😁😁😁Tuko poa mkuu
🤣
Tunasaidia kupeleka misaada gaza ila hamas wanazuia wakt watoto wanakufa njaa
Sure bro, mimi nipo poa mda mwingi nipo Job nikiwa home nakua stimu na usingizi kama wote 🤣Uko poa jamaa siku nyingi hatujachekiana
Blazaa mda wote upo kishari tu🤣🤣🤣🤣Mbona kila siku mnalalamika wana makato makubwa, kumbe bado mnaitumia?
Blazaa mda wote upo kishari tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Umesahaau
Mpendwa mteja...
Fresh Mpendwa mteja tutajirekebisha...Umesahaau
Mpendwa mteja...
Hii message ya kinanisensi kabisa wao uona sawaKuwa mvumilivu wakati tunaendelea kushughuliki Changamoto iliyojitokeza...