Kanumba wenu na nani??CIA walimuua mpaka Kanumba wetu..
Bangi zilimfanya awe smarter akaona vitu ambavyo mtumia wa bombe haioni ndio maana walimuuaalikuwa na impact gani hadi wazee wa kazi a.k.a wazee wa mission CIA wamuue?????? au bange zake tu zilimzidia.
Chavez alikua na upeo mkubwa juu,, ya developing countriesLatest victim wa CIA ni raisi wa Venezuela Hugo Chaves!
Sipati picha mm mtumiaji wa bange na pombe nina uwezo wa kuona vitu gani!Bangi zilimfanya awe smarter akaona vitu ambavyo mtumia wa bombe haioni ndio maana walimuua
Jaribu ila kwanza acha kutumia pombeSipati picha mm mtumiaji wa bange na pombe nina uwezo wa kuona vitu gani!
Na mpaka sasa Venezuela inamtuhumu marekani Kwa kuwapandikiza viongozi wake watano kirusiLatest victim wa CIA ni raisi wa Venezuela Hugo Chaves!
Marcom XWafuatao ni wahanga wa mauaji yaliyofanywa na CIA
Bob Marley
JF Kennedy
Ernesto che Guevara
Patrice Lumumba
Hugo Chavez
Ongezea unaowajua wengine...
Evidence kaka..Bob Marley alikufa kwa ngoma
KanumbaWafuatao ni wahanga wa mauaji yaliyofanywa na CIA
Bob Marley
JF Kennedy
Ernesto che Guevara
Patrice Lumumba
Hugo Chavez
Ongezea unaowajua wengine...