Mwalimu wa tuisheni
JF-Expert Member
- Oct 19, 2019
- 8,780
- 15,720
Naona mnamsagia kunguni nsekela hahaha
Wanaenda kuchukua watu wa ICT mtaani alafu mfumo ukizingua kidogo tuu ni shidaHii message ya kinanisensi kabisa wao uona sawa
Mpendwa Mteja, tunaomba radhi kwa changamoto unayoipata katika miamala ya huduma zetu. Jitihada zinaendelea kufanyika ili kuhakikisha huduma zote zinarejea. Asante kwa uvumilivu wako katika kipindi hikiKila kitu hoi, customer service hawapokei.
CRDB mmekuwa trash sana, masaa 4 sim banking haifanyi kazi , biashara na miamala vinagoma kuendelea kwa sababu ya upumbavu wenu
Trash🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮
mie nshakunywa bia na kitimoto itakuwaje sasa? itabidi tukae bar hadi asubuhi, mmetuweza gari haliendesheki tenaKila kitu hoi, customer service hawapokei.
CRDB mmekuwa trash sana, masaa 4 sim banking haifanyi kazi , biashara na miamala vinagoma kuendelea kwa sababu ya upumbavu wenu
Trash🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮
Yupo dodoma na Kina Dotto magari Kunadi chamaCRDB imekuwa na huduma za hovyo sana kwa muda mrefu, wamtoe huyo MD wa sasa ameshindwa kazi.
CRDB imekuwa changamoto sana kwa karibu wiki nzima.Kila kitu hoi, customer service hawapokei.
CRDB mmekuwa trash sana, masaa 4 sim banking haifanyi kazi , biashara na miamala vinagoma kuendelea kwa sababu ya upumbavu wenu
Trash🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮
Wapi huko mnakosain boom sahv? acha uongoWajinga sana hawa CRDB tangu jana tumesaini boom hazijaingizwa wanadai wanashughulikia
MUHASWapi huko mnakosain boom sahv? acha uongo
Duuuh nilijua ni Mimi tu napata hii ShidaaKila kitu hoi, customer service hawapokei.
CRDB mmekuwa trash sana, masaa 4 sim banking haifanyi kazi , biashara na miamala vinagoma kuendelea kwa sababu ya upumbavu wenu
Trash🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮
Huwa linatoka mwezi wa 5 mwanzoniMUHAS
Au uongo kivip