Tlg
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 804
- 612
Hamna wanajeshi wa JKT kuna wanajeshi wa JWTZ. JKT ni kamandi ya JWTZ ambayo IPO chini ya major generalUlinzi na usalama ni issue ya muungano lakino jkt sio jambo la muungano, umenichanganya ulivyosema ipo ndani ya jwtz hebu nifafanulie mkuu
Tunaowaita JKT ni wale vijana wale wanaopata mafunzo ya uzalishaji Mali na usalama ya awali ambao wanakuaa trained na watu wa JWTZ.sijui inaeleweka


