Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Timu ya ubingwa ndio inapaswa icheze hivi sasa, kipindi kile nilikuwa nachukia sana timu yetu inacheza kwa upole sana. Saizi ni mwendo wa moto huko huko golini kwao, hii Chelsea kwa namna inavyo cheza alafu kocha anakwambia haipo kwenye mbio za ubingwa kwakwel inafurahisha sana.
Mpaka wewe umekubali
 
Nkuku ni finisher mzuri kuliko Jackson ila bado ni static centre forward hivyo ni easy kuwa marked
Jackson ataendelea kucheza mpaka pale Nkuku atakapobadilika kuendana na soka tunalocheza
Jiulize kwa nini akiingia hata hizo nafasi anazokosa Jackson yeye hazipati
Hili tumekuwa tukilizungumza sana humu naona baadhi Ni wabishi kuelewa
 
Nkuku ni finisher mzuri kuliko Jackson ila bado ni static centre forward hivyo ni easy kuwa marked
Jackson ataendelea kucheza mpaka pale Nkuku atakapobadilika kuendana na soka tunalocheza
Jiulize kwa nini akiingia hata hizo nafasi anazokosa Jackson yeye hazipati
Anapataje zimebaki dk.5, wewe ungeweza kupata ndani y dk.5? Unamtetea Jackson ni mduanzi sana. Kama leo tungedroo lawama zote zingekua kwake.
 
Umenena kweli kabisa, uzuri wa Jackson upo hapo kwenye kumpress na kukaba wakati Nkunku movement zake uwaqnjan i sio nyingi. Kama hii ya Mechi9 na Brentford Jackson alikuwa anakaba kama CB
 
Jackson hawezi kuwa kama Drogba acha kujidanganya mzee. Ata robo ya unyama wa Drogba hagusi.
Nilitegemea majibu kama haya, wengi wenu hata hamjui Drogba alikuwaje akiwa na umri kama wa Jackson, tunapomfananisha Drogba na Jackson unamchukua huyu Jackson wa miaka 23 unamfananisha na prime Drogba wa miaka 28. Jackson atakoma atapata uzoefu atajifunza na anaweza hata kumpita Drogba kwa kila kitu. Sio ninyi wala unabii wenu ndio utamfanya Jackson afanikiwe kwenye mpira
 
Anapataje zimebaki dk.5, wewe ungeweza kupata ndani y dk.5? Unamtetea Jackson ni mduanzi sana. Kama leo tungedroo lawama zote zingekua kwake.
Haya ni maoni yangu kutokana na kile nachokiona uwanjani wala sio mapenzi yangu kwa Jackson. Jackson bado anazingua sana ila trust me mbadala wake bado hatuna na huu ni ukweli mchungu nilioamua kuumeza
 
Nadhan jana vs Brentford tulikuwa tuko tofauti sana kiuchezaj kuanzia kushambulia na kujilindw jana,Position ya Enzo na Palmer jana ilikuwa tofauti kuliko mechi zilizopita.

Next vs Everton pale Goodison Park
 
Mnamjudge mchezaji kw vidakika vitano, basi sawa maoni yako na yaheshimiwe.
 
Mnamjudge mchezaji kw vidakika vitano, basi sawa maoni yako na yaheshimiwe.
Mimi ni mshabiki wa Nkunku sana, Nkunku hatumjaji kwa mechi ya jana. Overal uchezaji wa Nkunku ni tofauti kabisa na Jackson hata kama akipewa dakika 90.

Hatusemi kwenye hizo dakika 90 hatafunga goli au magoli la hasha. Nkunku ni world class na ni very clinical ila workrate yake ni ndogo kuliko ya Jackson
Kwa maneno mengine,
Jackson workrate ni kubwa kuliko Nkunku huku
Nkunku clinicality yake akipewa huduma vizuri ni kubwa kuliko ya Jackson
Sasa hapa ni kipaumbele cha kocha tu ndio inamuweka Nkunku kwenye benchi
Kocha anataka mchezaji anayepress na kukaba wakati timu haina mpira kitu ambacho Nkunku anayo ila sio kwa kiwango cha Jackson.
Kosa kubwa analofanya Kocha ni kutompa Nkunku mechi za ligi au kumtengenezea setup itakayooptimize uwezo wake wa kufunga magoli.

Sisi hatujui mpira Maresca anajua kuliko sisi, tumuache afanye kazi yake kwa sababu kwa sasa hatuna sababu ya kumrushia mawe
 
Nadhan jana vs Brentford tulikuwa tuko tofauti sana kiuchezaj kuanzia kushambulia na kujilindw jana,Position ya Enzo na Palmer jana ilikuwa tofauti kuliko mechi zilizopita.

Next vs Everton pale Goodison Park
Moto aliopelekwa Brentford jana walishindwa kucheza ile style yao kabisa. Dakika za mwishoni tulipolegeza mashambulizi ndipo wakatupachika goli.

Transition ya Chelsea ni the best kwenye ligi kwa sasa
 
1734333387588.png
 
Dah ! ,Kuna wachezaji nimeshasahau hata kama waliwahi kuwa wachezaji wa Chelsea ,outcasts kama Chillwell na Chalobah
Dah ! , Chillwell ndio kapotezwa kabisa mazima
Chalobah anafanya vitu vyake Palace. Naona Palace wanaweza kumchukua mkopo wake ukiisha maana amekuwa first choice LCB wao pembeni mwa Marc Guehi
 
Goli la pili lilipatikana baada ya kazi nzuri na kubwa ya viungo wetu
Caicedo alipokonya mpira kwa ile stule ya Kante akampa mpishi mashuhuri pale EPL kwa sasa Enzo Fernandez ambaye alimspot Jackson kwa mbali kule mbele akampa pasi murua ambayo naye Jackson hakufanya ajizi akamhadaa beki wa Brentford na kupiga shuti kali kwa staili ya Diego Costa hadi wavuni

Kama
Jibu hapa ni dogo sana kama team haiwezi kushinda moja bila haiwezi kuchukuwa ubingwa,zipo mechi hakuna nafasi ya kufunga magoli mengi,chelsea haiwezi kushinda mechi hizo kwa sababu itafunga goli na sanchez na mabeki wayafanya makosa ya ki senge watafungwa goli .Pia team ya ubingwa kuna wakati unashinda ugly ,city na ubora wa wachezaji kuna wakati alifanya hivyo spurs vs city 2023/2024 1-0.Sisi chelsea tuna shinda na decorations za kutosha , maana yake tukikutana na team yenye quality na maturity inatuzidi hatuwezi kushinda hiyo mechi.
Kama Nothingham forest
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom