kuna mech tutakutana nazo unapata chance mbili tu au tatu, kw huyo jackson hatuwezi kutoboa. Ndio mana kocha anakosa kujiamini, Ubingwa huo hapo unajileta wenyewe mtu anaukataa si kutokujiamini huko, asije akawa tapeli tu kama Arteta, mafesii kibaoo.Katika mashabiki waliokuwa hawamkumbali Jackson mimi nilikuwa miongoni, nikamtungia jina Mbabua makipa.
Ila kwa sasa nimekuwa miongoni mwa mashabiki tunaomkubali Jackson. Jamaa ameimprove sana kwenye kufunga magoli.
Na umuhimu wake uwanjani unaonekana sana kwenye pressing, kukaba, dribbling na kufunga kiufupi ana sifa nyingi sana +ve uwanjani.
Kwa uchezaji wa Maresca hatuhitaji striker wa kusimama kule mbele kama sanamu anayesubiria aletewe mipira afunge magoli na ingekuwa ni hivyo Nkuku angekuwa chaguo la kwanza.
Kocha anamuhitaji stiker aina ya Jackson anayeshiriki kukaba, kutengenza mashambulizi na kufunga magoli.
Jackson kwa sasa ni dhahabu THE BLUES otherwise aje kocha mwingine anahitaji striker sanamu kule mbele.
Na msimu ujao na hao akina wakojacko cjui atajitetea nini, bora mwenzie Arteta amejijifichia zake kwenye fesii