Own goalKitu Cha pili by Gusto
Tatizo ni kocha average na tunasogea kwa sababu wa uwezo binafsi wa wachezajiJoao pedro ni forward kabisa wa maana kushinda delap. Tatizo tulipokuwa tunaongoza wachezaji wali luxury tulipofungwa ndio tukawa kama tumetolewa usingizi ball likaanza kupigwa
Joao Pedro ni baller aisee🔥....na nasikia ni kiraka anaweza akacheza hata nyuma ya striker tunaweza kumtumia kumpumzisha palmer
Pedro si lazima acheze StrikerJoao Pedro amecheza kama hakuwa holiday kama ataendelea hivi Jackson na Delap wajiangalie
Nkuku ni mzoga unaoishi
Partner world class wa kucheza na Colwill anahitajika
Madueke always end product ni poor na ujio wa Estevao Arsenal walete hela tu
Lavia na James wamekuwa na bahati mbaya ya majeruhi na niwacheza quality tunaokuwa kunawakosa mara kwa mara
So far kaugonjwa ka 1 bila na kupoa bado kamejaa kwenye DNA
Sasa kwa kuwa, Palmeiras iko nje ya mashindano. Je, Estevão Willian atajiunga na wenzake moja kwa moja, au ataenda likizo kwanza?Estevão alitangazwa kuwa Mchezaji Bora wa Mechi tena. Hiyo ni mara yake ya tatu katika shindano hili
View attachment 3394411
Sawa... lakini kama hatokuwa anapachika magoli ni kazi bure kama huko BrightonJoão Pedro ni mshambuliaji mwenye uhodari mkubwa, anayejua kucheza karibu kila nafasi ya ushambuliaji:
⚽ Anaweza kucheza nafasi zote za Mbele kama vile:
- Winga wa Kushoto au wa Kulia (LW/RW) – ana kasi na ustadi wa kuingia katikati ya uwanja.
- Namba 10 au CAM – mbunifu anayesambaza mipira na kusuka mashambulizi.
- Striker / Mshambuliaji wa Kawaida – anajua kufunga kwa ufanisi.
- Second Striker – anacheza karibu na mshambuliaji mkuu, akitoa msaada na kuunda nafasi.
- False 9 – anashuka kati kuteka mabeki na kufungua nafasi kwa wengine.
- Target Man – ni lengo kuu kwa mipira ya juu na mipira mirefu kutoka nyuma.
- Poacher – mtaalamu wa kufunga ndani ya boksi kwa uangalifu wa haraka.
- Mobile Striker – anatembea kote akivuruga mabeki na kuunda fursa.
- Pressing Forward – husumbua mabeki kwa presha na kurudi kusaidia timu.
- Shadow Striker – huibuka kutoka nyuma na kushambulia kwa kasi, bila kutarajiwa.
Colwill na zao academy ya Chelsea. Brighton alikua kwa mkopo tuBrighton haijawahi kutuuzia wachezaji vimeo ndio tunaponunua sasa wachezaji makini kutoka hapo JP, cuculera, colwill, caisedo na sanchez wametoka hapo