Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Ndugu matajiri wa London nimekuwa nikifuatilia njia tunayopitia kwenye hii michuano ya FIFA CWC nimeona kuwa tunapitia njia nyepesi, hasa baada ya kushika nafasi ya pili na kukutana na Benfica. Kama tungeshila nafasi ya kwanza kwenye kundi tukakutana na Bayern Munchen huenda njia hii ingekuwa ngumu. Nasema haya kufuatia hii mechi ya Bayern na PSG ninayotazama leo ambayo PSG wanakimbizwa vibaya sana.
 
NJia nyepesi kivipi mkuu ..maana kwa sisi kumaliza nafasi ya pili tulikuwa na uwezekano wa kukutana na Al hilal, man city, sema ndo hvyo wametoana wenyewe na wametolewa na wabrazil au we Hawa wabrazil unawachukulia oyaoya
 
Mbona sio hitaji la Chelsea nafasi ambayo ninaona Chelsea inapaswa kusajili ni mbili tu left back na center defender
Chelsea hawanunui tu kwa ajili ya squad, kuna biashara nyingi hawa Wamarekani wanafanya. Anaweza akaja yeye baada ya miaka miwili Estevao akauzwa mil 200 akatoa nafasi ya yeye kucheza. Football business at work. Tumetoka kuwauza watu kupitia biashar ya utumwa hapo kale leo hii tunawauza watu kupitia sport
 
Human trafficking sio?
 
Mimi naona ni biashara kichaa si umeona kilichotukuta Sterling kakosa team ya kumnunua, Joao Felix anauzwa kwa bei ya hasara, koulibaly kauzwa kwa bei ya hasara same to Kai harvert to arsenal n.k.Ni kweli ni mpango mzuri ila ulikosa mikakati na hii inasababisha kununua wachezaji wengi kwenye dirisha moja la usajili ndio maana haya yanatokea
 
Kwanamna nimewaangalia PSG wanavyocheza mpira jana, Aseeh hata tukiingia fainali hawa bijana wetu wataenda tu kupata uzoefu namna timu bora zinavyocheza. Watu wana kadi mbili za nyekundu ila bado wanacheza mpira na kufunga.

Maresca atajifunza kucheza kibingwa kama tutafika fainali. Ila kiukweli bila kupepesa macho hakuna namna tutawaweza PSG. Hawa ndio mabingwa wa FIFA CWC mwaka 2025.
 
Sawa mkuu mpira wa premier league ni tofauti na wa Ufaransa pamoja na wa ujerumani, premier huwezi kupewa mianya na space kama Beyern alivo kua anaacha na PSG, pl ni mpira wa box to box kila mtu anajukumu la kuzuia na kufunga, wanazunguka sanaa uwanja, utaona mpira utakua tofauti na utashangaa ujiulize hi ni PSG tunao iona, ila mimi ninge pendelea tukutane na real Madrid final kwasbabu ya kutegemea star wachache ukiwakaba basi
 
Mkuu mpira ni mchezo, hizo tofauti za ubora wa ligi tumeona kwenye mechi hasa za mabara tofauti na ulaya. Mfano mechi na Palmeiras ukiachana na sababu nyingine pale ubora wa ligi umeamua hasa namna goli la pili la Chelsea lilivyopatikana ligi za ulaya ni mara chache kukuta walinzi wamekaa kihasara kama vile lazima watatkutega ukajikuta kwenye offside position.

Lakini ukiniambia mifumo ya uchezaji aseeh hatuwawezi wale jamaa. Kwa sababu pamoja na ivyo wamecheza na Liverpool, Aston Villa na Arsenal wote tulishuhudia ubora wao. Ligi ya ulaya haitofautiani sana hasa kwa timu kama PSG kusema eti unaweza kuta ana utofauti mkubwa wa ubora kulinganisha na top four ya EPL ni ngumu sana.
 
mimi ninge pendelea tukutane na real Madrid final kwasbabu ya kutegemea star wachache ukiwakaba basi
Mimi ninawatamani hawahawa PSG kocha Maresca ajifunze namna ya kulea vijana wadogo. Sasa hivi anawadekeza tu kina Delap wanafanya ujinga uwanjani anawachekea.
 
Chelsea imekuwa ikionyesha nia ya kutaka kumnunua Ethan Nwaneri, iwapo tu mkataba mpya hautakamilika na Arsenal.

Nwaneri & Arsenal, katika mazungumzo juu ya mkataba mpya wakati mchezaji anataka kuhakikishiwa muda wa mchezo.

Mkataba tofauti na Madueke ambaye alikubali masharti ya kibinafsi na Arsenal.

@FabrizioRomano

View attachment 3395115
Huu ni uchizi aiseee
 
Naona Chelsea amepata bahati kukaa huu upande mwingine, ila angekuwa huo upande mwngn sidhani kama angetoboa mpaka hapo alipo
 
Kwanamna nimewaangalia PSG wanavyocheza mpira jana, Aseeh hata tukiingia fainali hawa bijana wetu wataenda tu kupata uzoefu namna timu bora zinavyocheza. Watu wana kadi mbili za nyekundu ila bado wanacheza mpira na kufunga.

Maresca atajifunza kucheza kibingwa kama tutafika fainali. Ila kiukweli bila kupepesa macho hakuna namna tutawaweza PSG. Hawa ndio mabingwa wa FIFA CWC mwaka 2025.
Tukiachana na ushabiki, nakubaliana nawe 100%
 
Vilabu vinne bora zaidi vya kandanda ulimwenguni kwa sasa ni:
1) Chelsea FC
2) Paris Saint-Germain F.C.
3) Real Madrid CF
4) Fluminense FC

1751786157057.png
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom