Clouds Media, kuweni makini na kujiingiza kwenye siasa. Mtasuswa na watanzania!

Ushauri mzuri kwa uhakika hii media ndio imebaki na wapenzi wengi Kati ya station nyingi. TBC na media zingine kwa Sasa hazina wateja au washabiki kisa tu mapenzi yao na branding ya Mambo ya CCM.

Huwezi kusifia kitu ambacho wananchi wengi wanakiona Kama kero. Kwa kifupi huwezi kumlazimisha mwananchi akipende asichokipenda
 
TBC ndio channel inayoongoza kwa kuangaliwa na na watu wa lika zote kwa local channel
Ukiacha siasa na haipendwi ma wengi kama unavosema.
Hicho kipindi cha aridhio ndo angalau kinaiweka kwenye ramani na sababu kubwa ni wale wadada wazuri.

Men will always be men"
 
Mbona umeandika ki shambenga sana.
Mambo ya familia ya Kusaga wewe yanakuhusu nini mzee mama sijui baba?

Unajikuta kuielewa kiundani familia ya Kusaga kuliko hata unavyoielewa future yako.
 
Clouds hawajaanza Leo kujihusisha na sisiemu, kama kufa wangeshakufa siku nyingi kumbuka miaka 10 ya Kikwete yote hawajamaa wamekuwa na sisiemu na hawakuyumba itakuwa Leo?

JPM alivyoingia madarakani tulijua itakiwa mwisho Wa clouds lakini ndio kwanza mpaka sim akawa anawapigia live so wale wanajua kucheza na nyakati
 
Malcom X angekua na akili ya kipumbavu kama yako sidhani kama ungemjua na kutumia Picha yake kwenye Avatar yako.

Kimeingia, kimeuma hauwezi kujibu unarusha ngumi hewani

Nilichoandika cha uwongo ni kipi??

Wafanyabiashara hao lazima watalemea CCM

Mara ngapi mnawaambia watu wasisikilize clouds na bado ina wasikilizaji wengi?

Mara ngapi hao clouds wanatoa coverage za chadema?

Kuweni genuine na roho yako...nyie ndio mnakataaga wazazi wenu kuogopa watu

Jibu hoja, sitaki kukutukana, maana hauniwezi na sijawahi kushindwa

CDM ina miaka 25 sasa hawana TV, Radio na channel za maana wewe unataka mtu binafsi na utashi wake aache kufanya cha kumuingizia hela kisa akauogope wewe?

Huu umaskini wa akili mnautoa wapi? Au mbaona kila mtu yuko JF, Twitter na insta? Kitaa kila mtu ni clouds na hawana mawazo yenu ya ki patriotic but very childish kama wewe....
 
Clouds hawajaanza Leo kujihusisha na sisiemu, kama kufa wangeshakufa siku nyingi kumbuka miaka 10 ya Kikwete yote hawajamaa wamekuwa na sisiemu na hawakuyumba itakuwa Leo?

JPM alivyoingia madarakani tulijua itakiwa mwisho Wa clouds lakini ndio kwanza mpaka sim akawa anawapigia live so wale wanajua kucheza na nyakati

Uko sahihi

Nashangaa eti itakufa..

Taasisi yenye miaka 20 plus wanaifundisha how to run?

Hauwezi kuondoa ties za clouds na ccm! Lakini clouds bado wanafanya coverage za CDM nyingi tu

Ni watu binafsi na utashi wao na maamuzi yao na chombo chao

Kampeni zote za CCM clouds wanaandaa waimbaji wa bongoflavour, manyimbo kibao...ni maisha yqo

CDM ilipaswa kuwa na chombo au media pinzani hawana, na hawana mpango wowote...

Ni ubinafsi wa hali ya juu kulazimisha au kuwatisha clouds kwa dunia ya sasa ya digital!! Ambayo kuanzisha redio mtaji ni mdogo

Sasa kwa mindset hii upinzani ukikamata nchi si utalazimisha kila mtu awatukuze wao? Demokrasia ni pqmoja na kuruhusu wengine waishi watakavyo bila kutishana
 
Kimeingia, kimeuma hauwezi kujibu unarusha ngumi hewani

Nilichoandika cha uwongo ni kipi??

Wafanyabiashara hao lazima watalemea CCM

Mara ngapi mnawaambia watu wasisikilize clouds na bado ina wasikilizaji wengi?

Mara ngapi hao clouds wanatoa coverage za chadema?

Kuweni genuine na roho yako...nyie ndio mnakataaga wazazi wenu kuogopa watu

Jibu hoja, sitaki kukutukana, maana hauniwezi na sijawahi kushindwa

CDM ina miaka 25 sasa hawana TV, Radio na channel za maana wewe unataka mtu binafsi na utashi wake aache kufanya cha kumuingizia hela kisa akauogope wewe?

Huu umaskini wa akili mnautoa wapi? Au mbaona kila mtu yuko JF, Twitter na insta? Kitaa kila mtu ni clouds na hawana mawazo yenu ya ki patriotic but very childish kama wewe....
Ni ngumu kuwashawishi watu wasisikilize au kutizama clouds media. Narudiankusema kama clouds kufa ingekufa baada ya Kikwete kutoka madarakani, lakini mpaka Leo wanaendelea, watu wameongea sana clouds isuswe lakini sio rahisi, vijana wengi na watu wa lika la kati wanasikiliza clouds kwenye nagari wanapotoka na kwenda kazini, nenda Salun na madukani vijana wengi wa kike na kiume wanasikiliza clouds.

Ukitaka kusikiliza mziki mzuri, uchambuzi wa michezo wengi husikiliza na kutazama clouds so sio rahisi kushawishi watu waisusie. Eleweni wale hucheza na upepo na nyakati
 
Uko sahihi

Nashangaa eti itakufa..

Taasisi yenye miaka 20 plus wanaifundisha how to run?

Hauwezi kuondoa ties za clouds na ccm! Lakini clouds bado wanafanya coverage za CDM nyingi tu

Ni watu binafsi na utashi wao na maamuzi yao na chombo chao

Kampeni zote za CCM clouds wanaandaa waimbaji wa bongoflavour, manyimbo kibao...ni maisha yqo

CDM ilipaswa kuwa na chombo au media pinzani hawana, na hawana mpango wowote...

Ni ubinafsi wa hali ya juu kulazimisha au kuwatisha clouds kwa dunia ya sasa ya digital!! Ambayo kuanzisha redio mtaji ni mdogo

Sasa kwa mindset hii upinzani ukikamata nchi si utalazimisha kila mtu awatukuze wao? Demokrasia ni pqmoja na kuruhusu wengine waishi watakavyo bila kutishana
Uko sahihi, wale tulioanza enzi za disco bombastic pale coco beach enzi za akina Boni love na fiesta za miaka ya 2000 mwanzoni tunaelewa clouds sio rahisi kuwaangusha, hawa watu wanajua kucheza na nyakati.

Jiulizeni kwanini media zilizoanza miaka pamoja na clouds kwnn hazipati umaarufu na kusikilizwa sana kama clouds? Tuache chuki sio rahisi watu wote wawe kama unavyopenda wewe.
 
Back
Top Bottom