Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

really???? a team which is 1-3 down is better of than a team which is level on aggregate???ur blinded.

Nafikiri wewe umeanzasapoti mpira jana baada game yetu!

Narudia tena! Chelsea iko na nafasi kusonga mbele na kufunga magoli Zaidi ya hayo unayofikiria!

J4 Ntakua hapa Jf tutapiga story kibao km hizi dude!
 
Kuna mtu anatumia password ya Ntuzu, yeye hawezi kuongea haya maneno ngoja tutafute alivyokuwa anajiita bingwa

Bado Mimi ni bingwa! Na ata ktk maelezo Yangu uloquote Hakuna seheme sijazungumzia chelsea kua hatutaki kombe Au makombe! Nimezungumzia agenda ya timu vzr na kocha wetu pia! Maana mmekua mnatutuhumu kua tunaongea sn wakati Hakuna hicho kitu?

Ubingwa lazima! Hiyo Ndio agenda nyuma ya pazia! Lkn mbele yenu ni kwamba tunajenga timu and we try to play and win!
 
Last edited by a moderator:
Nafikiri wewe umeanzasapoti mpira jana baada game yetu!

Narudia tena! Chelsea iko na nafasi kusonga mbele na kufunga magoli Zaidi ya hayo unayofikiria!

J4 Ntakua hapa Jf tutapiga story kibao km hizi dude!

u can be that certain in ur playstation.....not in really game....especially after being spanked 3-1....wake up stop dreaming....3-1 is reality.....magoli mengi unayoyasema ni ndoto amka.

wewe ndio ulikuwa unapiga kelele humu chelsea bingwa....leo post zako unakanusha unadai hata mourinho kasema hategemei ubingwa...mtu competetive kama mourinho hawezi kuja chelsea ategemee nafasi ya pili/tatu/nne huyo ni champion hawezi kutegemea failure.....hizo ni mind games kutoa pressure kwa wachezaji wake....and you buying it!!!!!

nimeanza kushabikia mpira jana hujakosea.
 
Now unazungumza habari za nafasi while huko nyuma ulikuwa unazungumzia makombe

Ata hapa ni wapi sizungumzii makombe Au kusonga mbele? Teh Teh Teh

Mnanikumbusha game moja ya Barc na Chelsea ile ya kwanza iliyofanyika Camp nou, then Drogba akapewa Redcard na game ya pili ikachezwa Darajani chini ya Refa Babu Upara Corina Barc akapigwa goli 4. Teh Teh Teh!

Km miti mikubwa yenye Mashina manene km Munich, Barc etc inakatwa na Chelsea sembuse PSG tena Darajani? Teh Teh Teh !!!!! Ka utulie Mkuu! J4 utaona!
 
Teh Teh Teh

Mkuu wapi nimekataa kua Mimi sio bingwa? Au wapi nimesema hatutaki makombe? Usininukulu vibaya Mkuu! Maelezo Yangu Yako wazi tena yamezunvumzia kua tunafukizia makombe kimya kimya!

Teh Teh Teh! Wao wameweza kutufunga tena kwa makosa ya mabeki na si kwa ubora Wa Zlatan Au Sijui nani! Sasa sisi tushindwe Kwanini?

Unachekesha Mkuu!
 
Chelsea ile sio hii ambayo mabeki wao wanashindana kumfunga kipa wao,Lampard,Mata,Cole walikuwa kwenye form Kulikuwa na Drogba,Meireles ambao now hawapo.Cole,Luiz,Lampard,Torres now ni magarasa pia Matic na Ramirez hawatakuwepo while Cavani atacheza nafasi anayoipenda baada ya Zlatan kuumia
 
Ntuzu, usiongee kama umeanza kuishabikia hiyo ChelshiT yako juzi tu, huyo Mmiliki wenu Abrahmovic ni mtu wa kutaka matokeo tu, ingekuwa anajali falsafa ya kujenga team asingekuwa anafukuza makocha kila siku, wote tunajua idadi ya makocha waliopita hapo tangu aichukue team 2004, so kwa mtazamo huo tu, sidhan kama kamleta Mourinho pale eti aje kuijenga team, hizo zitakuwa ni fikra mbovu, Abrahmovic huwa anataka ushindi na makombe tu, ndo maana anatumia pesa nyingi kusajili kuliko kutengeneza chemistry ya Team..
 
