MOU timu imemshinda kabisa, kuna matatizo mengi mwenye timu baadhi ni haya
1. Hana first 11 ya uhakika, ni mwendo wa kubahatisha tu
2. Kutokana na saikolojia yake ya defensive, wachezaji wanakuwa wagumu sana ku switch kwenye open game
3. Anapania sana game kubwa na mechi ndogo anashindwa kuwaandaa wachezaji kisaikolojia
4. Attacking midfield wanajibadilisha na kuwa mastrikers, hazards, oscer, ramires, schulle, williams wote wakipata mipira wanafikiria kufunga badala ya kuwatengenezea mipira B, Torres na etoo, mara nyungine unaona kabisa striker kafungua lakini mtoa pass ya mwisho anatafuta mwanya wa kufunga mwenyewe
Chelsea wanatuangusha sana, mechi tunazopoteza ni zanuzembe kabisa