Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

"Mind game"...hahaaa

Teh Teh Teh Teh

Rafiki yng hujamtaja huyo Mwenye domo kuuuubwa hapo juu?!! Teh Teh Teh Teh! Au waogopa! Teh Teh Teh Teh Teh ! Ni mambo ya mpira Mkuu! Utani mwingi sn, masihala kibao etc, Au hujui Hilo Mkuu!?? Teh Teh Teh! Basi mtaje bhana! Au waona noma? Lkn pale uliposema kua ni Rafiki Yako sn Mimi nilijielewa kua wansema Mimi! Au Una Rafiki mwingine sn Zaidi yng? Teh Teh Teh Teh ! Jf bhana! Raha sn! Ndio Maana Siku wavuti ikiwa Offline watu wanakua km wameugua!

Cc: Katavi
 
Last edited by a moderator:
Kwa mara ya kwanza in pubic unakiri in a very open way kwamba vikombe kwa Chelsea msimu huu no vigumu kuchukua...
Lakini sielewi ni wapi huwa unajitoa ufahamu kwakweli.
Ngoja kwanza.

Mkuu si kwamba nakiri hadharani! No! Nazungumza ukweli!

Agenda ya Man City ilikua ni kuchukua makombe matatu msimu huu! Na Arsenal pia baada ya kipindi kikavu kirefu msimu huu agenda yenu ilikua ni kuchukua vikombe! Liverpool wao ni kuingia top4 ili msimu ujao washiriki UCL!

Chelsea ilikua ni kujenga timu na Ndio Maana ata Roman Abramovic Yuko kimya na Jose as well! Kwahiyo Kwetu sisi ktk Club yetu Tuko kimya! Lkn pamoja na huo ukimya tunafukuza makombe kimyakimya na kuyakabili kimya kimya kwasababu pamoja na kwamba tunajenga timu Lkn lazima tucheze na kujaribu kushinda! Hizo Ndio zimekua kauli za club officially! Na kitu kingine unapaswa kufahamu Jose amerudi England kivingine sio muongeaji sn km pale awali! Malengo yake pia ni kuchukua kombe Au makombe Lkn hasemi wazi! Anajificha kwa kusema anajenga timu!

Kwahiyo sio km najitoa ufahamu! Naelewa kila kitu vzr na Hali ya timu yng na madhumuni ya Mmiliki Wa timu na kocha na wachezaji pia!
 
Asante Mkuu!

Nimekua Naomba Man Utd waifunge Munich mpk wachukue kombe ikiwezekana ili msimu ujao washiriki UCL! bado niko na matumaini ya Man Utd kufanya vzr at the second leg in Munich! But it needs nguvu na Uwezo wote kuwatoa hao jamaa! Kwahiyo timu ikiwa na umoja mtafanya vzr!

ile timu ukiweka maombi utamtesa tu Mungu wako, lile siyo la mwaka huu!!! teh teh
SP
 
Kwa mara ya kwanza in pubic unakiri in a very open way kwamba vikombe kwa Chelsea msimu huu no vigumu kuchukua...
Lakini sielewi ni wapi huwa unajitoa ufahamu kwakweli.
Ngoja kwanza.

tatizo huwa anajifanya Mwehu wakati si tunamtambua kuwa ana akili timamu.
 
tatizo huwa anajifanya Mwehu wakati si tunamtambua kuwa ana akili timamu.

Kwi Kwi Kwi

Ha ha ha ha ha!

Kwakweli kwa maneno yenu haya ni bora niwe nacheka tu! Maana mnanshambulia nyie! Teh Teh Teh

Mambo ya mpira jamani Raha sn!
 
Acha kujidanganya wewe,ManUnited anahitaji droo,Chelsea anshitaji kushinda at least 2 bila.PSG wakija darajani itakuewa zamu ya Cahill kumfunga Petr Cech maana Luiz na Terry wao wameshafanikiwa kumfunga

...hahahahahahahaaaaa... Belo bana, hebu waachie wenzako wapo #Msibani!
 
Last edited by a moderator:
Yu mini yu a alaivu!??

