Papaa Gx
JF-Expert Member
- Oct 10, 2016
- 11,508
- 18,668
Jackson bado ni takataka, kufunga goli hakuondoi utakataka wake.
Ulisema huoni umuhimu wake
Ulisema huoni umuhimu wake
Hii wasione mashabiki wa arsenal mkuuMatchday 16
Full Time
Chelsea vs Brentford 2-1
Point 2 nyuma ya Liverpool wenye baki mchezo mmoja
Point 4 juu ya Arsenal (Title contenders)
Point 7 juu ya City (Title contenders)
HONGERENI THE BLUES
Ana magoli 9 sasa na huyu takataka atakuja kuwa bonge la Chelsea legend kama akina DrogbaJackson bado ni takataka, kufunga goli hakuondoi utakataka wake.
NAtamani iwe ivo....sema anaboa kukosa yale magoli ya wazi aiseeAna magoli 9 sasa na huyu takataka atakuja kuwa bonge la Chelsea legend kama akina Drogba
Usiofu yule dogo wa brazil anakuja. He is good so farEnzo Maresca much respect, hii mechi nilikuwa naihofia kuliko zote kwa gemu zilizobaki first round
Tumezitaka counter attack zao kama umeme wa Tanesco
Mentality ya leo Last time kuiona ilikuwa zama Conte msimu wake wa 1
Bado tunamiss clinical winger maana tumekuwa na touch nyingi kwenye box ila tumekosa winger mwenye njaa na magoli
Halafu Benchi alikuwepo Nkunku tuEnzo Maresca much respect, hii mechi nilikuwa naihofia kuliko zote kwa gemu zilizobaki first round
Tumezitaka counter attack zao kama umeme wa Tanesco
Mentality ya leo Last time kuiona ilikuwa zama Conte msimu wake wa 1
Bado tunamiss clinical winger maana tumekuwa na touch nyingi kwenye box ila tumekosa winger mwenye njaa na magoli
Kwani kuku kapewa red?Chelsea yetu hii hapa
View attachment 3177710
Njano ya pili alipewa baada ya mchezo aliongea vibaya na waamuziKwani kuku kapewa red?
Kwani kuku kapewa red?
Nkuku ni finisher mzuri kuliko Jackson ila bado ni static centre forward hivyo ni easy kuwa markedHv haiwezekani kucheza 4-3-1-2 afu Nkunku akacheza pamoja na Jackson, yn kwa ufupi hakuna uwezekano wa Nkunku kucheza pamoja na Jackson?
Binafsi namkubali sana Nkunku kuliko Jackson.
Ana magoli 9 sasa na huyu takataka atakuja kuwa bonge la Chelsea legend kama akina Drogba
Duuuu hatariJamaa mpuuzi sana, mpira umeisha kwenda kurumbana na refa sijui kutaka nini hasa
Kabisa aiseePakikucha tutaanza kupigiwa kelele za kutaka ubingwa 😂 em watuache tutengeneze timu, msimu ujao ndio waanze kulazimisha kutupa ubingwa.
Inapobidi inatakiwa iwe ivo. Aiseee manake kwenye benchi walikwepo madogo tuIla leo Maresca amejilipua na sub moja tuu.
Njano ya pili alipewa baada ya mchezo aliongea vibaya na waamuzi
View: https://x.com/i/status/1868403613414121806
Yah kuna saves mbili hv amefanya poa sana aiseeTUmewapongeza wachezaji lakini msije mkamsahau SANCHEZ aisee. Kufanya saves za maana sana ambazo bila hivyo sijui...