Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Wakuu the magnificent RRONDO Piere. Fm Mr. Wise

Ebu Km mnataka muwe Fair basi hiyo Hali ya kutokumpenda Jose muiweke pembeni na tuseme ukweli!

Naona wengine mnazungumzia aina ya mpira ambao Jose anafundisha na wengine mnasema kwamba Jose hakua chaguo la Abramovic kitu ambacho si kweli!

Nafikiri kiasi mmeona chanzo cha Hazard na Jose kupishana ni Hazard mwenyewe!

Tuwe wakweli tusiongee tu kwa kua wengine hawampendi Jose!

Ebu Angelia Guadiola anavyochemka na yeye kwa Munich?

Angalia Yule Wa Fc Barcelona?

D Moyes? Wenger?

Kuna mambo mengi unaweza ukaona kwa Hawa wote
Ntuzu,Mimi ni mmoja wa mashabiki wa Jose but siku hizi ameanza kunidissapoint sana.Jose ni kocha ambae akienda kwenye timu msimu wa kwanza anachukua ubingwa huwa hana muda wa kujenga timu na anaweza kuwajenga players kisaikolojia wakapambana kwa ajili ya timu.Wachezaji wengi wanamsifia kwa hilo

Tatizo lake kubwa ni kupenda kuwafurahisha watu wa media bila kuangalia impact yake kwenye timu alivyoenda Madrid aligombana na wengi kuanzia Valdano,Zizou,Pepe,Ramos,Ozil na wengineo hii ikasababisha timu ikawa inachemsha.Msimu wake wa mwisho Madrid alisema ndio msimu mbaya tangu aanze kufundisha naona msimu huu amechemsha sana
Msimu huu tena anaanza kuivuruga timu kupitia kwenye media hizi issue angekaa kimya akawaadhibu wachezaji kimya kimya.Last season Benitez alipewa timu mashabiki walimzomea kuanzia mwanzo hadi anaondoka but alipata mafanikio kuliko Jose msimu huu licha ya kufanya kazi kwenye mazingira magumu,kumbuka Jose kawanunua Etoo,Salah,Matic,Willian,Schurle pia alikuwa na Mata na Lukaku.Ngoja tuone msimu ujao atakuja vipi
Jose sio wa kumlinganisha kabisa na Moyes,Wenger au Martimo
 
Last edited by a moderator:

Mkuu Unajua mimi najaribu kuwaweka saws Hawa ndugu ktk hoja zao dhidi ya Jose maana kuna wengine wanaongea kwa msukumo Wa chuki dhidi ya Jose na si kuleta hoja yenye afya na Ndio maana nimewatolea mfano kwa makocha wengine ambao wamevuruga msimu huu au ktk CL ili waone kwanini Jose tu Ndio wao wanaona kua Ndio hafai au ana mapungufu?

Media za England Mkuu ni chokozi sn na wanaweza kumtafuta Mtu kwa Hali yoyote ile ata kwa kupitia wachezaji Km tulivyoona kwa Hazard na Lkn Jose analifahamu Hilo vzr sn na ata ktk msimu huu hajatumia sn media na amekua makini na kauli ZAKE kwa media!

Kuhusu kununua wachezaji Km schullre, Willian Etoo Matic na Salah. Matic na Salah Hawa wangeweza kutusaidia sn kwenye CL hasa kwa game ya ATM Lkn willian na Etoo na Schullre wamekua na msimu mzuri na viwango vyao vinalizisha!

Lukaku kiwango chake hakikua kizuri pale mwanzo Wa msimu! Ngoja tuone kwa msimu huu unaokuja!

Sijakufahamu pale uliposema kua Jose Sio Wa kulinganisha na hao makocha! Kwanini Mkuu?
 
Last edited by a moderator:
[FONT=Arial, Helvetica Neue, Helvetica, sans-serif]Kelele nyingi hizi zinatokana na matokeo haya msimu huu:

Chelsea vs Man United: 3 - 0
Chelsea vs Man city: 1 - 0
Chelsea vs Liverpool: 2 - 0
Chelsea vs Arsenal: 6 - 0
[/FONT]

Then mwisho wa League May 11 utakuwa wa 3!Kushinda EPL title inahitaji uzifunge hata team ndogo kama Sunderland na Crystal Palace
 
Wakuu the magnificent RRONDO Piere. Fm Mr. Wise

Ebu Km mnataka muwe Fair basi hiyo Hali ya kutokumpenda Jose muiweke pembeni na tuseme ukweli!

Naona wengine mnazungumzia aina ya mpira ambao Jose anafundisha na wengine mnasema kwamba Jose hakua chaguo la Abramovic kitu ambacho si kweli!

Nafikiri kiasi mmeona chanzo cha Hazard na Jose kupishana ni Hazard mwenyewe!

Tuwe wakweli tusiongee tu kwa kua wengine hawampendi Jose!