Niliposikia shabiki mmoja wa Man utd ajinyonga huko Russia nikajua ni wewe!!!!

....halafu Mentor leo hujaweka zile picha zako humu,
nakukumbusha tu, au mpaka Wacha1 aje aweke za kwake?

E bana Poleni bana, poleni sana.
 
Last edited by a moderator:
...hahahahahahahaaaaa... Belo bana, hebu waachie wenzako wapo #Msibani!

Let him talk dude as much as he can! Lkn afahamu kua Chelsea wako na nafasi nzuri kuliko Man Utd!
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: Mbu
Let him talk dude as much as he can! Lkn afahamu kua Chelsea wako na nafasi nzuri kuliko Man Utd!

...hehhehh....aiseee, mmekuwa wapole ghafla aisee...
kuna member wenu mwingine anaitwa King'asti...
yeye anajifanya hajayasikia haya matoneo kabisaaa!

Halafu Peasant naye dahhh,....poleni sana jamani...
it's only a game.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu si kwamba nakiri hadharani! No! Nazungumza ukweli!

Agenda ya Man City ilikua ni kuchukua makombe matatu msimu huu! Na Arsenal pia baada ya kipindi kikavu kirefu msimu huu agenda yenu ilikua ni kuchukua vikombe! Liverpool wao ni kuingia top4 ili msimu ujao washiriki UCL!

Chelsea ilikua ni kujenga timu na Ndio Maana ata Roman Abramovic Yuko kimya na Jose as well! Kwahiyo Kwetu sisi ktk Club yetu Tuko kimya! Lkn pamoja na huo ukimya tunafukuza makombe kimyakimya na kuyakabili kimya kimya kwasababu pamoja na kwamba tunajenga timu Lkn lazima tucheze na kujaribu kushinda! Hizo Ndio zimekua kauli za club officially! Na kitu kingine unapaswa kufahamu Jose amerudi England kivingine sio muongeaji sn km pale awali! Malengo yake pia ni kuchukua kombe Au makombe Lkn hasemi wazi! Anajificha kwa kusema anajenga timu!

Kwahiyo sio km najitoa ufahamu! Naelewa kila kitu vzr na Hali ya timu yng na madhumuni ya Mmiliki Wa timu na kocha na wachezaji pia!

Kuna mtu anatumia password ya Ntuzu, yeye hawezi kuongea haya maneno ngoja tutafute alivyokuwa anajiita bingwa
 
Last edited by a moderator:
Let him talk dude as much as he can! Lkn afahamu kua Chelsea wako na nafasi nzuri kuliko Man Utd!

Now unazungumza habari za nafasi while huko nyuma ulikuwa unazungumzia makombe
 
Let him talk dude as much as he can! Lkn afahamu kua Chelsea wako na nafasi nzuri kuliko Man Utd!

really???? a team which is 1-3 down is better of than a team which is level on aggregate???ur blinded.
 
...hehhehh....aiseee, mmekuwa wapole ghafla aisee...
kuna member wenu mwingine anaitwa King'asti...
yeye anajifanya hajayasikia haya matoneo kabisaaa!

Halafu Peasant naye dahhh,....poleni sana jamani...
it's only a game.

Mkuu sio kwamba tumekua wapole! Kwa mfano game yoyote lazima iwe na matokeo Aina 3 kufunga, kufungwa Au suluhu! Kwahiyo kwa Mimi Siku zote ninapokua na mechi lazima kiakili nijiandae ktk hayo matokeo matatu!

Kwa swala la PSG! Mimi nilifurahi sn kuanzia ugenini nikijua ata km tutapoteza Darajani tutafanya vzr!
Niwapongeze tu Psg kwa kuutumia vzr uwanja wao Kwani wanajua fika, Darajani si mahala rahisi!

Kwahiyo Mkuu, baada ya game j4 ijayo Ndio utaweza kutoa pole! Lkn leo Hii with one game in hands tena nyumbani Kwetu! Niseme tu umewahi tu kutoa pole!
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: Mbu

Similar Discussions

Back
Top Bottom