Ntuzu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 17,418
- 10,877
Kajificha uvunguni...!
Ajifiche nani Mkuu?
Mi Nipo nimejaa tele ktk thread yetu ya mabingwa!
Kajificha uvunguni...!
Ata 4 tutawapiga! Siku hiyo ni kufia uwanjani!
Unakumbuka game za Fc Barc? Unataka kuniambia Psg ni wazuri kuliko Barc ilivyokua?
Teh Teh Teh
We know what to do men!
Kulikuwa na Drogba,Mata,Meireles enzi hizo,now wamebaki magarasa tupu,mabeki wenu siku hizi wanashindana kumfunga kipa wenu.I hope next game itakuwa zamu ya Cahill kumfunga Cech
Mkuu Belo yani Mimi Moyoni sina hofu kabisa leaseback naiamini sn timu yng na iko imara sn!
Una haki ya kukosoa uwezavyo lkn ngoja j4 wiki ijayo utakaa kimya mwenyewe!
Ha ha ha!kajificha uvunguni?ngoja nimuambie lavezzi and co wamtembelee Huko Huko uvunguni!
Kocha Morinyo ana hofu wewe endelea kujipa matumaini lile goli la 3 limemaliza biashara
Cheksick bana...kwa,hiyo msimu huu mnamaloza bila kuchukua ndoo hata,moja..duh
Cheksick bana...kwa,hiyo msimu huu mnamaloza bila kuchukua ndoo hata,moja..duh
Wanachukua ubingwa wa taarabu,maana kocha wao vitendo vyake ni kuongea tu.Anafikiri chelsea aliyoiacha miaka kadhaa nyuma na mfumo aliokuwa akiutumia ni vile vile ambavyo anapaswa kivitumia.
Makocha wengi wanajifunza,vitendo vinaongea zaidi kuliko maneno.
"Nlikuwepo":bolt:
Acha kutapatapa wewe, arsenal wameingiaje hapa?Waulize na Arsenal wamekaa miaka mingapi
hhahaa, mkuu mbona umeguswa? kwanini ulishangaa Chelsea kupita mwaka huu bila kikombe? nilitaka ujue siyo ajabu, kuna timu kama Arsenal na Liverpool wamekaa miaka ya kutosha , wengine hata big four walisahahu!! wengine leo wana kaa nafasi ya 7 kwa nusu mwaka, hahahaaaAcha kutapatapa wewe, arsenal wameingiaje hapa?
some wheels falling off... Big Mouth NT has a lot to chew now
View attachment 148793
Duh hili domo ni kama la jamaa flani humu ndani linapiga makelele mbaya...ni rafki yangu sana ngoja tu nimpe pole.