Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Mimi inshu ya uchovu nakataa kata kata, wachezaji wanadekezwa sana.
Nilisema huko nyuma kinachotuokoa na kuoneka tunajilinda vizuri ni jinsi tunavyoshambulia. Chelsea inapeleka mashambulizi balaa hadi sasa hivi Brentford wote wana defend. Tosin anaonekan mzuri kwa sababu sehemu kubw aya game anacheza kwa uhuru japo kusema ukweli leo tosin anaoneka kucheza kwa uzoefu na tahadhari kubwa tofauti na kule nyuma
 
Hii mentality ya hawa wachezaji wa Chelsea ni ya ubingwa, kocha anatudanganya tu hapa. Yaani sasa hivi Chelsea inavutia mno ikiwa na mpira na hata ikipoteza mpira. Mtu ambaye nimemuona anazubaa akipoteza mpira ni Noni Madueke tu, wengine wote wakipoteza mpira tu wanacharuka na kuuendea m,pira kama mwendawazimu
 
Hii mentality ya hawa wachezaji wa Chelsea ni ya ubingwa, kocha anatudanganya tu hapa. Yaani sasa hivi Chelsea inavutia mno ikiwa na mpira na hata ikipoteza mpira. Mtu ambaye nimem uona anazubaa akipoteza mpira ni Noni Madueke tu, wengine wote wakipoteza mpira tu wanacharuka na kuuendea m,pira kama mwendawazimu
Dah ! Ila Cucurella amejipata sio siri ,huyu jamaa alikuwa anazingua sana kipindi cha Pochetino
 
Hv haiwezekani kucheza 4-3-1-2 afu Nkunku akacheza pamoja na Jackson, yn kwa ufupi hakuna uwezekano wa Nkunku kucheza pamoja na Jackson?

Binafsi namkubali sana Nkunku kuliko Jackson.
Hii haiwezekani kwa sababu inabidi kuua winga wote wawili ili uchezeshe striker wawili na viungo watatu
 
Hii mentality ya hawa wachezaji wa Chelsea ni ya ubingwa, kocha anatudanganya tu hapa. Yaani sasa hivi Chelsea inavutia mno ikiwa na mpira na hata ikipoteza mpira. Mtu ambaye nimemuona anazubaa akipoteza mpira ni Noni Madueke tu, wengine wote wakipoteza mpira tu wanacharuka na kuuendea m,pira kama mwendawazimu
Hili kombe letu mamaeee, cha muhimu ni kukaza hivi hivi ,hata liverpool kuku kishingo sio kwamba yuko vizuri sana kushinda sisi .
Ishu ya ubingwa tushaimaliza kuielezea naomba tusirudishane nyuma, msimu huu ni wa kujenga timu tuu, hatutaki ubingwa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom