Caicedo alitakiwa na kila mtu pale Chelsea
Mashabiki waliokuwa wakimfuatili 90+% wamesononeka sana na wengine wameamka asubuhi wanaduawa kwa Sababu dili la Chel;sea lilishakubaliwa kimsingi kabla mpumbavu fulani pale sijui ni Boehly kwenda kupima maji kwa Lavia ndie katibua kila kitu.
A very big loss kwa kweli
Blunder iliyofanyika ni kubwa mnop
Hata tukimpata Aurelien Tchouameni au Lavia hawezi kufikia quality ambayo Caicedo angeleta darajani
Caiceod play styl yake ni Kante katika umri wa miaka 21 wewe fikira hapo tu tumepotezaje fursa