Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Wanachukua ubingwa wa taarabu,maana kocha wao vitendo vyake ni kuongea tu.Anafikiri chelsea aliyoiacha miaka kadhaa nyuma na mfumo aliokuwa akiutumia ni vile vile ambavyo anapaswa kivitumia.
Makocha wengi wanajifunza,vitendo vinaongea zaidi kuliko maneno.

"Nlikuwepo":bolt:

We jamaa hujui lolote na nibora msiwe mnatoa hoja!

Safari Hii Abramovic hajamwambia Jose kua anataka makombe! Na Jose mwenyewe hajatangaza hivyo! Bali amekua anasema anajenga timu ambayo mwakani Ndio ataitaji makombe!

Anapozungumza kuhusu ukweli nyie Ndio mnasema domo?

Chelsea kwa England msimu huu wako kimya hawajatangaza chochote kuhusu makombe!
 
Asante Mkuu!

mkuu mie sikupi pole manake mechi iko half way,ila jiandaeni kucheza mpira sana,manake hawa jamaa ni timu ndogo kwa jina ila "ingredients" za kikosi ni full of CL mercenaries.Kumfunga Chelsea goli tatu si jambo dogo kaka.Wanao uwezo.Na hofu yangu ipo kwenye uwezo wenu wa kuwazuia wasiguse nyavu pale darajani.Ngoja tuone kama unastahili hongera au pole!
 
pole sezae
wengine wamekuwa wakali balaa

Asante sn dada yng mpendwa!

Teh Teh Teh Teh! Ndio mambo ya mpira! Hao wanakua wakali bure tu! Ni vema wakakubali matokeo!

Nilikua nafatilia maoni ya makocha wote wawili na wachezaji pamoja na kupitia habari ktk wavuti ya Chelsea! Uzuri ni kwamba Kocha Wa PSG anakiri kua bado hawajafuzu na itakua game ngumu sn wakija Kwetu! Na pia Jose anasema bado hatujatolewa na kwamba Psg wanatambua Hilo kua bado hawajatutoa!

Kwahiyo dada Yangu pamoja na kufingwa jana moyo wangu uko kwatu umetulia! Naelewa Siku wakitua Kwetu itakua nikuwachapa km tsunami!
 
....Bhebhe poti pole sana!!!

Onene nalena kibarua shelambu na bha jerumani

Asante Mkuu!

Nimekua Naomba Man Utd waifunge Munich mpk wachukue kombe ikiwezekana ili msimu ujao washiriki UCL! bado niko na matumaini ya Man Utd kufanya vzr at the second leg in Munich! But it needs nguvu na Uwezo wote kuwatoa hao jamaa! Kwahiyo timu ikiwa na umoja mtafanya vzr!
 
Acha kujidanganya wewe,ManUnited anahitaji droo,Chelsea anshitaji kushinda at least 2 bila.PSG wakija darajani itakuewa zamu ya Cahill kumfunga Petr Cech maana Luiz na Terry wao wameshafanikiwa kumfunga

Droo ipi unayoizungumzia?...
 
mkuu mie sikupi pole manake mechi iko half way,ila jiandaeni kucheza mpira sana,manake hawa jamaa ni timu ndogo kwa jina ila "ingredients" za kikosi ni full of CL mercenaries.Kumfunga Chelsea goli tatu si jambo dogo kaka.Wanao uwezo.Na hofu yangu ipo kwenye uwezo wenu wa kuwazuia wasiguse nyavu pale darajani.Ngoja tuone kama unastahili hongera au pole!

Mkuu nashukuru sn kwa kulijua Hilo!

Mkuu kuwafunga PSG goli tatu Au Zaidi na wao wasipate ata goli moja inawezekana! Km umefatilia maelezo ya Jose, na wachambuzi wengine Chelsea ilikua imewadhibiti wachezaji wote hatari Wa Psg mpk Ibrahimovic akashuka kucheza ktkt! Makosa yamefanywa na beki za Chelsea wenyewe! Kwahiyo Jose anafanyia kz hayo Makosa na kujenga timu vzr kwaajili ya hiyo j4.

Kwahiyo Mimi kimtazamo wng, Psg labda waje Darajani wapaki basi km Watoto Wa Big Sam Westham hapo itakua ngumu kuwafunga. Maana Chelsea wakikutana na timu ikipaki basi sn tena kwa nguvu sn basi wachezaji wanachanganyikiwa na kukata tamaa! Lkn km wakija Darajani na kuchezea mpira km Jana na kutoka kutafuta magoli basi kuwafunga itakua rahisi sn!
 
nyumbani PSG tunawafunga magoli ya kutosha tu
 
Asante sn dada yng mpendwa!

Teh Teh Teh Teh! Ndio mambo ya mpira! Hao wanakua wakali bure tu! Ni vema wakakubali matokeo!

Nilikua nafatilia maoni ya makocha wote wawili na wachezaji pamoja na kupitia habari ktk wavuti ya Chelsea! Uzuri ni kwamba Kocha Wa PSG anakiri kua bado hawajafuzu na itakua game ngumu sn wakija Kwetu! Na pia Jose anasema bado hatujatolewa na kwamba Psg wanatambua Hilo kua bado hawajatutoa!

Kwahiyo dada Yangu pamoja na kufingwa jana moyo wangu uko kwatu umetulia! Naelewa Siku wakitua Kwetu itakua nikuwachapa km tsunami!

"Mind game"...hahaaa
 
We jamaa hujui lolote na nibora msiwe mnatoa hoja!

Safari Hii Abramovic hajamwambia Jose kua anataka makombe! Na Jose mwenyewe hajatangaza hivyo! Bali amekua anasema anajenga timu ambayo mwakani Ndio ataitaji makombe!

Anapozungumza kuhusu ukweli nyie Ndio mnasema domo?

Chelsea kwa England msimu huu wako kimya hawajatangaza chochote kuhusu makombe!
Kwa mara ya kwanza in pubic unakiri in a very open way kwamba vikombe kwa Chelsea msimu huu no vigumu kuchukua...
Lakini sielewi ni wapi huwa unajitoa ufahamu kwakweli.
Ngoja kwanza.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom