lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 19,383
- 25,492
Chelsea tunakaribia kuvunja rekodi yetu wenyeweWala siokweli, unadhani Caicedo akikubali kwenda Liverpool, Liverpool hawatoi?
Hata sisi kwa Rice tuliambiwa hivo hivo eti waliingia kupandisha Bei, sikweli Nia walikuwa nayo
Hapo ni kuzidiana , Chelsea amefanya groundwork muda mrefu Sana ,ni ngumu mchezaji kuwasaliti
Liverpool walimuita Leo kwa medical kawagomea
Arsenal tulifanya groundwork kwa Rice kwa miezi 6, inakuwa ngumu mchezaji kuwagomea hata aje mwingine ajitie kimbelembele


