Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Taarifa zinadai kuwa Chelsea wanatakiwa kulipa Pauni mil 105 tu zaidi ya hapo ni kwenda kinyumae na sheria za FFP
Watumie ujanja wa Barcelona chap chap
Ina maana Chelsea mpk muda huu hawajamchukua tu?si amesema mwenyewe anapenda kwenda Chelsea
 
Ina maana Chelsea mpk muda huu hawajamchukua tu?si amesema mwenyewe anapenda kwenda Chelsea
Hiyo taarifa inaelekea ni feki, nimeondoa. Bado hawajachukua Deadline ni leo usiku kwa upande wa Brighton
Usijali dili hili ni kama zege halitalala, Liverpool wananusanusa tu kama fisi
 
Tetesi bado zinaingia hazikomi
Taarifa za hivi punde kutoka SkySport News zinadai kuwa Chelsea wanamalizia mazungumzo na Soton ya Kumsajili kiungo mkabaji Romeo Lavia
Hii itakuwa ni pigo baya sana kwa Liverpool kama hizi taarifa ni za kweli

Chelsea are close to an agreement with Southampton over the signing of midfielder Romeo Lavia but Liverpool remain interested in the Belgian.
 
Liverpool wamehamia Real Madrid kwa Federico Valverde wanatoa Pauni mil 60
 
Double deals
Moja tayari

Taarifa rasmi ni kwamba Chelsea wameafikiana na Soton kumsajili kiungo wao Romeo Lavia kwa pauni mil 50 kama walivyotaka Southampton

BREAKING: I've been told Chelsea have got an agreement with Southampton for Romeo Lavia for £50 million.

Ila kiukweli Chelsea tulikuwa hatumuhitaji Lavia, sijui tajiri wetu miluzi ana shida gani na Liverpool
1691779800330.png
 
Kwahyo Caicédo wanampiga chini au
 
Untouchable, huyo hata kwa mil 300 tutamnunua, haguswi huyo
Hii ya Lavia ni ugomvi wa Boehly na mabosi wa Liverpool, nasikia mabozi wa Chelsea walikasirika jana kwa Liverpool kuwanyima usingizi
Kwahyo hadi kufikia asubuhi majibu yatakuwa yamepatikana?
 
Kumbe tatizo liko hivi

Chelsea wamewaomba Liverpool waondoe hiyo bid yao kwa sababu mchezaji ameichagua Chelsea
Brighton wakawaambia Liverpool wasiondoe ili Chelsea warudie kuomba tena
Sasa Chelsea wameamua kulipa mil 50 wanayotaka Soton ili kuwalazimisha Liverpool kuondoa hiyo bid yao ya Mil 111
Wakifanya hivyo Chelsea sio lazima wafikishe mil 111, ile ya mil 100 itatosha kumleta Caicedo darajani. Hukumu sasa iko mikononi mwa Liverpool

Boehly & Eghbali have taken over negotiations. Strategic games.Liverpool have not removed their bid for Caicedo. Chelsea want the bid removed, as Caicedo has made it clear he wants to join Chelsea & then Chelsea won’t have to go above Liverpool’s bid.Brighton have asked Liverpool to keep their bid in, so Chelsea forced to bid again.As a retaliation, Chelsea (similar to Liverpool with Caicedo) have put a £50m overall package bid in for Romeo Lavia to Southampton that has been accepted.Chelsea will happily take the player, they love Lavia, but equally they want to try & force Liverpool to remove their bid for Caicedo & instead move for Lavia.Lots of moving parts.
1691780170705.png
 
Untouchable, huyo hata kwa mil 300 tutamnunua, haguswi huyo
Hii ya Lavia ni ugomvi wa Boehly na mabosi wa Liverpool, nasikia mabozi wa Chelsea walikasirika jana kwa Liverpool kuwanyima usingizi
Mimi shida yangu ipo kwenye utaratibu inayotumika Chelsea ya kutapanya pesa ovyo...isijekuwa jamaa anasafisha pesa chafu ya Madawaska ya kulevya kutoka Mexico zinazoingia huko Amerika.
 
Kumbe tatizo liko hivi

Chelsea wamewaomba Liverpool waondoe hiyo bid yao kwa sababu mchezaji ameichagua Chelsea
Brighton wakawaambia Liverpool wasiondoe ili Chelsea warudie kuomba tena
Sasa Chelsea wameamua kulipa mil 50 wanayotaka Soton ili kuwalazimisha Liverpool kuondoa hiyo bid yao ya Mil 111
Wakifanya hivyo Chelsea sio lazima wafikishe mil 111, ile ya mil 100 itatosha kumleta Caicedo darajani. Hukumu sasa iko mikononi mwa Liverpool

Boehly & Eghbali have taken over negotiations. Strategic games.Liverpool have not removed their bid for Caicedo. Chelsea want the bid removed, as Caicedo has made it clear he wants to join Chelsea & then Chelsea won’t have to go above Liverpool’s bid.Brighton have asked Liverpool to keep their bid in, so Chelsea forced to bid again.As a retaliation, Chelsea (similar to Liverpool with Caicedo) have put a £50m overall package bid in for Romeo Lavia to Southampton that has been accepted.Chelsea will happily take the player, they love Lavia, but equally they want to try & force Liverpool to remove their bid for Caicedo & instead move for Lavia.Lots of moving parts.
View attachment 2714846
We jamaa kitumbua kweli Yani unaongea utumbo wa tetesi uchwara hahahaha dah kijana unasikitihsa unafiriki Liverpool malofa kama wewe haya hawashushi Sasa hiyo 111 tajiri miluzi anapigwa vibaya aisee kakurupuka watu wanamcheki akishindwa kuilipa caicedo anabaki brighton mpaka 2027🤣🤣🤣🤣🤣
 
Mimi shida yangu ipo kwenye utaratibu inayotumika Chelsea ya kutapanya pesa ovyo...isijekuwa jamaa anasafisha pesa chafu ya Madawaska ya kulevya kutoka Mexico zinazoingia huko Amerika.
Yaani usajili wa Lesley haukuwa wa amana kama Lavia alikuwa asajiliwe. Ila tunyamaze kwa sababu malengo na maono ya hawa wamiliki wapya hatuzijui kwa undani
Labda lengo lao ni affilite clubs nazo ziwe na ushindani kwenye ligi zao na timu mama ambayo ni Chelsea
Pochettino yeye amesema wachezaji wachache ndioanawwataka na nahisi hawatazidi 25
Hao waliobaki aidha waende kwenye mkopo kwenye timu zingine
Pia fahamu kuwa academy wengi wa Abramovich era wameoindolewa kwa hiyo kama timu kuu, academy nao wanaundwa upya. Lengo ni kuwa kule mbeleni tusiendlee kufanya usajili kama huu
 
We jamaa kitumbua kweli Yani unaongea utumbo wa tetesi hahahaha dah kijana unasikitihsa unafiriki Liverpool malofa kama wewe haya hawashushi Sasa hiyo 111 tajiri miluzi anapigwa vibaya aisee kakurupuka watu wanamcheki akishindwa kuilipa caicedo anabaki brighton mpaka 2027🤣🤣🤣🤣🤣
Wewe ni teja, keyboprd tu inakusitiri
 
Kuna watu wao wako tu hapa Jamii Forums labda kwa sababu ya lugha ya ughaibuni n i ngumu wakati sisi wengine tunaingia hadi jikoni kwenye habari, tukiileta hapa wanaanza mitusi na kujidhalilisha

Mtu anayetoa matusi kwa sababu ya ushabiki huyo ni mshamba acha naye tu endelea kutuhabarisha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom