Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Shida kubwa ya Madueke hana muendelezo. Leo anakupa game nzuri kesho utamchukia. Hata siku akiwa na game nzuri bado kuna matukia atakukera mfano game hii na Palmeiras kuna mpira badala apige V PASS kajivuta mpaka ukatoka

Yan hana consistency kabisa.
Sio kila mchezaji anatakiwa aanze first 11 hata akiwa anatokea benchi bado ni anatoa msaada bado ni kijana mdogo so itafika wakati atakuwa Bora haya makosa tulifanya kwa KDB na M.Salah
 
For me bado ninamuona Noni Madueke ana kitu na hata game yetu hii alivyoingia alileta uhai kwenye game ni vile tumechagua kumchukia hata zuri lake moja hatulioni, kitu alichikileta Madueke ndicho kilichomshinda Nkuku, Madueke anajua kuforce mashambulizi hata kama wakati mwingine end product yake inakuwa mbaya but huwa anawachosha mabeki wapembeni kitu ambacho Nkuku alikuwa hakifanyi kabisa na ndio maana upande wake ule ukawa hauna nguvu.Mimi Nina Imani kubwa sana na Noni Madueke kuliko Nkuku Kwanza ana umri mdogo pia ushindani ndani ya club naamini utamjenga na kumuimarisha kiuchezaji kwasababu ni mchezaji ambaye ana kila kitu Kasi, nguvu, dribble kasoro tu end product tu na Kuna wakati akiwa kwenye ubora wake anakuwa unstoppable.
Cash Money Forever
lembu
Southern Highland
The coolest jw
John dillinger
Mbaga Jr
Kuna mambo mawili makuu yanayomnyima Noni Madueke nafasi ya kucheza katika kikosi cha Chelsea chini ya kocha Maresca:

1) Aina yake ya uchezaji haivutii kikamilifu falsafa ya Maresca kwa washambuliaji. Maresca anapendelea washambuliaji wanaobuni nafasi badala ya wale wanaotafuta kufunga pekee. Noni mara nyingi huonekana kuwa na uchoyo wa mpira—hupenda kumalizia mwenyewe badala ya kuwahudumia wachezaji wenzake waliopo katika nafasi nzuri zaidi ya kufunga.

2) Ujio wa Joao Pedro, Jamie Gittens, na Estevão Willian huenda ukamweka benchi kwa muda mrefu. Kutokana na tabia ya Madueke, kuna uwezekano mkubwa wa kulalamika na kueneza hali mbaya katika vyumba vya kubadilishia nguo. Kwa kweli, inaaminika tayari ameanza kunung’unika, jambo linaloweza kueleza kwanini kocha alisema hivi alipoulizwa kuhusu tetesi za Arsenal: “Mchezaji ambaye hana furaha anaruhusiwa kuondoka.”

Ikiwa Estevão atazoea ligi, haitakuwa rahisi kumweka benchi na Madueke. Hali ni hiyo hiyo kwa Jamie Gittens. Joao Pedro pia atacheza katika nafasi hizo za winga mara kwa mara—hasa iwapo Delap atakuwa kwenye kiwango kizuri—na hivyo kuongeza matatizo zaidi kwa Madueke.

Pedro Neto hawezi kuwekwa benchi kwa ajili yake. Cole Palmer vilevile. Kwa ujumla, zaidi ya wachezaji watano wako mbele ya Madueke katika msururu wa uchaguzi wa kocha.

Kwa hiyo, binafsi sioni nafasi ambayo Madueke ataweza kuhimili katika mfumo huu. Ndiyo maana yeye mwenyewe amekubali kuhamia Arsenal—ambako hata kama hatakuwa sehemu ya kikosi cha kwanza mara kwa mara, bado anaweza kupata muda wa kucheza kupitia mzunguko wa kikosi, hasa ikiwa Bukayo Saka (ambaye huwa na historia ya majeraha) atakosa baadhi ya mechi. Madueke ana nafasi kubwa zaidi ya kucheza huko kuliko kama angesalia Chelsea.
1751723807579.png
 
Nkunku sio mfano sahihi wa mchezaji kwa timu kama Chelsea huyo Madueke ni mchezaji machachari sio hatari mambo mengi anafanya huku kichwa kainamisha chini hivyo sio team player off the ball hana awareness yoyote anazurula tu
Tatizo kubwa yeye anajiona tayari super star hivyo anashindwa kusahihisha makosa yake
Mchezaji mpaka aamke vizuri ndio akupatie ubora wake sio standard unless tumeamua kuwa timu wasindikizaji sio washindani
 
Shida kubwa ya Madueke hana muendelezo. Leo anakupa game nzuri kesho utamchukia. Hata siku akiwa na game nzuri bado kuna matukia atakukera mfano game hii na Palmeiras kuna mpira badala apige V PASS kajivuta mpaka ukatoka

Yan hana consistency kabisa.
Nimeeleza sababu mbili kuu ambazo zitamfanya Madueke asibaki Chelsea.
Kuna mambo mawili makuu yanayomnyima Noni Madueke nafasi ya kucheza katika kikosi cha Chelsea chini ya kocha Maresca:

1) Aina yake ya uchezaji haivutii kikamilifu falsafa ya Maresca kwa washambuliaji. Maresca anapendelea washambuliaji wanaobuni nafasi badala ya wale wanaotafuta kufunga pekee. Noni mara nyingi huonekana kuwa na uchoyo wa mpira—hupenda kumalizia mwenyewe badala ya kuwahudumia wachezaji wenzake waliopo katika nafasi nzuri zaidi ya kufunga.

