Ngumu kumeza
JF-Expert Member
- Jun 19, 2012
- 577
- 354
Mhh! Mkuu pana ukweli hapaCIA walimuua mpaka Kanumba wetu..
Mhh! Mkuu pana ukweli hapaCIA walimuua mpaka Kanumba wetu..
Mbona hawamuui elton john??
Michael jackson
Nmekupata mkuu..but what things are u try to justify...???Ku synthesize kwenye Biological Lab zao virusi vinavyo changanya akili system nzima ya kinga ya mwili (AIDS) a Biological mass destruction weapon!!!
Wanadamu wangapi Duniani wamepoteza maisha kutokana na tatizo hili, wanakwenda kusingizia Sokwe wa Equatorial forest nchini Congo.
Whitney alijimaliza mwnywe n madawaWhitney Houston.......
Aaliya.....
Lisa Lopez.......
Mkuu unaweza kuekezea kidogo kifo cha Walter Rodney kilikuaje na alifia wap mana huyu jamaa nlimsoma kweny world history book kinachohusu mambo ya capitalism* Raisi wa Chile Salvador Allende.
* Mohammad Mossadegh (IRAN).
* Robert F. Kennedy.
* Maurice Bishop (Grenada).
* Garry Web - US journalist.
* Che Guevara.
* Walter Rodney (Guyana)
KanumbaWafuatao ni wahanga wa mauaji yaliyofanywa na CIA
Bob Marley
JF Kennedy
Ernesto che Guevara
Patrice Lumumba
Hugo Chavez
Ongezea unaowajua wengine...
Upo sahihi mkuu... Special interegensi unit hiyo Ku Klux Klan ilianzishwa na FBI huko USA kwa ajili ya kuwa assassinate front liners Wa black independence movement waliokua wanajalibu kuleta emancipation kwa blacks kuhus haki zao na kujikomboa na utumwaCIA ndio walitekeleza hata naishi ya Martin Luther King kipindi hiko CIA wanajiita KU KLUX KLAN
Bila kumsahau Amina ChifupaKanumba
Ngwair
Nyerere
John Walker
Mtoto wa dandu
Mkuu unaweza kuekezea kidogo kifo cha Walter Rodney kilikuaje na alifia wap mana huyu jamaa nlimsoma kweny world history book kinachohusu mambo ya capitalism
James Brown (soul Brother No. 1) amefariki miaka ya hivi karibuni karne ya 21 muda mrefu tu baada ya kustaafu uimbaji kama ilivyo kwa Barry White. Hivyo kusema Brown aliuawa na "hao hao," inaweza isiwe sahihi. Bob Marley alikuwa mwanamapinduzi na nyimbo zake ziliashiria hilo. Marley alikuwa sauti ya wanyonge wa Carribean na weusi kwa jumla. Vuguvugu lao la "Rastafarian", halikusomeka vizuri katika siasa za miaka hiyo. Mtakumbuka Walter Rodney mwanamapinduzi toka Carribean (Mhadhiri UDSM miaka ya sitini kuingia sabini) mwana-Rastafari kutokana na kuvaa nywele zao, aliuwawa kwa shambulio la bomu huko Guyana baada ya kujihusisha na siasa za huko. Kitabu chake "Jinsi Ulaya Ilivyodumaza Maendeleo ya Afrika", hakikuwavutia wakubwa wa magharibi. Ukiunganisha mzunguko huo wa akina Rodney, Marley na hapo nyuma George Padmore na Marcus Garvey na vuguvugu lao la "Turejee Afrika" unaweza ukakubali ya kwamba Marley aliuawa na wakoloni mambo leo na taasisi kaidi za zama hizo kama CIA kutokana na uanamapinduzi wake na mvuto mkubwa aliokuwa nao kwa vijana wanyonge weusi wa Jamaica na Afrika na Amerika ya Kusini.jimmy Hendrix,James Brown waliuwawa ns hao hao
Wafuatao ni wahanga wa mauaji yaliyofanywa na CIA
Bob Marley
JF Kennedy
Ernesto che Guevara
Patrice Lumumba
Hugo Chavez
Ongezea unaowajua wengine...
Malcom X ingawa familia ya malcom inaamini national islam(NI) ndio wamehusika kumuua, one member of NI john ally was undercover spy of FBIWafuatao ni wahanga wa mauaji yaliyofanywa na CIA
Bob Marley
JF Kennedy
Ernesto che Guevara
Patrice Lumumba
Hugo Chavez
Ongezea unaowajua wengine...
Jah don't work for CIA (rats race)amini tu ndo ilivyo! CIA wasikie kwa jirani,kati ya nyimbo zinazoishi na zitaishi siku nyingi zaidi ni nyimbo za reggae(roots)! salute kwako mkuu,leo nakula reggae tu "live concert za bob marley"
who's next , nina wasiwasi LUPE FIASCO watamuua hawa mbwa, kwa sababu lupe uwa anawachana liveCIA ndio walitekeleza hata naishi ya Martin Luther King kipindi hiko CIA wanajiita KU KLUX KLAN
umeniumbusha Manuel Noriega, US ilipoivamia Panama na kumkamataAlifia kwao Gayana, walitega bom kwenye gari yake likamlipukia na kumuua, Serikali ilidai kwamba yeye ndiye alibeba bom akiwa na lengo la kwenda kulipua gereza kuwachia wafungwa kwa bahati mbaya likamlipukia yeye, huo ulikuwa ni uongo, mtu msomi na mweledi kama Rodney hasingeweza kufanya kitendo cha kijinga kama hicho.
Ukweli wa mambo ni kwamba mpango wa kumumaliza Rodney ulisukwa na CIA. Marekani ilikuwa na wasi wasi na Rodney kutokana na misimamo yake, kumbuka miaka hiyo vita vya baridi kati ya Urusi na nchi za magharibi vilikuwa vimepamba moto, Marekani walifikiri kama jamaa anaweza kuwania kiti cha Urais na akishinda basi nchi yake inaweza kuwakaribisha Warusi/Wacuba wakaweka vituo vyao vya kudumu vya kijeshi, wakaingilia influence ya Wamarekani kwenye backyard yake! Marekani uzichukulia baadhi ya nchi ya Carribean, Amerika kusini kama ni backyard yake.
Kumbuka hata Maurice Bishop aliuwawa kutokana na sababu hizo hizo na nchi yake ya Grenada kuvamiwa na kikosi cha Navy ya Marekani kwa amri ya Reagan.