Kyatile
JF-Expert Member
- Feb 5, 2017
- 1,736
- 1,582
Liverpool ni very tricky sana kwenye mambo ya transfers hayaLiverpool wameshindwa kumnunua Lavia kwa mil 50 je wataweza kufikia hitaji la Brighton kwa Caicedo?
Kuna tetesi kuwa Brighton wanawatumia Liverpool kwa malengo mawili yenye kufaidisha pande mbili
Kwa Brighton Chelsea waongeze thamani ya bid lao
Kwa Liverpool ili Chelsea waachane na kumfukuzia Lavia waweke muda wao kubwa kwa dili la Caicedo

