Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Mechi na Bayern Munich hawakucheza na intesity kama waliyocheza na Intermilan kwenye fainali za UCL. Naona kuna drop kidogo ya intensity na kwa upande mwingine Chelsea tangu washinde fainali ya UECL mentality ya kocha na wachezaji imebadilika sana kitu ambacho Chelsea walikuwa hawana huko nyuma. Mimi naona Kocha kwa sasa yuko makini sio kama huko nyuma. hizi timu zikikutana sio ubora ndio utasababisha timu moja ishinde bali ni mentality na approach ya mpira. Chelsea tunao wachezaji wengi bora kuliko PSG. Nakubali wao wana kocha bora kuliko Chelsea na hapo ndio tofauti kubwa
Mkuu sasa tunaanza kuelewana. Kocha ana nafasi kubwa kubadili tempo ya mchezo na mchezaji husika wa mechi. Tuombe tufike fainali tuone namna Enzo atakavyo uaproach mchezo husika naamini kama mashabiki na timu kwa ujumla tutapata la kujifunza kuelekea msimu ujao.
 
Unachosema ni kweli kabisa. Naumia sana tunapobadili badili makocha inakua ni kama tunaanza upya. Tulikosea sana kwa Tuchel tukaja kufanya makosa makubwa zaidi kwa Poch. Maresca anaonekana kuaminiwa ila asipojiangalia atajiponza hana maamuzi, mbinu zake game ikimuelemea sio nzuri ana stick na plan ya mwanzo.

Labda tusubiri muda utasema
NI kweli kabisa tatizo kubwa la Maresca ana maamuzi kama ya Sanchez hasa kwenye kukabiliana na timu kubwa. Na pia kwa sababu hakupewa malengo makubwa na wamiliki anapenda kujaribu jambo jipya la la hovyo hata kwenye mechi muhimu. Mwisho Maresca tangu mwanzo kaichukulia FIFA CWC kama preseason ya kujaribu mifumo yake mipya na hajali. Ni kwa vile tu wachezaji wako na mentality ya kushinda hata zaidi ya kocha
 
Mkuu sasa tunaanza kuelewana. Kocha ana nafasi kubwa kubadili tempo ya mchezo na mchezaji husika wa mechi. Tuombe tufike fainali tuone namna Enzo atakavyo uaproach mchezo husika naamini kama mashabiki na timu kwa ujumla tutapata la kujifunza kuelekea msimu ujao.
Ataanza nyuma na Badiashile katikati atamuweka Gusto ili kutest mitambo 😀
 
NI kweli kabisa tatizo kubwa la Maresca ana maamuzi kama ya Sanchez hasa kwenye kukabiliana na timu kubwa. Na pia kwa sababu hakupewa malengo makubwa na wamiliki anapenda kujaribu jambo jipya la la hovyo hata kwenye mechi muhimu. Mwisho Maresca tangu mwanzo kaichukulia FIFA CWC kama preseason ya kujaribu mifumo yake mipya na hajali. Ni kwa vile tu wachezaji wako na mentality ya kushinda hata zaidi ya kocha
Hakika naona hii ni kweli kabisa naamini Enzo yuko pre season kuelekea msimu ujao. Ndio majaribio mengi kweli
Ataanza nyuma na Badiashile katikati atamuweka Gusto ili kutest mitambo 😀
Daah kwakweli ni kati ya vinaumiza sana
 
1751790945599.png
 
Uwezo wa kumpa wakati mgumu PSG tunao ila sio kushinda sababu bado kocha hajapass vipimo vya kucheza big match
Sasa hivi tunawachezaji wengi wazuri kuliko hata Bayern tukiamua kula nao sahani moja na kuacha uoga tutaoa upinzani mzuri kwa PSG

ila wasiwasi wangu bado ni kwa kocha bado hatajupatia aina ya uchezaji inayoendana na ukubwa wa uwekezaji

Kikubwa tucheze na PSG ili kupima progress ya project kama ipo kwenye muelekeo sahihi
 
Mkuu a
sikubaliane nawe kabisa Chelsea ina uwezo wakuishida PSG vizuri tu, tukicheza mpira wetu wa ku-press, jana bayern alikua nauwezo wakuwafunga PSG zaidi ya magoli mawil, isipo kua siku haikua ya kwao.

Chelsea mtu yohote anaweza kukufunga na system ya uchezaji wetu haijulikani, system mseto hiyo ni advantage, hatusomeki haraka.
 
Nasemea Chelsea kucheza na giants, hizo timu ulizotaja kuwafunga timu kubwa na Chelsea kuja kuwafunga sio sababu ya kusema Chelsea amepitia magumu, kwanza tunabahati hatukucheza na Bayern
Bayern ni nyepesi sema wewe unatishwa na majina, uchezaji wao Wanaacha magape makubwa uwanjani na ndio maana wanaruhusu magoal mengi team yetu tishio ni PSG ni kwasababu wanapress vibaya mno hawakupi muda wakufanya maamuzi team za namna hii huwa zinatusumbua sana ndio huwa wanasababisha defense yetu ifanye makosa pamoja na yule kipa wetu.
 
Nilichogundua hapa ni kwamba kuna mashabiki watamkosoa na kumpinga Enzo Maresca hata akishinda Treble.
Kiukweli kabisa team imebadilika mno huwezi kuifananisha na kipindi cha nyuma hasa upande wa defensive tulikuwa tunafungwa magoal ya kijingajinga ila now day mpinzani akitufunga huwa lazima amefanya kazi kwa jitihada, team inacheza kwa ushirikiano pattern ya team unaiona, wachezaji wanajituma sana, individuals mistake imepungua mno.Sasa hivi tunacheza kwa mamlaka ni vile tu watu wamekariri lakini ukiangalia timu yetu kiufundi unaona kabisa unaona improve kwa kiasi kikubwa bila kusahau tuna midfielders strong sana kiungo cha Lavia na Caicedo pale Kati kinauwezo kusambaratisha team yoyote ile
 
Sifatilii nini nakati mpira tunaocheza hauna tofauti na underdog teams tu za michangani huku TZ?

Unadhani matokeo ya bahati nasibu kwa Benfica FC na Palmeiras FC ndiyo kigezo kuwa Chelsea FCC tuna timu nzuri kupambana na Real Madrid FC, Fluminense FC au PSG FC?

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Wapinzani ndani ya Chelsea, kama Chelsea mmeichoka si muende Arsenal au Westham? Comment yako inaonyesha hata hufuatilii hizi mechi za hivi karibuni za Chelsea
 
If we make it to the finals

Maresca should play a flat 3 midfield of Enzo, caicedo, lavia/Santos

PSG will see a marking scheme they have never seen before, u think Botafogo and villa beat them by playing fine boy football? Choke that midfield with serious aggressiveness.
 
Attachments

  • 20250706_185722.jpg
    20250706_185722.jpg
    85.8 KB · Views: 8

Similar Discussions

Back
Top Bottom