Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Pakini basi lenu na leo!!!

Team inacheza mpira m-bovu, eti iingie fainali..mpira usingekuwa fair kabisa!!!!!
 
Maureen bora tu alete behewa kupunguza aibu ya magoli make hawa jamaa naona wana hasira sana.
 
mji utatulia sasa hata akina MosDef Baba Kelvin Sizinga watapumua maanake tulikuwa hatulali...oh team with special spirit with special one as a coach yaani kelele tu...pakini train next time maanake bus halitoshi linaacha mapengo
Mentor naomba picha tafadhali maanake mkishinda unageuka Tyta
 
Last edited by a moderator:

kwa kweli RRONDO asa ivi tutahema hawa jamaa walikua wanatunyima hewa hapa mjini!
 
Last edited by a moderator:
mji utatulia sasa hata akina MosDef Baba Kelvin Sizinga watapumua maanake tulikuwa hatulali...oh team with special spirit with special one as a coach yaani kelele tu...pakini train next time maanake bus halitoshi linaacha mapengo
Mentor naomba picha tafadhali maanake mkishinda unageuka Tyta

leo kakutana na Muhuni wa Madrid, simeone, ambaye nae anaiweza Dirty football vile vile!!!

Walipwaya kina Messi na iniesta kwenye huo mziki, sembuse Hazard na willian!!!!!????
 
Last edited by a moderator:
Wenye roho za kutu na Chelsea leo mmefurahi wenyewe. Tuna msiba humu leo next time tutafika fainali na kuchukua kombe kabisa.
 
ImageUploadedByJamiiForums1398890380.771662.jpg
 
Ngoja nimsaidie Mentor kuweka picha najua atakuwa hoi bin taabani

watu walikuwa na uhakika wanaenda wapi....
Atletico-fans--001.jpg

mourinho angeazima hili BUS yeye kaweka DCM
Atletico-team-bus-002.jpg

dalili ya mvua ni mawingu
Koke-shot-hits-the-bar-007.jpg

'special one'
Chelseas-Jose-Mourinho-ri-005.jpg

muuaji wao
Gary-Cahill-blocks-Diego--006.jpg

kutangulia si kufika
Fernando-Torres-009.jpg
 
Last edited by a moderator:
Kwanini leo halikuwekwa KOntena au lile basi maarufu la Chelsea??????????
 
daaaa waache watufunge kwakuwa walituzid maarifa...
viva club atletico madrid.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom