Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 44,163
- 104,746
Hapana, Siwez hata danadana mbiliULisha wahi cheza mpira ?
Hapana, Siwez hata danadana mbiliULisha wahi cheza mpira ?
Tuwapige Tena😳😳😳Nkunku anawafaa Arse8 walete pesa.
Tumalize ubishiHalafu nyie jamaa acheni mambo ya ajabu. Kama mpo kwenye title race semeni sio mnakataa halafu mkiingia uwanjani mnakaza. Kama mpo kwenye race semeni sisi tujue tunapambana na nani, kama mnautaka ubingwa mnaogopa nini kusema mbona hamjiamini, Mnatuchanganya aseee sisi tunajua city na arsenali ndo wapinzani na nyie mmeongezeka ila tukiwauliza mnakataa.
Hapana, ndo nataka nianzie kwako kukufundishaSawa, ulishawahi kufundisha mpira angalau timu ya Sunday school, madrasa, Mtaa au kikoba?
Kombe mnapambania ww na wenzio man City na Arsenal, sisi Chelsea msimu huu tunataka top four tuu.Halafu nyie jamaa acheni mambo ya ajabu. Kama mpo kwenye title race semeni sio mnakataa halafu mkiingia uwanjani mnakaza. Kama mpo kwenye race semeni sisi tujue tunapambana na nani, kama mnautaka ubingwa mnaogopa nini kusema mbona hamjiamini, Mnatuchanganya aseee sisi tunajua city na arsenali ndo wapinzani na nyie mmeongezeka ila tukiwauliza mnakataa.
Hata James sidhani kama ni uungwana kumnyooshea kidole sababu kinachomtokea kipo nje ya uwezo wake na anatamani sana kuipigania Chelsea na sote tunajuaWachezaji ni binadamu. Kwenda Astana na kurudi ni masaa 16 hewani. Bado wachezaji walicheza mechi kwenye nyuzi joto -17°c. Hata kama wanalipwa mshahara sio marobot.
Mkuu Mnyooshe kidole James anayekula mshahara wa bure
Duh,sasa si watauzwa karibu nusu ya timu tena kuruhusu wengine kuingiaTajiri Miluzi adhibitiwe mapema ameshatenga £1B ya usajili.
Ndio ndio mkuuWewe unajua kufundisha watu kucheza mpira kwenye uwanja wa mavumbi
Hakika.Enzo Maresca much respect, hii mechi nilikuwa naihofia kuliko zote kwa gemu zilizobaki first round
Tumezitaka counter attack zao kama umeme wa Tanesco
Mentality ya leo Last time kuiona ilikuwa zama Conte msimu wake wa 1
Bado tunamiss clinical winger maana tumekuwa na touch nyingi kwenye box ila tumekosa winger mwenye njaa na magoli
Kijana Hazard ulipotea wapi ndugu yangu? Tangu uende Real Madrid umestafu na kustafu ee. Karibu tena jukwaani. Chelsea sasa ni ya moto. Jana nilikuwa na ofu juu ya gemu yetu ila nilichokishuhudia uwanjani inanipa matumaini makubwa kabisa. Vijana wamechangamka kuna kitu wanataka msimu huuKweli mkuu ,ila hivo hivo tutafika tu. Msimu huu kuna jambo letu, Ngoja tusubiri.
Wewe wasiwasi wako nini? Mbona unaogonza ligi na hatusemi?Halafu nyie jamaa acheni mambo ya ajabu. Kama mpo kwenye title race semeni sio mnakataa halafu mkiingia uwanjani mnakaza. Kama mpo kwenye race semeni sisi tujue tunapambana na nani, kama mnautaka ubingwa mnaogopa nini kusema mbona hamjiamini, Mnatuchanganya aseee sisi tunajua city na arsenali ndo wapinzani na nyie mmeongezeka ila tukiwauliza mnakataa.
Mkuu ilikua vita ya fito tu, yanini kuja na mapanga, nyengo na beto?Kwann uchekee chooni? Kwamba wanaume zaidi ya 30 wa timu ya brenford watakuwa wanakupa raha huko chooni mpaka uwe unacheka au?
Sisi tupo kwenye harakati za kupambania kutoshuka daraja na kuhakikisha timu inamaliza kuanzia nafasi ya 12 kwenda juu. Mbio za ubingwa tunawaachia Liverpool, Arsenal na Man utd. Mtutoe kwenye mbio za ubingwaHalafu nyie jamaa acheni mambo ya ajabu. Kama mpo kwenye title race semeni sio mnakataa halafu mkiingia uwanjani mnakaza. Kama mpo kwenye race semeni sisi tujue tunapambana na nani, kama mnautaka ubingwa mnaogopa nini kusema mbona hamjiamini, Mnatuchanganya aseee sisi tunajua city na arsenali ndo wapinzani na nyie mmeongezeka ila tukiwauliza mnakataa.
Inaweza isiwe uchovu ila tu ni rotationMimi inshu ya uchovu nakataa kata kata, wachezaji wanadekezwa sana.