Pulchra Animo
Platinum Member
- Jun 16, 2016
- 6,801
- 10,395
Miaka michache iliyopita insignias za jeshi letu zilikuwa 100% za British system. Sasa hivi ni hybrid ya American system na British system. Insignias za colonel na ranks za chini yake ni za British system. Insignias za brigadier general na ranks za juu yake ni za American system. Katika jeshi la Marekani, hakuna insignia ya rank yoyote chini ya brigadier general ambayo ina nyota. Kwahiyo, rank ya kwanza kuwa na nyota ni brigadier general.
Interestingly, ukiona bega la brigadier wa Marekani ni kama vile umeona bega la second lieutenant wa Bongo; la major general wa Marekani utadhani umeona la lieutenant wa Bongo na la lieutenant general wa Marekani utadhani umeona la captain wa Bongo.
Sijaelewa kwanini tumeamua kuchanganya systems!
