Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Daah nimeamka sa 9 dakika 50 nimeangalia game kwa makini sana. Aseeh nakiri wazi leo katika hii era ya wamiliki wapya hatutapata kocha Pochetino. Maresca kimbinu kabisa laiti kama Poch angepata hawa wachezaji tusingekua tunaangalia mpira roho mkononi.
Mbinu zake zinakera sana tukifunga tu wachezaji wanalizika na kuanza kupooza mpira
 
Chalobah perfomance nzuri na ana commitment safi. Ila nahisi anadamu ya kutokupendwa tu watu hawauoni mchango wake. Nasema haya sio kwasababu ametoa pasi ya goli ila tu ukiangalia namna anavyocheza na wenzake, pasi, anaziba nafasi. Tupate muda wa kumtazama yuko vizuri sana.
 
Andrey Santos nampongeza sana kwa namna alivyocheza leo. Amecheza kiungo wa ukabaji na ameonesha kiwango kawaida na ambavyo nilitegemea ukizingatia sio position yake. Ila mejitahidi sana kwakweli nampa pongezi
 
Jezi namba 9 kwa timu yetu uwa inagundu naona delap gundu litamwandama kwa kuanzia kwenye namba ya jezi
 
Sawa... lakini kama hatokuwa anapachika magoli ni kazi bure kama huko Brighton
Magoli yatafungwa ila pia atawatenegenzea wenzake kufunga. ndivyo kocha anavyotaka kama umemfuatilia speeches zake
Ansena ni aherin kuwa na wafungaji wanne wa kufunga magoli 40 kuliko mfungaji mmoja wa kufunga magoli 40. Na ndio maana Chelsea haikuwafuatilia washambuliaji kam a akina Viktor Gyceres au Victor Osimhen au staili ya Haaland. Yeye anataka striker mkarimu mwenye kuwaona wenzake. Madueke anauzw akwa sababu sio mkarimu. AKina Sterling walitoswa kwa sababu sio wakarimu
 
Andrey Santos nampongeza sana kwa namna alivyocheza leo. Amecheza kiungo wa ukabaji na ameonesha kiwango kawaida na ambavyo nilitegemea ukizingatia sio position yake. Ila mejitahidi sana kwakweli nampa pongezi
Mashambiki wengi wamedai hawakummis Caicedo na Lavia. Hii ni habari njema kwamba tuna kikosi kipana cha kupambana na yeyote wakati wowote
 
Mashambiki wengi wamedai hawakummis Caicedo na Lavia. Hii ni habari njema kwamba tuna kikosi kipana cha kupambana na yeyote wakati wowote
Kweli kabisa. Namuombea sana dogo apewe nafasi tukimuuza tutajuta kama ambavyo tunajuta kwa KDB na Salah. Naiona potential kubwa sana kwa Santos
 
Joao pedro ni forward kabisa wa maana kushinda delap. Tatizo tulipokuwa tunaongoza wachezaji wali relax tulipofungwa ndio tukawa kama tumetolewa usingizi ball likaanza kupigwa
Shida yetu kuu tunapenda kushindanisha wachezaji Delap na Joao Pedro ni wachezaji wa aina mbili tofauti, Delap ni aina ya striker Kama Diego costa anacheza zaidi kwenye box la mpinzani kiufupi ni mviziaji na ni mfungaji mzuri Kama tu utakuwa anapelekewa mipira mizuri ndani ya box ukija kwa Joao Pedro yeye ni mobile player huwa hatulii kwenye nafasi moja na anaenjoy zaidi kutafuta mpira na kudeliver. Kwa maana hiyo wote hawa wawili tunawahitaji kulingana na aina ya opponent na game ilivyo, kwenye game ngumu za kutafuta nafasi we need Joao Pedro but kwenye game ambazo tunatengeneza nafasi nyingi za magoal tunamuhitaji Delap. Huyu Delap mnaye msema vibaya eti kisa game 1 au 2 ngoja ligi ianze mtaanza kumuimba
 
Matapeli nyinyi
Bado hamjasema , ninyi vinyapasila wa asenyetoz mtashuhudia mabingwa kwa kihistoria wa soka dunia Chelsea wakibeba vikombe vikubwa mfululizo mwaka huu , tumeanza na conference ,tunaenda Fifa club world cup hii takataka tunabeba halafu tuje kwenye ligi kuwanyoa kwa kigae cha chupa ,mutakiona cha mtema kuni ,jiandaeni
 
Kenge kabisa
 
Joao Pedro amecheza kama hakuwa holiday kama ataendelea hivi Jackson na Delap wajiangalie
Nkuku ni mzoga unaoishi
Partner world class wa kucheza na Colwill anahitajika

Madueke always end product ni poor na ujio wa Estevao Arsenal walete hela tu
Lavia na James wamekuwa na bahati mbaya ya majeruhi na niwacheza quality tunaokuwa kunawakosa mara kwa mara

So far kaugonjwa ka 1 bila na kupoa bado kamejaa kwenye DNA
For me bado ninamuona Noni Madueke ana kitu na hata game yetu hii alivyoingia alileta uhai kwenye game ni vile tumechagua kumchukia hata zuri lake moja hatulioni, kitu alichikileta Madueke ndicho kilichomshinda Nkuku, Madueke anajua kuforce mashambulizi hata kama wakati mwingine end product yake inakuwa mbaya but huwa anawachosha mabeki wapembeni kitu ambacho Nkuku alikuwa hakifanyi kabisa na ndio maana upande wake ule ukawa hauna nguvu.Mimi Nina Imani kubwa sana na Noni Madueke kuliko Nkuku Kwanza ana umri mdogo pia ushindani ndani ya club naamini utamjenga na kumuimarisha kiuchezaji kwasababu ni mchezaji ambaye ana kila kitu Kasi, nguvu, dribble kasoro tu end product tu na Kuna wakati akiwa kwenye ubora wake anakuwa unstoppable.
Cash Money Forever
lembu
Southern Highland
The coolest jw
John dillinger
Mbaga Jr
 
Cole Palmer aliongea na Estevao Willian kuwa wanafurahi kwa yeye kujiunga na Chelsea lakini hakuelewa hata neno moja. Kijan atakuwa ni mzembe sana, muda wote alikuwa nao wa kujiunga na English classes lakini bado haelewi kimombo

Palmer: “I told Estevao we are excited for you to join, but he didn’t understand a single word I said”

View attachment 3394423
Inategemea na ascent ya mtu anayotumia kuongea nae hii inachangia kutoeleweka muda mwingine sio lugha tu
 
Hivi wachezaji huwa hawajifunzi kabisa kupitia makosa ya wenzao? Kiukweli kabisa huyu dogo Delap leo kanikera sana. Unafanyaje mafoul yasiyo na msingi mpaka kupelekea kupata kadi vile. Unaona kabisa mwenzako tena mshindani wa nafasi anafanya vibaya badala ujiimarishe baada ya kupata nafasi wewe ndio kwanza unaenda kuboronga. Kocha alitakiwa kumchukulia hatua baada ya kipindi cha kwanza kuisha asingerudi uwanjani.
Shida ushalobaro sio kama hakina hazard wazee wa kazi
 
For me bado ninamuona Noni Madueke ana kitu na hata game yetu hii alivyoingia alileta uhai kwenye game ni vile tumechagua kumchukia hata zuri lake moja hatulioni, kitu alichikileta Madueke ndicho kilichomshinda Nkuku, Madueke anajua kuforce mashambulizi hata kama wakati mwingine end product yake inakuwa mbaya but huwa anawachosha mabeki wapembeni kitu ambacho Nkuku alikuwa hakifanyi kabisa na ndio maana upande wake ule ukawa hauna nguvu.Mimi Nina Imani kubwa sana na Noni Madueke kuliko Nkuku Kwanza ana umri mdogo pia ushindani ndani ya club naamini utamjenga na kumuimarisha kiuchezaji kwasababu ni mchezaji ambaye ana kila kitu Kasi, nguvu, dribble kasoro tu end product tu na Kuna wakati akiwa kwenye ubora wake anakuwa unstoppable.
Cash Money Forever
lembu
Southern Highland
The coolest jw
John dillinger
Mbaga Jr
Shida kubwa ya Madueke hana muendelezo. Leo anakupa game nzuri kesho utamchukia. Hata siku akiwa na game nzuri bado kuna matukia atakukera mfano game hii na Palmeiras kuna mpira badala apige V PASS kajivuta mpaka ukatoka

Yan hana consistency kabisa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom