Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Huwa sishabikii timu. Kushabikia timu inakufanya unakuwa blind.

Bloody liar .... khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee timu yako inajulikana Loser Fools ... ... khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
naona mtani umekuwa mdogo kama punje ya mtama....maneno haya na yale uliyokuwa unahubiri wiki chache zilizopita ni tofauti kabisa!!! wewe ulishajitangazia ubingwa wa EPL LEO HII UNAKULA MANENO YAKO....
kayala na kaenda kuyashusha msalani. Mwenzake Agosti 8 anadai kauza simu na computer anunue BuS.
 
Mkuu mi tangu tumefungwa Na ATM Na kutolewa ktk cl sifatilii kabisa mpira! Na pia nasubiri nione yeyote Yule atakaechukua kombe! Iwe liver au city!

Ndoo Maana unaona nipo tu wakuu!

Nasubiri msimu wetu ujao Huu umeshatupita!

dUH SIAMINI KAMA HAYA MANENO YAMETOKA KWAKO...ANYWAY HUO NDO UKUBWA MKUU
 
kayala na kaenda kuyashusha msalani. Mwenzake Agosti 8 anadai kauza simu na computer anunue BuS.

HUYU MKUU agosti 8 nitampa R>I>Q muda si mrefu...ushabiki utamtokeaje puani huyu bwana...manake tulikuwa hatuna raha hapa Jamvini...duh kweli ATLETICO kaleta msiba darajani
 
Last edited by a moderator:
Wakuu wa mafioso msijali baada ya mkutano wa leo mechi ilipokwisha imeamuliwa kwamba Chelsick ndio wabebe kombe mwaka huu. Hivyo Mancs na Loser Fools walie tu .... .. .. khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee mpunga ushatolewa jalo jalo khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Mkuu mi tangu tumefungwa Na ATM Na kutolewa ktk cl sifatilii kabisa mpira! Na pia nasubiri nione yeyote Yule atakaechukua kombe! Iwe liver au city!

Ndoo Maana unaona nipo tu wakuu!

Nasubiri msimu wetu ujao Huu umeshatupita!

hahahahahaha!!!!!

Damn!!
 
Sasa kama timu haishambulii na mpaka Hazard amenuna, ukimleta Diego Costa unataka acheze kama beki ama defensive mid?
Diego kwenda darajani ni kuua kipaji unless aje kocha mwingine
teh teh teh obviusly mpira mzuri hauchezwi na top striker wale kazi yao kufunga tu ngioja tuone atasajili viungo gani wazuri wa pembeni na wakati hao ndo wanaochezesha timu
 
George Best = # 7.
David Beckham = #7.
Christiano Ronaldo = #7.
Manchester United = #7.

na wewe pia unashangilia?:shock:
kayala na kaenda kuyashusha msalani. Mwenzake Agosti 8 anadai kauza simu na computer anunue BuS.
 
Soon Na Mimi ntakucheka!

Damn!!

Game ya leo usiku, tunatakiwa tushinde ili tuzidi kuipa Pressure Man shitty hasa kwenye game yao na Aston Villa J5..

Ila to be honest, sidhani kama Aston Villa wanaweza wakafanya chochote, lakini kwenye Football anything can happen!!!
 
Mkuu Mosdef nashukuru kwamba nimekufunga msimu huu nje na ndani.
Nakutakia heri kwenye jitihada zako...🙂
Game ya leo usiku, tunatakiwa tushinde ili tuzidi kuipa Pressure Man shitty hasa kwenye game yao na Aston Villa J5..

Ila to be honest, sidhani kama Aston Villa wanaweza wakafanya chochote, lakini kwenye Football anything can happen!!!
 
Asanteni kwa 'madongo' nipo wakuu.

Sizinga umeridhika na #4?
HUYU MKUU agosti 8 nitampa R>I>Q muda si mrefu...ushabiki utamtokeaje puani huyu bwana...manake tulikuwa hatuna raha hapa Jamvini...duh kweli ATLETICO kaleta msiba darajani
 
kulikuwa na penati 4 jana:

Norwich 1 - 3 Chelsea fc.

ingekuwa LFC wangepewa zote hizo!:shock:
 
JT in the house; any question?:smile-big:

Ques: Mkuu nini kilikusibu hata ukapotea Jukwaani tangia tarehe 30th April? manaake si kawaida yako? Ni kweli uliuza simu na laptop?
Ques No 2: Nini mtazamo wako kuhusu mwenendo mzima wa Chelsea na kocha wake pale darajani?
Ques No 3: Who is failure btn Wenger n Mou?
Ques No 4: Game yenu na Atm unatoa mtazamo gani ? Manake hatujawahi kuuona mchango wako kabisa on that...n more to come.

NB: Nimefurahi kukuona tena huku manake unakuja kwa kunyemelea.
 
1. Mie hutumia desktop.
2. Kocha yuko sahihi kabisa; msimu wa kwanza tuko top 3.
3. Wenger ni failure ..misimu 9 bila kombe.
4. ATM walipata matokeo.

NB: niliwaacha kwanza mfurahieee hadi mchoke sasa nimerudi jamvini:

CFC forever blue.🙂
Ques: Mkuu nini kilikusibu hata ukapotea Jukwaani tangia tarehe 30th April? manaake si kawaida yako? Ni kweli uliuza simu na laptop?
Ques No 2: Nini mtazamo wako kuhusu mwenendo mzima wa Chelsea na kocha wake pale darajani?
Ques No 3: Who is failure btn Wenger n Mou?
Ques No 4: Game yenu na Atm unatoa mtazamo gani ? Manake hatujawahi kuuona mchango wako kabisa on that...n more to come.

NB: Nimefurahi kukuona tena huku manake unakuja kwa kunyemelea.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom