Clouds Media, kuweni makini na kujiingiza kwenye siasa. Mtasuswa na watanzania!

Nilishawaonya clouds kuelemea CCM kupitia kipindi Chao Cha clouds 360 ila naona hawajakoma .

Kusaga akumbuke alianzisha kijifundrise chake Cha kipumbavu akihamasisha wenye hell kuchangia kits za covid 19 bila magu kumuonea aibu alimpiga ban kwakukataza huo upuuzi Tena akamwambia Kuna watu nasikia wameanza kuchangisha michango ya covid 19 hivi kusaga hajui ameanza kuanguka? Alitumia mbeleko ya kumsifu ummy mwalimu kusaga kumbuka tuliokuweka hapo juu ni sisi wewe endelea kumsifu mfalme ukasahau ulikotoka .

Soma aya ya mwisho kusaga.

Clouds ni mali ya familia kumbuka ulikabidhiwa wewe toka kwa baba yako mkubwa ambae ndio alibidi apewe clouds wewe ni dogo Sana kwasababu wewe ni mjukuu mdogo wa mtoto mdogo wa mzee kusaga yule dogo wa morogoro baba yake ni mkubwa kwako na Sasa wale watoto wanakuja unajua kwanini wiki hii dogo kaenda mbeya....???

Sasa tunakuambia hivi...

Yule mdogo wako anaevuta bangi mafisa morogoro na kunywa gongo sasahivi akili imepevuka anaanza kudai umiliki wa Mali maanahiyo sio Mali yako ni ya familia endelea kufagilia upande mmoja ukaacha wa pili wanasiasa wanapita ....!

Naona una tamani ungekuwa mke wa huyo dogo anayevuta bangi!!!!!

Media zote, magazeti yote yameelemea CCM

Kungekuwa na 50-50% labda chadema atachukua nchi makes your statement valid ..ushindi wa ccm ni 99.7%‰

Kumbuka ni taasisi binafsi
 
Chadema iliwahi kuwaamuru watanzania kuipuuza TBC na kuanzia hapo mpaka naandika uzi huu TBC imepuuzwa nchi nzima na hata watangazaji wake wakitangaza bila kuvaa nguo hakuna mwananchi atakayeangalia TBC.
Tbc inaangaliwa na mamilioni ya watanzania,nyumbu hawajawahi kususa wakfanikiwa
Mliwahi kususia line za voda,mlipata nini?
Unamsaidia kusaga kulipa mishahara?
Chadema acheni kulia lia
 
Naona una tamani ungekuwa mke wa huyo dogo anayevuta bangi!!!!!


Media zote, magazeti yote yameelemea CCM

Kungekuwa na 50-50% labda chadema atachukua nchi makes your statement valid ..ushindi wa ccm ni 99.7%‰

Kumbuka ni taasisi binafsi
Malcom X angekua na akili ya kipumbavu kama yako sidhani kama ungemjua na kutumia Picha yake kwenye Avatar yako.
 
Waliwahi kupigiwa simu asubuhi moja na Magufuli mwaka jana ndio kitu kinachowafanya wawe watumwa.

Watakuwa wameshaiona fursa kama kawaida yao, hata siwashangai.
 
Back
Top Bottom