Sizinga
Platinum Member
- Oct 30, 2007
- 9,541
- 7,372
Navyojibu hoja zenu vzr naonekana naongea sn!
Teh Teh Teh Teh
Hahaaaa nafurahi tu unavyokiri kwamba ligi zote zinakuwa ngumu huku mwishoni, na matumaini yako yanayeyuka siku hadi siku.
Nikuambie kitu....Yesu aliulizwa na shetani "Hivi we umeondoka kule duniani umewaachia nn wanadamu, YESU akajibu nimewaachia Biblia na Roho Mtakatifu. Shetani akasema mi nimewaachia mpira."