Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Mkuu kutakua na shida kidogo Kati ya Hazard na Jose na Hii inatokana na makosa aliyofanya Hazard ktk machine ya ATM! Na pia nahisi Hazard anataka kuondoka Chelsea Ndio maana anaamua kua ktk Hali ya kupishana na Manager wake!

Kwa mfano Baada ya game ya Chelsea na Man City ambayo Chelsea alishinda, Hazard alikaliliwa na akisema kua analizika na kucheza ktk mazingira hayo ya kukaba na kushambulia! Kwahiyo haya yanayotokea ni kwamba Hazard anajitetea kutokana na makosa au anataka kuondoka. Na Jose yeye anajibu kile Hazard anachosema!

Nafikiri tusubiri tuone nini kitatokea!

situation hizi zinataka 'man management skills' na si ubabe. vipi jirani mpangaji mwenzio agosti 8 yupo?? sijamuona kabisa siku mbili hizi hapa mtaani.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu kutakua na shida kidogo Kati ya Hazard na Jose na Hii inatokana na makosa aliyofanya Hazard ktk machine ya ATM! Na pia nahisi Hazard anataka kuondoka Chelsea Ndio maana anaamua kua ktk Hali ya kupishana na Manager wake!

Kwa mfano Baada ya game ya Chelsea na Man City ambayo Chelsea alishinda, Hazard alikaliliwa na akisema kua analizika na kucheza ktk mazingira hayo ya kukaba na kushambulia! Kwahiyo haya yanayotokea ni kwamba Hazard anajitetea kutokana na makosa au anataka kuondoka. Na Jose yeye anajibu kile Hazard anachosema!

Nafikiri tusubiri tuone nini kitatokea!

Tatizo Mou naye hana ustaharabu, umeona upuuzi aliofanya Gerrard game ya Chelsea, ulicheki kesho yake BR alimzungumziaje.
 
sisi wapinzani hatuna shida kadri kunavyokuwa na misunderstanding ndo faida kwetu so waache waendelee kujibizana tu.
 
Mkuu uyu mtu alichafua hewa ktk chumba cha kubadilishia nguo alipokua R.Madrid nadhani sasa soon Chelsea anachafua tena, Kuna harufu ya yeye kupewa virago vyake hapa
hawezi kutupiwa virago kwa sasa hivi atleast kwa mwakani ila itategemea na aina ya soka atakayoamua kucheza nayo mwakani
 
Tatizo Morinyo siku hizi amekuwa muongeaji sana public,I think some issue ni bora asiziongee mbele ya media azi-handle internal .Alianza kujibizana na Lukaku,akampiga madongo Etoo ingawa hii ilisaidia now Hazard na Luiz
 
soon watajua kwanini man ut walimu-overlook hadi akalia.
 
Tatizo Mou naye hana ustaharabu, umeona upuuzi aliofanya Gerrard game ya Chelsea, ulicheki kesho yake BR alimzungumziaje.

Ustaarabu amekosa kwanza Hazard! Kuna kitu Hazard amekusudia! Kwasababu Hazard ameongea sn karibu Mara mbili kwanza ameongea kua Chelsea haijajengwa kucheza mpira na pia amesema hawezi fanya kila kitu yeye!

Hizo kauli zake lazima Manager km manager ajibu! Kwasababu siku ile Baada ya game ya ATM Jose aliwasifu wachezaji wake wote na kuisifu ATM! Baada ya hapo vyombo vya Habari na wachambuzi Wa soka Ndio wakamchokoza Hazard na yeye Ndio akaropoka! Sasa Sijui alisema kwa nia nzuri au la! Lkn nakumbuka Jose alikua anampenda sn Hazard mpk akasema wazi kua Future ya Hazard itakuaje Km ya Kina Messi na Ronaldo!

Tusubiri tuone!
 
dah! We jamaa unampenda morinyo,husikii la kuambiwa! Safi sana.
 
Mou
"I'm guilty of being judged by higher
standards, and I'm proud to be
guilty of that."
 
Hilo lipo wazi mkuu hakuna teamwork pale but angalia wachezaji wa Atretico ni wachezaji wasiokuwa na majina makubwa lakini wana teamwork ya maana we angalia ktk 1st eleven yao kuna watu kama Raul Garcia hakuwepo, Dieogo Rabas hakucheza kabisa bila kumsahau the Old Man David Villa lakin jamaa walitakata na siyo siri wana mpira flani wa kipekee.

Hata CHL wana mpira wa kipekee. Mpira una matokeo matatu--kushinda, kufungwa, na sare. Msimu huu umekuwa mbaya! Usisahau ni timu hiyo hiyo iliyochukua UEFA na Europa Cup! Give them credits!

Nani alitarajia Man U kushika nafasi ya saba kwenye ligi kuu?
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
hawezi kutupiwa virago kwa sasa hivi atleast kwa mwakani ila itategemea na aina ya soka atakayoamua kucheza nayo mwakani

Na ni hakika Mourinho hawezi kubadilisha mpira wake na akitokea kubadili ina maana akubali kufungwa mara kwa mara na hii ni kwasababu mech karibia zote ambazo Mourinho kafungwa ni baada ya yeye kufunguka kucheza mpira uwanja mzima wakati wote so kwa mising hiyo sidhani kama Mourinho anaweza kukubali kufungwa mara kwa mara na niwaz kuwa kupark basi kutaendelea chini ya Mourinho na ni kitu ambacho Roman hapendi na kumbuka pia moja kati ya vitu vilivyofanya Mourinho aondoke kipindi kile ni kutocheza mpira wa kuvutia kitu ambacho Don hakitaki.
 
