Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 44,177
- 104,785
Ukitaka kulielewa hili, bc inabidi uache ushabiki wa kitimuKwani hizo timu hazijacheza na hizo timu za upande mgine Benifika alimpinga Bayern Chelsea ikampiga Benifika, ni bahati au?
Ukitaka kulielewa hili, bc inabidi uache ushabiki wa kitimuKwani hizo timu hazijacheza na hizo timu za upande mgine Benifika alimpinga Bayern Chelsea ikampiga Benifika, ni bahati au?
Hahahah sasa unaipenda hata mechi inazocheza huangalii mzeeAmnaa mkuu kuuliza ni vizuri zaidi maana ..hii timu itakuja kuniua hii navyoipenda 😄😄😄
Kesi ya Raheem Sterling ni tofauti kabisa. Umri Umri Umri. Sterling hakununuliwa kwa ajili ya biashara ya binadamu. Yule lengo ilikuwa ni kuimarisha timu mambo yakaenda ndivyo sivyo. Hawa wadogo wa miaka 18, 19 ndio wananunuliwa kwa ajili ya BiasharaMimi naona ni biashara kichaa si umeona kilichotukuta Sterling kakosa team ya kumnunua, Joao Felix anauzwa kwa bei ya hasara, koulibaly kauzwa kwa bei ya hasara same to Kai harvert to arsenal n.k.Ni kweli ni mpango mzuri ila ulikosa mikakati na hii inasababisha kununua wachezaji wengi kwenye dirisha moja la usajili ndio maana haya yanatokea
Hapana, kama umeangalia mpira tangu mwanzo, Bayern waliwazidi na kosa kosa za Bayern ndizo zimewagharimu. Baada ya kutolewa wachezajiw awili wa PSG BAyern walifocus kushambulia ili kusawazisha na wakajisahau nyuma na PSG wakachukulia hiyo Fursa kushambulia. Ni kama risky taki. Hakim alijaribnu kuwapita walinzi wanne wa Bayern nma akabahatisha, hiyo haiwezi kutokea huku. Kamwe, PSG ile ya UEAF Final sio hii ya FIFA CWC. Hii ni ya kawaida sana hata wakitufunga ni katika scenario ya kawaida tu sio kwamba ni boraKwanamna nimewaangalia PSG wanavyocheza mpira jana, Aseeh hata tukiingia fainali hawa bijana wetu wataenda tu kupata uzoefu namna timu bora zinavyocheza. Watu wana kadi mbili za nyekundu ila bado wanacheza mpira na kufunga.
Maresca atajifunza kucheza kibingwa kama tutafika fainali. Ila kiukweli bila kupepesa macho hakuna namna tutawaweza PSG. Hawa ndio mabingwa wa FIFA CWC mwaka 2025.
Bado Kocha wa Chelsea SC hajafukuzwa tu? Msimamizi wa mazoezi ya timu anafanya nini hadi sasa darajani?Hapana, kama umeangalia mpira tangu mwanzo, Bayern waliwazidi na kosa kosa za Bayern ndizo zimewagharimu. Baada ya kutolewa wachezajiw awili wa PSG BAyern walifocus kushambulia ili kusawazisha na wakajisahau nyuma na PSG wakachukulia hiyo Fursa kushambulia. Ni kama risky taki. Hakim alijaribnu kuwapita walinzi wanne wa Bayern nma akabahatisha, hiyo haiwezi kutokea huku. Kamwe, PSG ile ya UEAF Final sio hii ya FIFA CWC. Hii ni ya kawaida sana hata wakitufunga ni katika scenario ya kawaida tu sio kwamba ni bora
Michezaji ya Chelsea SC ni lege lege sana kama ina ukosevu wa body stamina fitness....😉Kwanamna nimewaangalia PSG wanavyocheza mpira jana, Aseeh hata tukiingia fainali hawa bijana wetu wataenda tu kupata uzoefu namna timu bora zinavyocheza. Watu wana kadi mbili za nyekundu ila bado wanacheza mpira na kufunga.
Maresca atajifunza kucheza kibingwa kama tutafika fainali. Ila kiukweli bila kupepesa macho hakuna namna tutawaweza PSG. Hawa ndio mabingwa wa FIFA CWC mwaka 2025.
Wapinzani ndani ya Chelsea, kama Chelsea mmeichoka si muende Arsenal au Westham? Comment yako inaonyesha hata hufuatilii hizi mechi za hivi karibuni za ChelseaMichezaji ya Chelsea SC ni lege lege sana kama ina ukosevu wa body stamina fitness....😉
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Ukisema ni bahati unakosea kwasababu mpira wa Chelsea imeonekana game zote hizo wamedominate wapinzani na hizo team zilizofungwa na Chelsea ndizo zimempiga Bayern Munich, Botago imepigwa na Palmeiras but hao Botago wamepiga PSG kwa namna hiyo unasemaje Chelsea wamebahatisha?Naona Chelsea amepata bahati kukaa huu upande mwingine, ila angekuwa huo upande mwngn sidhani kama angetoboa mpaka hapo alipo
Mkuu toka wamechukua UCL ni mwezi na siku zisizozidi kumi na kwa uhakika hawajacheza mechi zaidi ya 6 kwa muda huo unasemaje PSG hii sio ile ya UCL?Hapana, kama umeangalia mpira tangu mwanzo, Bayern waliwazidi na kosa kosa za Bayern ndizo zimewagharimu. Baada ya kutolewa wachezajiw awili wa PSG BAyern walifocus kushambulia ili kusawazisha na wakajisahau nyuma na PSG wakachukulia hiyo Fursa kushambulia. Ni kama risky taki. Hakim alijaribnu kuwapita walinzi wanne wa Bayern nma akabahatisha, hiyo haiwezi kutokea huku. Kamwe, PSG ile ya UEAF Final sio hii ya FIFA CWC. Hii ni ya kawaida sana hata wakitufunga ni katika scenario ya kawaida tu sio kwamba ni bora
Kiukweli kwa sasa tuna wachezaji wazuri kwa asilimia kubwa wenye nguvu na stamina. Kinachotufelisha tuna kocha wa kawaida sana labda itokee abadilike.Michezaji ya Chelsea SC ni lege lege sana kama ina ukosevu wa body stamina fitness....😉
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Hivo hivo tucheza na kuashinda sasa hivi ukimbadili kocha atafumua timu nzima tuanze upya huyu apige viraka vyake na tuchukue kombe kwasasa, ila hana uwezo zaidi.Kiukweli kwa sasa tuna wachezaji wazuri kwa asilimia kubwa wenye nguvu na stamina. Kinachotufelisha tuna kocha wa kawaida sana labda itokee abadilike.
Nasemea Chelsea kucheza na giants, hizo timu ulizotaja kuwafunga timu kubwa na Chelsea kuja kuwafunga sio sababu ya kusema Chelsea amepitia magumu, kwanza tunabahati hatukucheza na BayernUkisema ni bahati unakosea kwasababu mpira wa Chelsea imeonekana game zote hizo wamedominate wapinzani na hizo team zilizofungwa na Chelsea ndizo zimempiga Bayern Munich, Botago imepigwa na Palmeiras but hao Botago wamepiga PSG kwa namna hiyo unasemaje Chelsea wamebahatisha?
Mechi na Bayern Munich hawakucheza na intesity kama waliyocheza na Intermilan kwenye fainali za UCL. Naona kuna drop kidogo ya intensity na kwa upande mwingine Chelsea tangu washinde fainali ya UECL mentality ya kocha na wachezaji imebadilika sana kitu ambacho Chelsea walikuwa hawana huko nyuma. Mimi naona Kocha kwa sasa yuko makini sio kama huko nyuma. hizi timu zikikutana sio ubora ndio utasababisha timu moja ishinde bali ni mentality na approach ya mpira. Chelsea tunao wachezaji wengi bora kuliko PSG. Nakubali wao wana kocha bora kuliko Chelsea na hapo ndio tofauti kubwaMkuu toka wamechukua UCL ni mwezi na siku zisizozidi kumi na kwa uhakika hawajacheza mechi zaidi ya 6 kwa muda huo unasemaje PSG hii sio ile ya UCL?
PSG ni bora ulaya na duniani kama unakataa hapo nipe uthibitisho ni kwa vipi sio bora.! Nimesema watatufunga kama tutafika fainali kwa sababu kuu moja Enzo Maresca ndio atakayetufelisha. Otherwise yatakayotokea yatabaki kuwa matokeo ya mpira kwa juhudi binafsi za wachezaji sio mbinu za kocha kwa asilimia kubwa.
Muche kuabudu timu pinzani. Chelsea sas ahivi iko stable sehemu nyingi sio kama Disemba na JanuaryNasemea Chelsea kucheza na giants, hizo timu ulizotaja kuwafunga timu kubwa na Chelsea kuja kuwafunga sio sababu ya kusema Chelsea amepitia magumu, kwanza tunabahati hatukucheza na Bayern
Haya wananunuliwa je wanapewa muda wa kukua ili wauzwe kwa bei nzuri? Angalia mfano Aoron Alselmino yupo chelsea tangu msimu ulipita na huu lakini nafasi hapewi hata mechi moja hajacheza hiyo thamani inapandaje? Kwanini anabakishwa kwenye team ikiwa hachezi kabisa? Angalia pia marc guiu msimu huu ndio hatopata kabisa nafasi hata hizi mechi za carabao maana Kuna watu mbele wengi Jackson, Delap na Joao Pedro thamani huyo dogo itapandaje si Bora hata atolewe mkopo hiyo ni mifano michache ndio maana Nina hoji hii project yaoKesi ya Raheem Sterling ni tofauti kabisa. Umri Umri Umri. Sterling hakununuliwa kwa ajili ya biashara ya binadamu. Yule lengo ilikuwa ni kuimarisha timu mambo yakaenda ndivyo sivyo. Hawa wadogo wa miaka 18, 19 ndio wananunuliwa kwa ajili ya Biashara
Kwakuwa imefika nusu fainali ndo imekuwa stable?Muche kuabudu timu pinzani. Chelsea sas ahivi iko stable sehemu nyingi sio kama Disemba na January
Unachosema ni kweli kabisa. Naumia sana tunapobadili badili makocha inakua ni kama tunaanza upya. Tulikosea sana kwa Tuchel tukaja kufanya makosa makubwa zaidi kwa Poch. Maresca anaonekana kuaminiwa ila asipojiangalia atajiponza hana maamuzi, mbinu zake game ikimuelemea sio nzuri ana stick na plan ya mwanzo.Hivo hivo tucheza na kuashinda sasa hivi ukimbadili kocha atafumua timu nzima tuanze upya huyu apige viraka vyake na tuchukue kombe kwasasa, ila hana uwezo zaidi.
Ataanza kucheza msimu ujao mechi zitakuwa nyingi sanaHaya wananunuliwa je wanapewa muda wa kukua ili wauzwe kwa bei nzuri? Angalia mfano Aoron Alselmino yupo chelsea tangu msimu ulipita na huu lakini nafasi hapewi hata mechi moja hajacheza hiyo thamani inapandaje? Kwanini anabakishwa kwenye team ikiwa hachezi kabisa? Angalia pia marc guiu msimu huu ndio hatopata kabisa nafasi hata hizi mechi za carabao maana Kuna watu mbele wengi Jackson, Delap na Joao Pedro thamani huyo dogo itapandaje si Bora hata atolewe mkopo hiyo ni mifano michache ndio maana Nina hoji hii project yao
Hii ni hadithi za kufikirika, ngoja tutakutana na PSG au Real Madri kama tukimalizna na Fluminense hivi karibuni tusiandikie mate wino upoKwakuwa imefika nusu fainali ndo imekuwa stable?
Nambie, tungekutana na Bayern, PSG, Madrid tungefika hapo?