From the minute Ramires amepokea kadi ya njano mchezo wake wote ukabadilika. Aliacha kukaba kabisaaa. He should have been substituted.
Ndo hivyo kwa leo Mou akubali kafanya makosa ya upangaji na hakuwa keen kuangalia subs za kufanya. Ramirez kamfanya Moura aonekane midfield wa ajaaabu.
Willian and Hazard have to be more goal oriented. Hizo chenga zao kama za Cavanni ndo zimemfanya Cavanni akose kama matatu hivi. They should work on feeding the striker (tutakayemsajili next season lol).
Kwa kweli leo nimemmiss Eto'o..!!!
Kwangu mimi Ramires na Matic ni midfielders wazuri sana kukaba but very poor when they have the ball. Luiz siku hizi namuona bettter kuliko Ramires pale kati...he is more composed n relaxed anakaba na kuangalia pa kupeleka mpira.
Anyway kwa game ya leo hiyo ndo analysis yangu. Subs za haraka zilikuwa mbili tu: Lampard for Ramires and Torres/Ba for Schurrle.
Sad but we still have a second chance at home. Lets focus on Sunda...

pole mkuu. nategemea vile vipicha vyako soon.mmecheza bila striker,mourinho alikuwa anadefend??kama ndio ilikuwa mbinu yake kafeli,karuhu 3-1.
inabidi mshinde 2-0 kwa defence yenu na strike force ya PSG sidhani kama hawatapata goli hata moja,all the best next tuesday
Duh mkuu unajua kweli kufariji...inabidi tukutafutie kazi TACAIDS.
There z no way wakapenya hao Chelsea.
CFC bado inanafac kubwa kuliko manure
Pole sana wape salamu wenzio waliojipa ban,leo umeanza kukiri Ramirez na Matic ni wabovu wakiwa na mpira hapo najua moyoni unamkumbua Juan Mata
Nipo Mkuu wangu!
Nipo Mkuu wangu!
pole mkuu. nategemea vile vipicha vyako soon.mmecheza bila striker,mourinho alikuwa anadefend??kama ndio ilikuwa mbinu yake kafeli,karuhu 3-1.
inabidi mshinde 2-0 kwa defence yenu na strike force ya PSG sidhani kama hawatapata goli hata moja,all the best next tuesday
CFC bado inanafac kubwa kuliko manure
pole mkuu...bado mna nafasi ndio kwanza half time.
Teh Teh Teh
Unaikumbuka game ya Napoli na Chelsea chini ya De Matteo?
Psg lazima apigwe tu!
Asante Mkuu!
Btw game sio mbaya! Darajani lazima tuwapige!
Huyu anapigaga mdomo kabla game halijafikia siku yenyewe, one week b4 ndiyo anapatikanaga
wasiwasi wangu mtaweza kuwazuia wasifunge hata moja?? kuwapiga 2-0 hao jamaa ni kazi wana very talented players ambao wanaweza kufanya maajabu kama PASTORE alichofanya dk ya 92.