Hata CHL wana mpira wa kipekee. Mpira una matokeo matatu--kushinda, kufungwa, na sare. Msimu huu umekuwa mbaya! Usisahau ni timu hiyo hiyo iliyochukua UEFA na Europa Cup! Give them credits!

Nani alitarajia Man U kushika nafasi ya saba kwenye ligi kuu?

... Nzi na Belo, na kama wanabisha hawakutegemea hilo waje wakanushe hapa,
mie Mbu, Wacha1, piere.fm, Balantanda, Mentor na wengineo wengi kwa #MwendoKasi ule
tulijua watashuka daraja aisee!
 
Ustaarabu amekosa kwanza Hazard! Kuna kitu Hazard amekusudia! Kwasababu Hazard ameongea sn karibu Mara mbili kwanza ameongea kua Chelsea haijajengwa kucheza mpira na pia amesema hawezi fanya kila kitu yeye!

Hizo kauli zake lazima Manager km manager ajibu! Kwasababu siku ile Baada ya game ya ATM Jose aliwasifu wachezaji wake wote na kuisifu ATM! Baada ya hapo vyombo vya Habari na wachambuzi Wa soka Ndio wakamchokoza Hazard na yeye Ndio akaropoka! Sasa Sijui alisema kwa nia nzuri au la! Lkn nakumbuka Jose alikua anampenda sn Hazard mpk akasema wazi kua Future ya Hazard itakuaje Km ya Kina Messi na Ronaldo!

Tusubiri tuone!

Mkuu Ntuzu Mourinho kakupa nin wewe!? Mpaka unamuona Mungu mtu kwamba hakosei!? To be honest licha ya kwamba Hazard inawezekana anataka kuondoka lakini ni ukwel kuwa alichokiongea ni sahihi kwamb hakuna mpira unaochezwa pale na kwa hili hii sidhani kama yule Mrusia anaweza kumvumilia Mouthrinho kwa Miaka mitatu.
 
Sababu ya Mourinho kushinwana na Abramovich mara ya kwanza ni aina ya mpira ambao Chelsea walikuwa wanaucheza ingawa mafanikio waliyapata. Sasa hivi naona wanarudi kule kule Mourinho hawezi kuleta sexy football Stamford Bridge akishindwa anaanza kulaumu watu wengine kuanzia wachezaji hadi management.
 
Na ukizingatia kuwa uwepo wa Mourinho pale darajani ni kutokana na ushawish wa Management Mourinho hakuwa Chaguo la Roman so that why nasema sidhani kama Mourinho kipenzi cha akina Ntuzu na wenzake anaweza kumaliza miaka 3 pale darajani.
 
Ustaarabu amekosa kwanza Hazard! Kuna kitu Hazard amekusudia! Kwasababu Hazard ameongea sn karibu Mara mbili kwanza ameongea kua Chelsea haijajengwa kucheza mpira na pia amesema hawezi fanya kila kitu yeye!

Hizo kauli zake lazima Manager km manager ajibu! Kwasababu siku ile Baada ya game ya ATM Jose aliwasifu wachezaji wake wote na kuisifu ATM! Baada ya hapo vyombo vya Habari na wachambuzi Wa soka Ndio wakamchokoza Hazard na yeye Ndio akaropoka! Sasa Sijui alisema kwa nia nzuri au la! Lkn nakumbuka Jose alikua anampenda sn Hazard mpk akasema wazi kua Future ya Hazard itakuaje Km ya Kina Messi na Ronaldo!

Tusubiri tuone!

Mwanao akikutusi hadharani, nawewe utamjibu hadharani????????Mou anachemka iyo hata kama Hazard angeongea vipi yeye (Mou) angebidi amalizane nae kimya kimya huko huko sio kwenye vyombo vya habari.
 
Wakuu the magnificent RRONDO Piere. Fm Mr. Wise

Ebu Km mnataka muwe Fair basi hiyo Hali ya kutokumpenda Jose muiweke pembeni na tuseme ukweli!

Naona wengine mnazungumzia aina ya mpira ambao Jose anafundisha na wengine mnasema kwamba Jose hakua chaguo la Abramovic kitu ambacho si kweli!

Nafikiri kiasi mmeona chanzo cha Hazard na Jose kupishana ni Hazard mwenyewe!

Tuwe wakweli tusiongee tu kwa kua wengine hawampendi Jose!

Ebu Angelia Guadiola anavyochemka na yeye kwa Munich?

Angalia Yule Wa Fc Barcelona?

D Moyes? Wenger?

Kuna mambo mengi unaweza ukaona kwa Hawa wote
 
Last edited by a moderator:
[FONT=Arial, Helvetica Neue, Helvetica, sans-serif]Kelele nyingi hizi zinatokana na matokeo haya msimu huu:

Chelsea vs Man United: 3 - 0
Chelsea vs Man city: 1 - 0
Chelsea vs Liverpool: 2 - 0
Chelsea vs Arsenal: 6 - 0
[/FONT]
 
... Nzi na Belo, na kama wanabisha hawakutegemea hilo waje wakanushe hapa,
mie Mbu, Wacha1, piere.fm, Balantanda, Mentor na wengineo wengi kwa #MwendoKasi ule
tulijua watashuka daraja aisee!

Come on!! Matarajio ya United siku zote ni kushinda ubingwa aisee....ila kwa mujibu wa habari nyepesi nyepesi, nasikia mwaka huu matarajio yalikuwa ni kuwemo angalau kwenye top 4!!

Hivyo hata mimi sikutarajia kama tutakuwa tunagombania nafasi ya kucheza Europa League aisee :A S-confused1:
 
  • Thanks
Reactions: Mbu

Similar Discussions

Back
Top Bottom