hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 18,667
- 27,550
Caicedo bado yupo London, lolote linaweza kutokea ,Chelsea alishafanya groundwork kubwa kwenye hili diliKlop alipoulizwa kuhusu dili la Caicedo alisema
Ni kweli Liverpool na Brighton wameshakubaliana dau la kumsajili Caicedo
Alipoulizwa kuhusu makubaliano na mchezaji alisema
"Tutaona"
"We will see"
Ni masa 10 sasa tangu wakubaliane bei vilabu viwili lakini Klop kashindwa kuongea na mchezaji
Naona ya Raphinha na Kounde inataka kujirudia hapa