Ebu Angelia Guadiola anavyochemka na yeye kwa Munich?

Angalia Yule Wa Fc Barcelona?

D Moyes? Wenger?

Kuna mambo mengi unaweza ukaona kwa Hawa wote

Mkuu siyo kwamba watu hatumpendi Mourinho but nawe pia unapaswa kuwa fair huwezi ukasema Hazard hajitumi wakati ndiyo mchezaji ambaye kakufungia magoli mengi msimu huu, na kama haitoshi FA na wadau wengine wamemuona na kutambua kuwa yeye ndiye mchezaji bora wa msimu kwa wachezaji wadogo na hakuna aliyelalamika kuwa tuzo kapendelewa.
Hebu niambie kweli Hazard hajitumi? Ni katika mechi ngapi jamaa kaikoa timu halafu leo useme kuwa hajitumi.
 
Last edited by a moderator:
Then mwisho wa League May 11 utakuwa wa 3!Kushinda EPL title inahitaji uzifunge hata team ndogo kama Sunderland na Crystal Palace

Hongera Man United for beautiful football. Sunderland 1, Man U 0....:smile-big:
 
Mkuu siyo kwamba watu hatumpendi Mourinho but nawe pia unapaswa kuwa fair huwezi ukasema Hazard hajitumi wakati ndiyo mchezaji ambaye kakufungia magoli mengi msimu huu, na kama haitoshi FA na wadau wengine wamemuona na kutambua kuwa yeye ndiye mchezaji bora wa msimu kwa wachezaji wadogo na hakuna aliyelalamika kuwa tuzo kapendelewa.
Hebu niambie kweli Hazard hajitumi? Ni katika mechi ngapi jamaa kaikoa timu halafu leo useme kuwa hajitumi.

Binafsi namkubali sn Hazard ata Jose pia na yeye anamkubali Hazard! Haya ni mambo tu yaliyotokea hasa ktk game ya ATM!
 
Na ni hakika Mourinho hawezi kubadilisha mpira wake na akitokea kubadili ina maana akubali kufungwa mara kwa mara na hii ni kwasababu mech karibia zote ambazo Mourinho kafungwa ni baada ya yeye kufunguka kucheza mpira uwanja mzima wakati wote so kwa mising hiyo sidhani kama Mourinho anaweza kukubali kufungwa mara kwa mara na niwaz kuwa kupark basi kutaendelea chini ya Mourinho na ni kitu ambacho Roman hapendi na kumbuka pia moja kati ya vitu vilivyofanya Mourinho aondoke kipindi kile ni kutocheza mpira wa kuvutia kitu ambacho Don hakitaki.
im sure he will try to change lets wait and see wachezaji atakaowanunua ashaanza na diego tayari.
 
40s ago19:07

76 min: Naismith is clutching his face after Fernandinho caught him late. He's making a meal out of it.

3m ago19:05

74 min: Silva's first involvement is to pick himself off the turf. Alcaraz was too strong for him in the middle of the field. He hasn't got a lot of time to get to grips with this game. If City want to dig in for this win, is he the man to see them home. Maybe attack is the best form of defence.

5m ago19:03

73 min: Nasri off, Silva on. Nasri is wincing like he's tweaked something. How fit is Silva?

50s ago19:02

70 min: In the same move, Kolarov is too slow getting his shot off and it goes from a corner. First Kompany had a header blocked, then Demichelis has a shot blocked. That was destined for the corner.

1m ago19:01

69 min: Zabaleta, Milner and Nasri play a lovely triangle which leaves Zabaleta in the clear. A great first touch but Howard saves well with his left foot. That was studs and not a lot else. Small margins at the moment.
 
im sure he will try to change lets wait and see wachezaji atakaowanunua ashaanza na diego tayari.
Sasa kama timu haishambulii na mpaka Hazard amenuna, ukimleta Diego Costa unataka acheze kama beki ama defensive mid?
Diego kwenda darajani ni kuua kipaji unless aje kocha mwingine
 
Thank you Atletico Madrid for teaching "The Special one" how soccer is played.
Angalau tutalala usingizi sasa
 
Aaaaaaah Sizinga umeanza Mkuu!

Threads zote zimepoa Mkuu!

Ata ya Liverpool kule lol!

Hahaaa mkuu sredi yetu iko gado kule ila hii ya Liver sijui tatizo nini...si tushajihakikishia 4th coz leo tushampiga WBA goli 1 na tayari tunamalizia ratiba huku tukijiandaa kuchukua Ndoo ya FA 2014
 
Aaaaaaah Sizinga umeanza Mkuu!

Threads zote zimepoa Mkuu!

Ata ya Liverpool kule lol!
Humu game inacheza umebaki wewe tu umekuwa Kama Nzi ndomana Nzi nampa heshima yake na yeye anabaki sababu ni Charles hilal wa rumu anatangaza mpira.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom