied officers.www.wearethemighty.com
Mtu ambae alikuwa na nafasi ya kuwa five star General Marekani alikuwa Gen. Collin Powel, ila kwa sababu za ubaguzi jamaa wakambania.
(General Colin Powell took an early resignation from his tenured as Chairman of The Joint Chiefs of Staff on September 30, 1993. During his chairmanship of the Joint Chiefs of Staff, there was discussion of awarding Powell a fifth star, granting him the rank of General of the Army. But even in the wake of public and Congressional pressure to do so, Clinton-Gore presidential transition team staffers decided against it.
Ahaa! Well nimekuelewa vizuri Mkorinto. Kama hutojali, naomba unipangie uzito from JWTZ to Mgambo.
Like;- JWTZ, JKT, Polisi, FFU and co.
Mwamba sana Gen. Mark Milley.
Naukumbuka huu ujumbe wake wakati Nkurunzinza wenu Trump akihisiwa angelitumia jeshi kama hatua yake ya mwisho kung'anga'ania madarakani.
"We are unique among militaries. We do not take an oath to a king or a queen, a tyrant or a dictator. We do not take an oath to an individual. No, we do not take an oath to a country, a tribe or religion. We take an oath to the Constitution. And every soldier that is represented in this museum, every sailor, airman, Marine, Coast Guardsman, each of us will protect and defend that document, regardless of personal price,"
Mkuu luten ana nyota ngapi kwa muundo wa jibu lako,pia capten vipi?

Clinton akiwa rais wa US alikuwa na wasaidizi; kwa maelezo, wasaidizi ndo walibana. (Clinton-Gore presidential transition team staffers decided against it.)Yaani Clinton na Gore, ambao ni Democrats, walimbagua General Colin Powell?
Haiwezekani bana. Democrats siyo wabaguzi. Wanawapenda watu weusi.
Kwenye magari na sasa kwenye mavega yao ....kifupi wote tunawaita General's.....Brigedia mkuu wa Brigedi Major Gen Mkuu wa Kamandi ziko 5 au 6 tu kwa sasa.....Lt Gen huwa 1 ( iliwahi tokea walikuwa 3) .....saaa mmoja ndio mbadhimu wa Jeshi ....Msaidizi wa CDF.....rgen General mwenyewe active in duty huwa 1 ......ukiacha wastaafu ....ambao active General huwapigia salute kwanza wakikutana wastaafu wako 4 sasa kama sikoseiBrigadier - 1
Major General - 2
Lieutenant General - 3
General - 4
siasa jeshini ni tatizo.
unadhani kwanini aliandika hayo!!!
kwa wenzetu kule uhuru wa kuongea ni mpana mpaka haudhibitiki.kuna mwaka mkuu wa fbi naye aliropoka,kwamba trump hana akili sawa sawa.
🤣🤣🤣🤣Ngoja mtaalamu afande Pascal Mayalla anakuja!
Haiwezekani Democrats kuwa wabaguzi! Haiwezekani!Clinton akiwa rais wa US alikuwa na wasaidizi; kwa maelezo, wasaidizi ndo walibana. (Clinton-Gore presidential transition team staffers decided against it.)
Kumbuka sio kila kitu rais anafanya yeye ila wasaidizi wanakuja na mchakato na mapendekezo nini kifanyike na nini kisifanyike. Pia wazungu wanabaki kuwa wazungu, sio kwamba wakiwa democrats wanabadilika kuwa wema sana kwa ngozi nyeusi.
Next time you should have tagged me.Ngoja mtaalamu afande Pascal Mayalla anakuja!
Collin Powel alikuwa Republican na nafasi ya kuwa JCS alipewa na George H.W .Bush; so Clinton alimkuta ofisini na kulikuwa na figisu kati ya Collin Powell na Waziri wa Ulinzi wakati huo. (Colin also regularly clashed with Secretary of Defense Leslie Aspin, whom Colin himself was hesitate when President Clinton nominate it as Secretary of Defense from the first place.)Haiwezekani Democrats kuwa wabaguzi! Haiwezekani!
Clinton ndo alikuwa the first black president.
![]()
Why is Bill Clinton fondly referred to as the First Black President?
Answer (1 of 42): Contrary to popular belief (which seems to be echoed in many of the existing answers), Clinton's moniker as "the first black president" wasn't pejorative and it wasn't created by racists. It was first used by Toni Morrison. Now, not being black myself, I'm not the first person ...www.quora.com
Hivi, kwani Colin Powell ni wa chama gani vile?
Field Marshal-5Brigadier - 1
Major General - 2
Lieutenant General - 3
General - 4
Sio lazima Awe mmoja tuFour star general lazima awe mmoja... hawawezi kuwa wawili, lazima mmoja astaafu ndio mwingine haweze kuteuliwa.