2) Ujio wa Joao Pedro, Jamie Gittens, na Estevão Willian huenda ukamweka benchi kwa muda mrefu. Kutokana na tabia ya Madueke, kuna uwezekano mkubwa wa kulalamika na kueneza hali mbaya katika vyumba vya kubadilishia nguo. Kwa kweli, inaaminika tayari ameanza kunung’unika, jambo linaloweza kueleza kwanini kocha alisema hivi alipoulizwa kuhusu tetesi za Arsenal: “Mchezaji ambaye hana furaha anaruhusiwa kuondoka.”

Ikiwa Estevão atazoea ligi, haitakuwa rahisi kumweka benchi na Madueke. Hali ni hiyo hiyo kwa Jamie Gittens. Joao Pedro pia atacheza katika nafasi hizo za winga mara kwa mara—hasa iwapo Delap atakuwa kwenye kiwango kizuri—na hivyo kuongeza matatizo zaidi kwa Madueke.

Pedro Neto hawezi kuwekwa benchi kwa ajili yake. Cole Palmer vilevile. Kwa ujumla, zaidi ya wachezaji watano wako mbele ya Madueke katika msururu wa uchaguzi wa kocha.

Kwa hiyo, binafsi sioni nafasi ambayo Madueke ataweza kuhimili katika mfumo huu. Ndiyo maana yeye mwenyewe amekubali kuhamia Arsenal—ambako hata kama hatakuwa sehemu ya kikosi cha kwanza mara kwa mara, bado anaweza kupata muda wa kucheza kupitia mzunguko wa kikosi, hasa ikiwa Bukayo Saka (ambaye huwa na historia ya majeraha) atakosa baadhi ya mechi. Madueke ana nafasi kubwa zaidi ya kucheza huko kuliko kama angesalia Chelsea.
View attachment 3395030
 
Umetoa maelezo mazuri nimekubaliana na wewe
 
Chelsea imekuwa ikionyesha nia ya kutaka kumnunua Ethan Nwaneri, iwapo tu mkataba mpya hautakamilika na Arsenal.

Nwaneri & Arsenal, katika mazungumzo juu ya mkataba mpya wakati mchezaji anataka kuhakikishiwa muda wa mchezo.

Mkataba tofauti na Madueke ambaye alikubali masharti ya kibinafsi na Arsenal.

@FabrizioRomano

1751727080401.png
 
Sio kila mchezaji anatakiwa aanze first 11 hata akiwa anatokea benchi bado ni anatoa msaada bado ni kijana mdogo so itafika wakati atakuwa Bora haya makosa tulifanya kwa KDB na M.Salah
Yaan Madueke akawe kama akina KDB!! Nimekaa palee
 
Chelsea imekuwa ikionyesha nia ya kutaka kumnunua Ethan Nwaneri, iwapo tu mkataba mpya hautakamilika na Arsenal.

Nwaneri & Arsenal, katika mazungumzo juu ya mkataba mpya wakati mchezaji anataka kuhakikishiwa muda wa mchezo.

Mkataba tofauti na Madueke ambaye alikubali masharti ya kibinafsi na Arsenal.

@FabrizioRomano

View attachment 3395115
Hiyo takataka ya nini tena?
 
Anacheza nafasi gani?
 
Sio kila mchezaji anatakiwa aanze first 11 hata akiwa anatokea benchi bado ni anatoa msaada bado ni kijana mdogo so itafika wakati atakuwa Bora haya makosa tulifanya kwa KDB na M.Salah
Ndugu hawa wachezaji hawajifunzi, sikatai unachosema ila hata akiwa anatokea bench mara ngapi unaona ni bora ya aliyekuwepo?

Tutamtetea hapa ila kiukweli nina furaha Arsenal wanataka kumsajili mazima.
 
For me bado ninamuona Noni Madueke ana kitu na hata game yetu hii alivyoingia alileta uhai kwenye game ni vile tumechagua kumchukia hata zuri lake moja hatulioni, kitu alichikileta Madueke ndicho kilichomshinda Nkuku, Madueke anajua kuforce mashambulizi hata kama wakati mwingine end product yake inakuwa mbaya but huwa anawachosha mabeki wapembeni kitu ambacho Nkuku alikuwa hakifanyi kabisa na ndio maana upande wake ule ukawa hauna nguvu.Mimi Nina Imani kubwa sana na Noni Madueke kuliko Nkuku Kwanza ana umri mdogo pia ushindani ndani ya club naamini utamjenga na kumuimarisha kiuchezaji kwasababu ni mchezaji ambaye ana kila kitu Kasi, nguvu, dribble kasoro tu end product tu na Kuna wakati akiwa kwenye ubora wake anakuwa unstoppable.
Cash Money Forever
lembu
Southern Highland
The coolest jw
John dillinger
Mbaga Jr
Naona Dili la kwake kwenda arsenal limechachamaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom