Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea ni klabu iliyo anzisha mambo mengi kisha klabu zingine zikaiga, kama sikosei Chelsea ndio klabu ya kwanza ku print nadhani namba ama majina kwenye jezi zake, kisha klabu zingine zikaiga. Chelsea ndio klabu ya kwanza kuajiri mtu wa masuala ya analysis katika mechi pindi inapo cheza, kisha klabu zingine zikaiga.

Kwenye inshu ya usajili Chelsea ndio klabu ya kwanza kusajili wachezaji na kuwapa mkataba wa muda mrefu kuanzia miaka nane huko mwanzo ilikuwa tumezoea kuona miaka mingi ni kuanzia tano. Hii system vilabu vingi vitaiga sana huko mbeleni. Pia Chelsea tumeona kwa msimu huu imekuwa na wachezaji wengi sana hali iliyo pelekea moja ya interview ya Kocha Pep kusema kuanzia msimu ujao kikosi cha man City kitakuwa na wachezaji 30 kam Chelsea.

Na bado kuna mengine mazuri yanakuja.
Tajiri Miluzi adhibitiwe mapema ameshatenga £1B ya usajili.
 
TUmewapongeza wachezaji lakini msije mkamsahau SANCHEZ aisee. Kufanya saves za maana sana ambazo bila hivyo sijui...
Sanchez ni Garasa/Famba tu wala haiondoi ukweli ambavyo huwa anaigharimu timu pakubwa sana.

Ananikumbusha Pepe Reina wa Liverpool miaka ile kwa kuokoa mipira ambayo migumu ila mipira mirahisi kuiokoa ndiyo anaichomesha.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
 
Goli la pili lilipatikana baada ya kazi nzuri na kubwa ya viungo wetu
Caicedo alipokonya mpira kwa ile stule ya Kante akampa mpishi mashuhuri pale EPL kwa sasa Enzo Fernandez ambaye alimspot Jackson kwa mbali kule mbele akampa pasi murua ambayo naye Jackson hakufanya ajizi akamhadaa beki wa Brentford na kupiga shuti kali kwa staili ya Diego Costa hadi wavuni

View attachment 3177867
Jackson atakuwa striker hatari sana baadaye akiendelea na consistency hii hii kwa umri alionao kuliko hata zaidi ya akina Didie Drogber na Diego Costa pale darajani "Stamford Bridge".

Goli gumu sana hili japo kulitazama kwa akili za mashabiki maandazi wataliona ni jepesi tu.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
 
Jackson atakuwa striker hatari sana baadaye akiendelea na consistency hii hii kwa umri alionao kuliko hata zaidi ya akina Didie Drogber na Diego Costa pale darajani "Stamford Bridge".

Goli gumu sana hili japo kulitazama kwa akili za mashabiki maandazi wataliona ni jepesi tu.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Goli gumu sanaa, ila mangapi marahisi amekosa? Ufala wake upo hapo. Anahitaji nafasi sita kupata goli moja. Unaambiwa ubora wake upo kwnye kupress na kukaba dah!! Eti Ndio sifa za striker hizo.
 
Hivi hawa watu kwa nini wanatulazimisha tuwe kwenye mbio wakati bado tunajenga timu. Au wanataka ujenzi uharibike ili kule mbele tusiwape vipigo?
1734425983412.png
 
Juzi baada ya Mechi, CAICEDO aliulizwa na waandishi wa habari unasemaje kuhusu mbio za ubingwa?

CAICEDO akajibu sisi wachezaji tunapambania point 3 uwanjani. Binafsi hata sijui tuko wangapi kwenye msimamo wa ligi.
Kwa kweli na mimi sijui tuko wangapi kwenye table, akili zetu zote tunaangalia match inao fuatia ya Everton, hiyo timu ni stabborn sana, majuzi alilazimisha sare Arsenal, ila tutaipiga tu.
 
kampokonye Maresca hiyo nafasi na wewe utuonyeshe kuwa Maresca hajui mpira
We jamaa si tumeambiwa ni mtu mzima wewe?! Sasa ni nini hichi umeandika?

Kwa hiyo pia tunavyosema sanchez ni kipa mbovu, ni kwamba tunajua zaidi kuliko kocha?

Maresca ni kocha pia sio mungu kwamba hakosei. Mi kuna siku nimemkosoa daktari kwa kile nachokiamini mimi na wala sijawahi hata kuusomea udaktar, mwisho wa siku mimi ndio nilikua sahihi.

Tuache kuburuzwa kama Arsenal, Havertz anaonekana kabisa anawakaba, lakini kocha anawaaminisha kuwa pale Arsenal hakuna mchezaji kama yeye. Na yenyewe ilivyo ming'ombe inaamini.
 
Mpira wasasa unahitaji striker aina ya nicolas Jackson
 
Doping,,,, mbaya sana inaua vipaji,,,, mtu ukikutwa na hatia unaweza pigwa life ban, au miaka kadhaa, sio poa !" Kijana mishyy bado mdogo ,,,
 
Makocha wengi wa kiitaliano huwa Wana bahati sana msimu wao wa kwanza wakiwa Chelsea,ref ancheloti....conte....na yule anayevuta sigara jina limenitoka kidogo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom