Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Manaenda kupigwa zaidi ya 130m Kwa average player....

Safi Sana Liverpool,
Toa mdomo hapa, Brighton waliwapelekesha mechi za msimu uliopita kwa sababu ya Caicedo
Mlibeba point 1 tu Kwa brighton. Caicedo amekuwa kisiki pale katikati na kuibeba Brighton hadi michuano ya Ulaya Kwenye timu kubwa kama Chelsea sasa ndio basi tena.
 
Ripoti zinazoingia kwa sasa kutoka kwenye vyanzo vya uhakika zinadai kuwa uhamisho wa Caicedo kwenda Liverpool kwa sasa umekufa

1691761559298.png
 
Anakuja wakati Jana ilikuwa siku ya MWISHO.. BHA waliitenga na wakafanya auction aloweka bid KUBWA ndio anamchukua...TATIZO KWA LIVERPOOL LILIKUWA CAICEDO MWENYEWE ALIKUWA ANAITAKA CHELSEA...SASA KLOPP ANESHAMSHAWISHI...HII DILI ISHAISHA,ACHA KUJIPA TUMAINI HEWA
🚮🚮
 
Ila Chelsea dah, Wala hawajashindwana hapo ni kulinda FFP , hiyo 20 inaongezewa kwa caicedo
Sio FFP hayo yalikuwa ni mawazo yangu tu, Fabrizio anaripoti kuwa dili la Caicedo ndio imesimamisha kwanza hiyo move, alishapimwa afya ilikuwa kusaini Documnents tu

Tunashughulika na Caicedo kwanza tukimaliza kama bado yupo tutamrudia kama Kachukuliwa na Brighton sawa
1691764658838.png
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom