lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 19,383
- 25,487
88th minute
sub inafanyika:
OFF: Paul Winstanley and Laurence Stewart.
IN: Behdad Eghbali and Todd Boehly.
Sasa ushindi ni dhahiri
Wote wameondolewa kwenye gurudumu la kuishawishi Brighton ituuzie Caicedo
Huyu Winstanley ndie aliyekuwa anaongoza haya mazungumzo tangu mwezi wa tano hadi Liverpool wanakuja kututeka nyarta dakika za mwisho mwezi huu
Mashabiki wengi walianzisha movement za kumtaka ajiuzulu au uoingozi umtimue
Hata kama alikuwa mzuri lakini mashabiki washaka na uwezo wake kwenye kudegotiate kwenye dili kubwa za timu kubwa kama hili la Caicedo. Sasa Boehly na Eghbali wenyewe ndio wanasimamaia Caicedo to Chelsea
Yale ya Benefica yanajirudia
Tunakumbuka ile ya Rui Costa
Walipoenda hawa jamaa hadi kilieleweka
Mimi niliamini haitajirudia tena ile ya Enzo hadi dili likafa, tukakata tamaa mara from no where jamaa walipanda ndege tena wakaend ana daktari kabisa ili apimwe huko huko