PSG ni team ndogo kuitamka, lakin wachezaj iliyonao kuanzia kipa sirgu mpaka kwenye forwad yao, ni World Class..
 
Chelsea ile sio hii ambayo mabeki wao wanashindana kumfunga kipa wao,Lampard,Mata,Cole walikuwa kwenye form Kulikuwa na Drogba,Meireles ambao now hawapo.Cole,Luiz,Lampard,Torres now ni magarasa pia Matic na Ramirez hawatakuwepo while Cavani atacheza nafasi anayoipenda baada ya Zlatan kuumia

Teh Teh Teh

Wewe wasema! Haijapungukiwa kitu Bali nyie mko na mapezi ya wachezaji funali na kudharau wengine!
 
Ntuzu, usiongee kama umeanza kuishabikia hiyo ChelshiT yako juzi tu, huyo Mmiliki wenu Abrahmovic ni mtu wa kutaka matokeo tu, ingekuwa anajali falsafa ya kujenga team asingekuwa anafukuza makocha kila siku, wote tunajua idadi ya makocha waliopita hapo tangu aichukue team 2004, so kwa mtazamo huo tu, sidhan kama kamleta Mourinho pale eti aje kuijenga team, hizo zitakuwa ni fikra mbovu, Abrahmovic huwa anataka ushindi na makombe tu, ndo maana anatumia pesa nyingi kusajili kuliko kutengeneza chemistry ya Team..

Teh Teh Teh Teh!

Muone na Huyu Sijui Ndo anaamka saizi?!!! Kwi Kwi Kwi

Unazijua sababu za Jose kuondoka Darajani Mara ya kwanza? Unayajua makubaliano ya Jose na Don kwa Hii mara ya pili? Kwanini Chelsea inapoteza game hasa kipindi hichi ligi inaelekea mwishoni huku Tajiri akiwa kimya wala hamuingilii Kocha?

Msiwe mnaongea tu! Roman Wa zamani sio Wa sasa!
 
Yu mini yu a alaivu!??

Niliposikia shabiki mmoja wa Man utd ajinyonga huko Russia nikajua ni wewe!!!!

Oooh my broda pulizzz nijiue kisa Man U? Sina ushabiri wa kupelekea depression. I mini yeth I alaivu yu endi chelsiii
 
Teh Teh Teh

Mkuu wapi nimekataa kua Mimi sio bingwa? Au wapi nimesema hatutaki makombe? Usininukulu vibaya Mkuu! Maelezo Yangu Yako wazi tena yamezunvumzia kua tunafukizia makombe kimya kimya!

Teh Teh Teh! Wao wameweza kutufunga tena kwa makosa ya mabeki na si kwa ubora Wa Zlatan Au Sijui nani! Sasa sisi tushindwe Kwanini?

Unachekesha Mkuu!
Mkuu naanza kuwa na wasiwasi na ww, kwani hujui mpira ni mchezo wa makosa? kama hulijui hilo basi endeleeni kufanYA makosa ya beki mkitegemea kufika mbali. Wakabeni hao akina cadabra huku nyuma mkifanya makosa uone shughuli yake.
Tatizo u talk much than MOU.
 
Teh Teh Teh Teh!

Muone na Huyu Sijui Ndo anaamka saizi?!!! Kwi Kwi Kwi

Unazijua sababu za Jose kuondoka Darajani Mara ya kwanza? Unayajua makubaliano ya Jose na Don kwa Hii mara ya pili? Kwanini Chelsea inapoteza game hasa kipindi hichi ligi inaelekea mwishoni huku Tajiri akiwa kimya wala hamuingilii Kocha?

Msiwe mnaongea tu! Roman Wa zamani sio Wa sasa!

Usiwe msahaulifu broda...ulishawahi kuweka bandiko hapa ukidai Chelsea especially under MOU haina historia ya kupoteza mechi za mwisho...huku ukishangilia ubingwa.
Leo unasema Chelsea inapoteza game za mwishon huku don yupp kimya, ngoja amuwashie moto sijui itakuwaje...so nafurahi leo unayakana maneno yako.
We ni kigeugeu sana. Kipigo kinakuchanganya.
 
Aaaaah! aaaah! Wewe tena huwa unajificha uvunguni unakubali kushirikiana na Kunguni ili usionekane tena humu ndani.

Hahahaaa anapambana na kunguni mvunguni...si ndo tunamjua huyu bwana! ! Leo anakomaa hapa ila huwa mbio zinamsaidiga. Na si tunamchana tu
 
Mkuu naanza kuwa na wasiwasi na ww, kwani hujui mpira ni mchezo wa makosa? kama hulijui hilo basi endeleeni kufanYA makosa ya beki mkitegemea kufika mbali. Wakabeni hao akina cadabra huku nyuma mkifanya makosa uone shughuli yake.
Tatizo u talk much than MOU.

Navyojibu hoja zenu vzr naonekana naongea sn!

Teh Teh Teh Teh
 
Now unazungumza habari za nafasi while huko nyuma ulikuwa unazungumzia makombe

Mi huwa simuelewi kabisa Ntuzu nahisi somebody kahack password ya huyu jamaa,..hatareee
 
Last edited by a moderator:
Teh Teh Teh Teh

Rafiki yng hujamtaja huyo Mwenye domo kuuuubwa hapo juu?!! Teh Teh Teh Teh! Au waogopa! Teh Teh Teh Teh Teh ! Ni mambo ya mpira Mkuu! Utani mwingi sn, masihala kibao etc, Au hujui Hilo Mkuu!?? Teh Teh Teh! Basi mtaje bhana! Au waona noma? Lkn pale uliposema kua ni Rafiki Yako sn Mimi nilijielewa kua wansema Mimi! Au Una Rafiki mwingine sn Zaidi yng? Teh Teh Teh Teh ! Jf bhana! Raha sn! Ndio Maana Siku wavuti ikiwa Offline watu wanakua km wameugua!

Cc: Katavi

Hahaaaaa Katavi kanisaidia we ndo rafki uliyebakia mwenye makelele humu, unakomaa mbaya.
 
Last edited by a moderator:
Usiwe msahaulifu broda...ulishawahi kuweka bandiko hapa ukidai Chelsea especially under MOU haina historia ya kupoteza mechi za mwisho...huku ukishangilia ubingwa.
Leo unasema Chelsea inapoteza game za mwishon huku don yupp kimya, ngoja amuwashie moto sijui itakuwaje...so nafurahi leo unayakana maneno yako.
We ni kigeugeu sana. Kipigo kinakuchanganya.

Yani wewe Ndio kigeugeu! Nayakumbuka yote ninayosema kwasababu ni mambo ambayo nayafahamu vzr!

Nilisema hivi history inaoenesha kwamba Jose Mourinho hajawahi poteza kombe hasa ligi inapofikia hatua Hii huku akiwa anaongoza ligi! Sikuzungumza habari za Chelsea Au habari za kutokupoteza mechi! Kwahiyo uwe unasoma hoja zangu vzr then unaelewa vinginevyo wewe Ndio utakua unaongea sn!

Teh Teh Teh Teh

Yani hapa mtatosha tu! Mnakuja na vihoja vyenu Mbuzi! Teh Teh Teh! Sisi wengine Chelsea damudamu km nimekunywa Maji ya daraja!
 
Hahahaaa anapambana na kunguni mvunguni...si ndo tunamjua huyu bwana! ! Leo anakomaa hapa ila huwa mbio zinamsaidiga. Na si tunamchana tu

Teh Teh Teh Teh

Ebu pita hapo nyuma uone km sijaweka sahihi zng kila baada ya game!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom