Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Madueke ni mchezaji mzuri lakini hajafikia viwango, ni mchoyo, hadi aache uchoyo ndipo Chelsea tuanza kuwaza ubingwa
Kumzungumzia Madueke kiukweli ile game na Brentford imenifundisha kwamba huyu dogo sio mbovu kiivyo ila tu ana tatizo la kujisahau mchezoni. Yan anaacha kufanya ya msingi anaanza kucheza na jukwaa baada ya kufunga au kutoa assist.
 
Leo saa tano usiku tutakutana na bikira kutoka Dublin, Ireland
Chelsea vs Shamrock Rovers
Chelsea ndio timu pekee ambayo haijafungwa wala kutoa droo
Kumfunga Shamrock Rovers maana yake tutakuwa tumemaliza hii stage bila kupoteza mechi hata moja
 
Game ya Everton pale goodison park naona itakuwa ngumu sana ni game ambayo everton watacheza kwa nguvu Na kwa hamasa kubwa
 
Chelsea vs Shamrock Rovers at Stanford Bridge
Formation: 4-2-3-1
Line up

------------------Guiu-------------------

George ---------Nkunku----------Madueke

--------Casadei ------------KDH---------

Cucurella ---Veiga---Disasi----Asheampong

-----------------Jorgensen----------------

Bench
1) Sanchez
2) Bergstrom
3) Tosin
4) Murray-Campbell
5) Dyer
6) Rak-Sakyi
7) Vale
8) Sancho
9) Neto
10) Felix
11) Mheuka
 
Game ya Everton pale goodison park naona itakuwa ngumu sana ni game ambayo everton watacheza kwa nguvu Na kwa hamasa kubwa
Ikiwa Chelsea haitaacha mtindo wao wa kucheza [mtindo wa kushambulia wa transition], Everton itaruhusu mabao mengi.

Everton wanategemea mashambulizi ya kushtukiza ili kufunga mabao na Chelsea ndiyo timu inayoongoza katika EPL kuzima mashambulizi ya timu pinzani wanaoshambulia kwa kuishtukliza. Chelsea ndio timu bora zaidi ya EPL katika soka la trasition, ambayo Everton hawataweza kuimudu. Iwapo tutaweza kuwafanya wawe nabusy kwenye lango lao kama tulivyofanya na Brentford, Everton watalazimika kufanya makosa mengi golini kwao na kuruhusu mabao mengi.
 
Shamrock Rovers kabla ya kukutana na Chelsea walikuwa wamefungwa goli nne tu, sasa kipindi cha kwanza kucheza na Chelsea wameshabugizwa goli nne tayari
 
Chief Umenielewa? Nimesema apewe dakika za jioni pale tunakapokuwa tunaongoza kwa magoli. Angalau dk 5 au 10 za mwisho.
Hawa hawa tunaowachukulia poa ndio wanaweza kuwa wachezaji wakubwa si umeona tulivyoanza kuwaamini wakina James huyo dogo Ana vitu vizuri ambavyo Ni mahitaji ya soka la Sasa anajua kupress, kufunga na kufanya movement nyingi ndani ya box
 
Kumzungumzia Madueke kiukweli ile game na Brentford imenifundisha kwamba huyu dogo sio mbovu kiivyo ila tu ana tatizo la kujisahau mchezoni. Yan anaacha kufanya ya msingi anaanza kucheza na jukwaa baada ya kufunga au kutoa assist.
Uchezaji wake siku hizi umeanza kubadilika, unaona kabisa kuna kitu makocha wanafanya juu yake. Anaongoza kutoa krosi murua kabisa, anaongoza kwenye kupeleka mipira ya hatari golini. Ameanza pia kuwaona wenzake kwa klutoa pasi. Hizo ndizo madhaifu yake makubwa huko nyuma.
 
Kwa press conference ya jana ya Maresca kuna uwezekano mkubwa sana Nkunku akaomba kuondoka January

“I don’t think Nkunku is a striker. His best position is number 10. In January, we will decide.

There are some players who may not be happy and may want to leave”
 
Gallagher alikuwa na nguvu ya kukimbia uwanja mzima lakini hakuwa na maono ya soka. Hakujua la kufanya na mpira akiupata.
1734676930733.png
 
Kumteua meneja kama Pochettino, ambaye anaelewa soka la kiwango cha juu, ulikuwa wito sahihi. Lakini kwenda kwa mtu aliye na uzoefu wa Championship tu? Hicho ni kiwango ambacho Chelsea hawapaswi kukishusha. Klabu hii inastahili meneja mshindani aliyethibitishwa, sio wa majaribio. Kusema kweli, ninahisi kama Chelsea inapoteza utambulisho wake kabisa.
1734679555387.png
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom